Chama kiwe HALFCAST, mixture ya UJAMAA na UBEPARI, ktk Katiba yake, kichukue strengthes za CCM na CDM.Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Hakika, bila teknolojia resources hakufikishi popote, mashine za kuchimbia madini hatuna,Japan haina Resources zozote zaidi ya kuwa na teknolojia na inaendelea.Resouces zote wanaagiza nje.Ulichoandika porojo tupu.Ulaya na Marekani wameendelea sio sababu wana resources bali wana teknolojia. Resources zote zinatoka Afrika nk
Huwezi kuendelea bila kuwa na teknolojia yako ya hali ya juu.Kongo Madini yamejaa kibao lakini ni kama takataka tu sababu teknolojia hawana anatakiwa yaende ulaya ,marekani na Japan na Asia kwa wenye teknolojia za kujua wayafanyaje ili yawe nini
Tanzania pia kelele tu za ohh tuna resources za kutosha so what teknolojia hatuna
Kufaidi resources cha kwanza uwe na teknolojia
Mfano una chuma kinatumika kutengeneza sehemu mojawapo ya injini za magari lile block la injini teknolojia unayo ya kutengeneza hizo block za injini? Lakini injini kukamilika haihitaji hilo block peke yake ndani kuna vikorokoro vingi ambavyo huagizwa nchi zingine ili injini ikamilike Teknolojia unayo ya kuunda injini uuze injini za magari na ndege?
Bila teknolojia resources hazikufikishi mbali.Nchi zote zilizoendelea walijipanga uwezo wa teknolojia kwanza
Ni chama kipi kinachotawala China?
Na hivi kweli unaelewa maana ya 'Ujamaa'?
China pia hakuna demokrasia ya vyama vingi kiko chama kimoja tu cha siasa lakini huwezi sikia mzungu akiongelea China kuwa iruhusu demokrasia ya vyama vingi
Jamii gani iliyonufaika na ujamaa hao wachina c wamesambaa dunia nzima wanaokota makopo raia wa Magharibi omewaona wapi wakiokota makopo na mavyuma mabovu aacha ujamaa ni shida tupu ndio maana tanzania tulikuwa shida tupu wakati wa Nyerere au kijana ulikuwa bado hujazaliwa.
Tena China na Urusi balaaChina haina ujamaa tena,ni mabepari watupu.
Matola kwanini unawakatisha tamaa?Ukosefu wa ajira unawapa stress mpaka wanadhani Chama Cha siasa ni kama kikundi Cha Vicoba.
Chama kiwe HALFCAST, mixture ya UJAMAA na UBEPARI, ktk Katiba yake, kichukue strengthes za CCM na CDM.
Kiachane na Weaknesses za vyama hivyo, kireflect maoni ya wananchi ktk KATIBA mpya. Amen
Aim ni kuwa na vyama 3 strong, tupate balance wananchi, vyama vya mfukoni vifutwe vyote.Kinaweza kufanya yote hayo na bado kisipate wafuasi. Hiyo CDM na Ccm ni kama Simba na Yanga. Azam imechukua usimba na Uyanga kidogo lakini haipati washabiki bado.
Aim ni kuwa na vyama 3 strong, tupate balance wananchi, vyama vya mfukoni vifutwe vyote.
Ni maoni yangu ktk kuandika KATIBA mpya,ipi idadi inafaa ya vyama vya siasa vilete tija ktk Taifa.
Huku zenj kulikuwa na maduka ya ukoo ambako wiki mara moja unaruhusiwa kununua chakula kwa kiwango maaluum kutokana na familia yako ambayo imeotodheshwa kwenye kadi maaluum.Wakati tunapanga foleni kununua mchele, sukari kutoka Ugawaji na NMC, tulipitia kipindi kigumu sana, ujamaa ni umaskini
Tanzania HAINA TATIZO la chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili. Vyama vilivyopo vinatosha kabisa.Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Simba na yanga na CCM wana washabiki Tanzania bara na Zanzibar .Chadema Zanzibar haina kitu imezidiwa na washabiki wa simba, yanga na CCMKinaweza kufanya yote hayo na bado kisipate wafuasi. Hiyo CDM na Ccm ni kama Simba na Yanga. i
Siupendi ujamaa. Nikisikia ujamaa nakuwa kama nimesikia umasikini
Wanasaka ruzuku tu hao hahaKifupi Tanzania hatuna vyama serious vya upinzani hakiko vinavyobeba agenda ya wananchi
Chadema kipindi cha Dk Slaa akiwa katibu mkuu kilibeba agenda ya wananchi ambao kwa jumla wao walichoshwa na ufisadi
Chadema ikajipambanua kama mbeba agenda ya kupambana na ufisadi na wananchi wakakikubali sana .Baadaye Chadema ikageuka ikakumbatia mafisadi .Sasa inabweka tu ohh katiba mpya hilo sio Tatizo sugu Kero kwa watanzania wengi
Vyama vyote vya upinzani kifupi hakuna kibeba hoja za wananchi ni wachumia tumbo tu wasaka fursa tu