The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ukute wamenusa ruzukuKama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute wamenusa ruzukuKama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Hiki chama kitakua mbadala wa cdm,act na kina mbatia...Komaa baba kokomaa idea nzuri na ili kiwe bora zaidi kisizungumzie uongozi/viongozi waliopita,mwisho kiepuke hao jamaa wa umoja party
Hao watu ni WA kuuwawa, mabeberu waliwafyeka toka enzi za Uhuru ..Siupendi ujamaa. Nikisikia ujamaa nakuwa kama nimesikia umasikini
Vip kiongoz mna vina saba na umoja party ?Nchi hii lazima ijitegemee kwa rources ilizonazo haihitaji foreign aid ,nahisi tunakosa exparties katika baadhi ya sector ambao wanaweza kuwa hired anywhere, tunahitaji machinery ,tunahitaji capital vyote vinaweza kupatikana , tunahitaji talented committed ethical strong leadership and management ----etc
Kitakuwa CCM C au D?Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Mwenye teknolojia anamtegemea mwenye resources na mwenye resources anamtegemea mwenye teknolojia, hivyo ni ishu ya nani anathamini zaidi alichonacho ndo atakefanikiwa zaidiJapan haina Resources zozote zaidi ya kuwa na teknolojia na inaendelea.Resouces zote wanaagiza nje.Ulichoandika porojo tupu.Ulaya na Marekani wameendelea sio sababu wana resources bali wana teknolojia. Resources zote zinatoka Afrika nk
Huwezi kuendelea bila kuwa na teknolojia yako ya hali ya juu.Kongo Madini yamejaa kibao lakini ni kama takataka tu sababu teknolojia hawana anatakiwa yaende ulaya ,marekani na Japan na Asia kwa wenye teknolojia za kujua wayafanyaje ili yawe nini
Tanzania pia kelele tu za ohh tuna resources za kutosha so what teknolojia hatuna
Kufaidi resources cha kwanza uwe na teknolojia
Mfano una chuma kinatumika kutengeneza sehemu mojawapo ya injini za magari lile block la injini teknolojia unayo ya kutengeneza hizo block za injini? Lakini injini kukamilika haihitaji hilo block peke yake ndani kuna vikorokoro vingi ambavyo huagizwa nchi zingine ili injini ikamilike Teknolojia unayo ya kuunda injini uuze injini za magari na ndege?
Bila teknolojia resources hazikufikishi mbali.Nchi zote zilizoendelea walijipanga uwezo wa teknolojia kwanza
Kwenye t-shirt zenu ndio Kuna Picha ya Mwendakuzimu sio ?Nchi hii lazima ijitegemee kwa rources ilizonazo haihitaji foreign aid ,nahisi tunakosa exparties katika baadhi ya sector ambao wanaweza kuwa hired anywhere, tunahitaji machinery ,tunahitaji capital vyote vinaweza kupatikana , tunahitaji talented committed ethical strong leadership and management ----etc
IMESHINDWA CCM KWA MIAKA 60 MADARAKANI MTAWEZA NINYI?Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Idea nzuri ila utekelezaji wake kwa nchi yetu unaweza kuwa mgumu kwa sababu watanzania siyo watu wa kutafiti na kutafakari mambo hivyo wataona ni chama kama chama kingine tu. Ila kusema ukweli nchi yetu inahitaji mrengo kama huu. Halafu jina mngeliweka kwa kiswahili ingekuwa vizuri zaidi kwa watu kuelewa. NCCR Mageuzi imekuwepo miaka mingi lakini mpaka sasa ni watanzania wachache wenye kujua kirefu chake na kina maana gani.Mkuu chama chetu kitakuwa mkombozi wa fikra na maendeleo ya kuweli kwa watu wote wala hatuhitaji ufadhali wa mtu yoyote baba Taifa hakuleta uhuru wa Taifa hili kwa kufadhiliwa na mtu yoyote ......
Teknolojia na mitaji ina thamani zaidi kuliko resourcesMwenye teknolojia anamtegemea mwenye resources na mwenye resources anamtegemea mwenye teknolojia, hivyo ni ishu ya nani anathamini zaidi alichonacho ndo atakefanikiwa zaidi
China pia hakuna demokrasia ya vyama vingi kiko chama kimoja tu cha siasa lakini huwezi sikia mzungu akiongelea China kuwa iruhusu demokrasia ya vyama vingiThe so called wazungu, hawatoi ufadhili usio na faida kwao, iwe chama cha siasa au genge la wahuni kama ulivyosema. Fanya research vizuri utawaelewa.
Hakuna democracy Saudia mfano, na hamna mzungu yeyote anayefungua domo hata kuulizia kulikoni hujiulizi?
Kafanye utafiti vizuri mkuu..The so called wazungu, hawatoi ufadhili usio na faida kwao, iwe chama cha siasa au genge la wahuni kama ulivyosema. Fanya research vizuri utawaelewa.
Hakuna democracy Saudia mfano, na hamna mzungu yeyote anayefungua domo hata kuulizia kulikoni hujiulizi?
Tutazunguka nchi nzima kuomba unngwaji mkono tukikamilisha usajili kaeni mkao wa kula ....
Vyama vya victoria hiviKama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
S- gang hii inatapa tapaVipi kuhus political reformation,
Demokrasia na Katiba mpya?
Joined April 2021.Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Ni chama kipi kinachotawala China?
Na hivi kweli unaelewa maana ya 'Ujamaa'?
Aah wapi🙄Hiki chama kitakua mbadala wa cdm,act na kina mbatia...Komaa baba kokomaa idea nzuri na ili kiwe bora zaidi kisizungumzie uongozi/viongozi waliopita,mwisho kiepuke hao jamaa wa umoja party
Nchi hii lazima ijitegemee kwa rources ilizonazo haihitaji foreign aid ,nahisi tunakosa exparties katika baadhi ya sector ambao wanaweza kuwa hired anywhere, tunahitaji machinery ,tunahitaji capital vyote vinaweza kupatikana , tunahitaji talented committed ethical strong leadership and management ----etc