Huyo jamaa akili hazimo! alituaminisha Mayele ni mbovu leo kawa mzuri, kuna goli goli linafungwa bila errors? Sadio kafunga magoli mengi sababu ya off position ya makipa tutasema sio mchezaji mzuri?Mpira wa miguu ni mchezo mgumu sana uwanjani, huitaji akili na nguvu na kipaji juu.
Mshabiki kama wewe utachukulia ni uzembe wa makipa. Lakini mbona si wote wanaotumia uzembe huo ?!. Utasema manula alifungwa kwa uzembe ?!. Kafunga Tunis tena mchezo wa mtoano utasema kipa alikuwa mzembe !!. Kafunga kwa Gallants utasema ilkuwa uzembe wa kipa !!.
Basi kama hivyo hata Nabi mpira haujui maana nilichokiongea mimi kuhusu Azizi Ki ndicho alichowahi kukisema.Mpira wa miguu ni mchezo mgumu sana uwanjani, huitaji akili na nguvu na kipaji juu.
Mshabiki kama wewe utachukulia ni uzembe wa makipa. Lakini mbona si wote wanaotumia uzembe huo ?!. Utasema manula alifungwa kwa uzembe ?!. Kafunga Tunis tena mchezo wa mtoano utasema kipa alikuwa mzembe !!. Kafunga kwa Gallants utasema ilkuwa uzembe wa kipa !!.
Akili za nini umri huu kwani mi mwanafunzi?Huyo jamaa akili hazimo! alituaminisha Mayele ni mbovu leo kawa mzuri, kuna goli goli linafungwa bila errors? Sadio kafunga magoli mengi sababu ya off position ya makipa tutasema sio mchezaji mzuri?
Tutajie makipa ambao sio wazembe hapa dunianiBasi kama hivyo hata Nabi mpira haujui maana nilichokiongea mimi kuhusu Azizi Ki ndicho alichowahi kukisema.
Utofauti ni kwamba yeye alikuwa kocha mimi ni member wa JF.
Unachokisema wewe umetoka kwenye eneo la ubora umeenda kwenye bahati.
Ni kwamba Azizi Ki ana bahati sana ya kumfunga kipa mzembe kuliko wengine.
Halafu mimi sijasema kufungwa kwa Manula na Azizi Ki ni uzembe wa Manula, na wala sijasema kila goli alilofunga Azizi Ki limesababishwa na uzembe wa kipa.
Manula naye kafungwa magoli mengi ya uzembe na humu tumeongea sana
Tatizo tukiongea uzembe wa Manula nyie ndio mnatuona kuwa tunajua mpira kwasababu tumeongea kitu ambacho mnapenda kukisikia.
Tukiongea kuhusu ubovu wa mchezaji wenu hapo mnatuona hatujui mpira au tunachuki na mchezaji wenu.
Utakuwa una matatizo binafsi.Wewe na Genta ni bibi na bwana unakana maneno yako umesema sasa hivi! View attachment 2691137
Hii ni Reasoning ya kishambaTutajie makipa ambao sio wazembe hapa duniani
Huyu ndugu yetu ana tatizo la chuki nothing more nothing lessRejea kauli ya Rage kuhusu Madunduka hutopata tabu kabisa na mitizamo ya hawa Makolo.
Bru, nafikiri wewe ni bora sana kwa misambanda na sio mpira[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tutajie makipa ambao sio wazembe hapa duniani
Chuki kwasababu nimemsema negative Azizi Ki?Huyu ndugu yetu ana tatizo la chuki nothing more nothing less
Ki alikuwa hapati namba sio kwamba alikuwa hajui,bali kulikuwa na watu wanafanya vizuri mzoezini. Ila kuhusu yale magoli Ki alikuwa anajua nini anacho kifanya na alikuwa habahatishi, mpira wowote utakaopigwa kimo cha chini,then ukadunda karibu na kipa una asilimia kubwa ikawa goli, tena kama Messi kishafunga magoli yale sana.Chuki kwasababu nimemsema negative Azizi Ki?
Basi Nabi naye anachuki sana au ndio sababu kasepa?
Kule nmepigwa block siwezi ku comment wala ku upload kituBru, nafikiri wewe ni bora sana kwa misambanda na sio mpira[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kule nmepigwa block siwezi ku comment wala ku upload kitu
Sijajua kwanini mashabiki wa Yanga ambao mnaoekana kutokubaliana na hoja zangu kuhusu Azizi Ki kunufaika na uzembe wa kipa, wengi mnadhani kueema kwangu huko kunatokana na Manula kutofungwa magoli ya kizembe.Ki alikuwa hapati namba sio kwamba alikuwa hajui,bali kulikuwa na watu wanafanya vizuri mzoezini. Ila kuhusu yale magoli Ki alikuwa anajua nini anacho kifanya na alikuwa habahatishi, mpira wowote utakaopigwa kimo cha chini,then ukadunda karibu na kipa una asilimia kubwa ikawa goli, tena kama Messi kishafunga magoli yale sana.
Aziz K ndio hakuperform ila ile style yake ya upigaji kama huna mazoezi kipa yoyote unafungwa na alikuwa anajua jinsi ya kuipiga ile mipira kwani kwa mipira ile bila shaka ni expert, Messi kishamtungua Van De Sar fainali ya UEFA style ile ile,Fabrigas na AC Milan mzunguko wa pili UEFA style ile ile,yapo magoli mengi sana yamefungwa kwa style ile ile mbele ya makipa bora duniani.
Au labda kwa sababu hajamfunga Manula la style ile ndio unaona uzembe?
Hamaa uzembe bali ile mipira anayo piga Aziz Ki kipa yoyote anafungwa. Ndio maana nikakupa mifano ya goli la Fabrigas ,Van Der Sar na kama Messi kafunga sana magoli ya style ile,sio kwamba eti makipa ni wazembe bali ile mipira migumu kuifanyia timing.Sijajua kwanini mashabiki wa Yanga ambao mnaoekana kutokubaliana na hoja zangu kuhusu Azizi Ki kunufaika na uzembe wa kipa, wengi mnadhani kueema kwangu huko kunatokana na Manula kutofungwa magoli ya kizembe.
Au kufikiri kuwa jambo hilo likitokea kwa Manula siwezi nikasema.View attachment 2691183
Na sio Manula tu hata yule dogo Ally Salim alikuwa na tabia ya kutema tema mipira jirani na walipo wapinzani. Naye tulisema.
Mkuu hata Ulaya kuna wazembe pia.Hamaa uzembe bali ile mipira anayo piga Aziz Ki kipa yoyote anafungwa. Ndio maana nikakupa mifano ya goli la Fabrigas ,Van Der Sar na kama Messi kafunga sana magoli ya style ile,sio kwamba eti makipa ni wazembe bali ile mipira migumu kuifanyia timing.
Tena umetoa mfano mzuri ,sasa kwa nini asiwe beki ndiye mzembe why kipa,kwa nini beki asifanye interception kublock mpira au hata tackling ,why lawama za uzembe apewe kipa.Mkuu hata Ulaya kuna wazembe pia.
Magwaya
Mechi yenu na Mtibwa uliangalia?Tena umetoa mfano mzuri ,sasa kwa nini asiwe beki ndiye mzembe why kipa,kwa nini beki asifanye interception kublock mpira au hata tackling ,why lawama za uzembe apewe kipa.