Fohadi
JF-Expert Member
- Jul 24, 2020
- 772
- 2,421
Viongozi wa soka wa timu za ligi kuu hapa bongo hasa hizi kubwa wanapaswa kubadilika...maswala ya sajili za kubahatisha yamepitwa na wakati...Kama kweli tunataka kupiga hatua inabidi tubadilike kwenye hii angle.
Ni bongo pekee ambapo usajili wa mchezaji hauzingatii CV yake bali upepo alioamka nao mchezaji siku ya mechi husika...Unaweza ukawa huna namba kwenye timu yako ila siku ukiotea wakati unacheza na hizi timu ni hapo hapo unakula wino. Asilimia kubwa ya wachezaji wanaosajiliwa huwa hawajulikani kabla ya mechi husika. Hakuna mwenye background zao...ni ile tu mchezaji ameamka vizuri ameperform fresh basi anakula mkataba. Ngoja nikupe evidence.
Nani alikuwa anamjua miquisonne, kavumbagu..tchetche...chikwende kabla hawajawa signed na hizi timu?
Konde Boy alisajiliwa baada ya kung'aa siku ya mechi, same to Kavumbagu, Chikwende na wengine kibao. Matokeo yake sasa tunaishia kubahatisha...wakati unamkuta miquisonne yuko bora. Unamkuta Chikwende ni flop...Nasikia sasa hivi Yanga wanamtaka/wamemsajili Shaban djuma. Je, viongozi walikuwa wanamjua huyo mchezaji kabla ya siku ile alipocheza na Simba? What if siku ile alipania game tu ila generally ni average player?
Usajili wa kubahatisha kama huu sio mara zote utampata mtu bora kama Konde Boy.. hata simba wenyewe kwa Konde Boy ni kama walibet tu kwasababu hawakuwahi kuwa na info zake kabla.
Kiufupi, viongozi wabadilike...kuwe na scouting za kutosha ili kuwa na uhakika na usajili unaoenda kufanyika...Maswala ya bahati na sibu tuwaachie BKO na wengine.
Ngoja tuone kama Usajili wa shaban djuma kwa wananchi utakidhi mahitaji ya timu kama KondeBoy au itakuwa flop kama Chikwende.
Time will tell.