Usajili wa Aziz Ki umeleta hasara kuliko faida?

Aahaaaa
 
Unajua sana
 
Hahahahahaha,acha ccm iwatawale
 
Hongera, Unaujua mpira mkuu....
 
Mpira wa Nabi unategemea zaidi counter attacks, ndio maana mfumo wake uliegemea kwa wakimbizaji.

Mayele, Moloko na Kisinda ndio walikuwa jeshi lake la kukimbiza. Morrison na Azizi Ki walistruggle Kwasababu hawana mbio, na Nabi alikuwa anasema hawana pumzi
 
Nadhani hata Gamond ndio unategemea zaidi counter attacks.
Kama umeifatilia vizuri Yanga msimu huu, wamekuwa hatari zaidi ukiwa unawashambulia.
 
Unajua boli
 
Aziz Ki ameanzia alipoishi Mayele, yeye ndio Top score mpaka tunafunga mwaka
 
Mpira wetu unakua kwa lasi sanaa tulipe fees za wanachama.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…