Usajili wa Aziz Ki umeleta hasara kuliko faida?

Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi.

Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz Ki analipwa million 25...kwanini Mimi nilipwe 15...hii hasara imezikumba timu zote mbili za kkooo.

Na hata huko Azam kila atakejiona ana perform kuliko Feisal atauliza mbona Feisal mnampa hela hizi Mimi hamnipi.

Yote haya chanzo Aziz Ki.
Sawa
20240212_170117.jpg
 
Ki ni natural no 10,nabi formula yake no 10 anashuka sana chini tena deep kama no 6 iko ndio ki alishindwa kwenda nacho,feisal alishaini 10 ya nabi sbb ni mkabaji asilia na ndio maana unaona mudathir kwa nabi no 10 alikua kishaanza kuimudu,ki akiachiwa acheze ile 10 asilia kama anavyocheza chama pale kwenu,mtaficha sura zenu hapa,ki akipunguziwa jukumu la kuanzisha mpira toka chini hamna no 10 atakaemfikia hapa TZ
Well said.
 
Hasara ambayo ipo kwa Azizi Ki ni kiwango chake kutokuwa constant yani kinapanda na kushuka kama dollar.

Huyu jamaa wana Yanga wengi walishindwa kuona weakness yake kwasababu baadhi ya magepu yanayo expose ubovu wake yalikuwa filled na ubora wa Mayele.

Sasa Mayele saizi kaondoka ina maana mchizi akiendelea na kiwango kile kile cha kauka nikuvae atajikuta yupo Ihefu kwa mkopo.
Ndugu yake mwathibu 😀😀
 
Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi.

Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz Ki analipwa million 25...kwanini Mimi nilipwe 15...hii hasara imezikumba timu zote mbili za kkooo.

Na hata huko Azam kila atakejiona ana perform kuliko Feisal atauliza mbona Feisal mnampa hela hizi Mimi hamnipi.

Yote haya chanzo Aziz Ki.
Angalau maandiko yako yalikuwa na balanced diet na hivyo ukakiepuka kikimbe anachoendelea kukinywea Mwasibu wetu.
 
Hasara ambayo ipo kwa Azizi Ki ni kiwango chake kutokuwa constant yani kinapanda na kushuka kama dollar.

Huyu jamaa wana Yanga wengi walishindwa kuona weakness yake kwasababu baadhi ya magepu yanayo expose ubovu wake yalikuwa filled na ubora wa Mayele.

Sasa Mayele saizi kaondoka ina maana mchizi akiendelea na kiwango kile kile cha kauka nikuvae atajikuta yupo Ihefu kwa mkopo.
Ana goli 17 huyu
 
Vipi Ihefu mmeshakamilisha usajili wa Ki Aziz kwa mkopo?
 
Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi.

Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz Ki analipwa million 25...kwanini Mimi nilipwe 15...hii hasara imezikumba timu zote mbili za kkooo.

Na hata huko Azam kila atakejiona ana perform kuliko Feisal atauliza mbona Feisal mnampa hela hizi Mimi hamnipi.

Yote haya chanzo Aziz Ki.
Wapi Muhasibu. Naona katoka nyoya
 
Back
Top Bottom