Usajili wa chama cha siasa cha National Economical Reformation Socialist Party -NERP

Hiki chama kitakua mbadala wa cdm,act na kina mbatia...Komaa baba kokomaa idea nzuri na ili kiwe bora zaidi kisizungumzie uongozi/viongozi waliopita,mwisho kiepuke hao jamaa wa umoja party

Ndio tiss mlivyopanga na kuaminishana hivyo? Kwanini kisiwe mbadala wa CCM maana ndio kinaendelea kukaa madarakani kwa shuruti? Safari hii mbinu yenu ndio mtajua kizazi hiki sio cha kuchaguliwa mke.
 
Vip kiongoz mna vina saba na umoja party ?
 
Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Kitakuwa CCM C au D?
 
Mwenye teknolojia anamtegemea mwenye resources na mwenye resources anamtegemea mwenye teknolojia, hivyo ni ishu ya nani anathamini zaidi alichonacho ndo atakefanikiwa zaidi
 
Kwenye t-shirt zenu ndio Kuna Picha ya Mwendakuzimu sio ?
 
Mkuu chama chetu kitakuwa mkombozi wa fikra na maendeleo ya kuweli kwa watu wote wala hatuhitaji ufadhali wa mtu yoyote baba Taifa hakuleta uhuru wa Taifa hili kwa kufadhiliwa na mtu yoyote ......
Idea nzuri ila utekelezaji wake kwa nchi yetu unaweza kuwa mgumu kwa sababu watanzania siyo watu wa kutafiti na kutafakari mambo hivyo wataona ni chama kama chama kingine tu. Ila kusema ukweli nchi yetu inahitaji mrengo kama huu. Halafu jina mngeliweka kwa kiswahili ingekuwa vizuri zaidi kwa watu kuelewa. NCCR Mageuzi imekuwepo miaka mingi lakini mpaka sasa ni watanzania wachache wenye kujua kirefu chake na kina maana gani.
 
Mwenye teknolojia anamtegemea mwenye resources na mwenye resources anamtegemea mwenye teknolojia, hivyo ni ishu ya nani anathamini zaidi alichonacho ndo atakefanikiwa zaidi
Teknolojia na mitaji ina thamani zaidi kuliko resources

Ndio maana wao ndio.hupanga bei ya resources zako wanunue bei gani mfano pamba,Madini nk lakini wewe huna ubavu wa kuwapangia bei zao za vitu unayoenda import toka kwao iwe magari,komputa ,mashine nk utabaki kupiga yowe tu ohh wanapanga wanunue vya kwetu kwa bei watakayo lakini Sisi hawaturuhusu kupanga bei vitu vyao tununue kwa bei gani hii siyo haki!!

Ndio maana kutwa tunaruka ruka kwenda nje kubembeleza wenye mitaji mikubwa na teknolojia waje wawekeze sababu Sisi wenyewe ni choka mbaya hatuna uwezo wa mitaji mikubwa wala teknolojia .Tulivyonavyo havizidi thamani ya mitaji na teknolojia waliyonayo ndio maana wao wamefanikiwa zaidi
 
China pia hakuna demokrasia ya vyama vingi kiko chama kimoja tu cha siasa lakini huwezi sikia mzungu akiongelea China kuwa iruhusu demokrasia ya vyama vingi
 
Kafanye utafiti vizuri mkuu..
Saudia ni Pro-western
 
Mwekezaji gani anataka kuwekeza nchi inayotawaliwa kwa mfumo mbovu wa Ujamaa? Mfumo ambao serikali inaweza kukurupuka na kutaifisha makampuni ya wawekezaji au kuvunja mikataba waliyoingia na wawekezaji. Angalia mfano wa nchi kama Venezuela. Ni nchi yenye mafuta na madini kibao lakini imekwama kiuchumi kwa sababu ya siasa za Ujamaa.
 
Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Vyama vya victoria hivi
 
Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Joined April 2021.

You know what it means😅
 
Hiki chama kitakua mbadala wa cdm,act na kina mbatia...Komaa baba kokomaa idea nzuri na ili kiwe bora zaidi kisizungumzie uongozi/viongozi waliopita,mwisho kiepuke hao jamaa wa umoja party
Aah wapi🙄
Hicho chama chenu mbona kitaangukia pua mapema sana!
Labda kiwe mbadala wa ccm tuu
 
Nenda Japan, Israel, Singapore na Switzerland ukawaambie huu ujinga wako kama hawajakuona kituko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…