Ki alikuwa hapati namba sio kwamba alikuwa hajui,bali kulikuwa na watu wanafanya vizuri mzoezini. Ila kuhusu yale magoli Ki alikuwa anajua nini anacho kifanya na alikuwa habahatishi, mpira wowote utakaopigwa kimo cha chini,then ukadunda karibu na kipa una asilimia kubwa ikawa goli, tena kama Messi kishafunga magoli yale sana.
Aziz K ndio hakuperform ila ile style yake ya upigaji kama huna mazoezi kipa yoyote unafungwa na alikuwa anajua jinsi ya kuipiga ile mipira kwani kwa mipira ile bila shaka ni expert, Messi kishamtungua Van De Sar fainali ya UEFA style ile ile,Fabrigas na AC Milan mzunguko wa pili UEFA style ile ile,yapo magoli mengi sana yamefungwa kwa style ile ile mbele ya makipa bora duniani.
Au labda kwa sababu hajamfunga Manula la style ile ndio unaona uzembe?