mkuu unakumbuka England as "workshop of the world"? chukua taswira hiyo to understand a capitalist society ambayo ilimchukiza mtu mmoja maskini akiitwa Karl Marx alieona vibarua wengi wakinyonywa na bepari mmoja tu ambae kila kukicha anakuza mtaji na kupaa kiuchumi!!
Nyerere alianzisha ujamaa ideology nchini kwa mhemko tu wa kutamani kutimiza ndoto za mzungu Karl Marx za kuona jamii yenye raia wasiopishana sana kiuchumi but Nyerere was blind to see other factors kama country level of economy and industrialization , foreign currency deposits, country level of science and technology, international transfer of capital and technology, level of democracy, Corruption level, inflation level, Population composition and literacy, Military power, Etc
With an assumption that Nyerere understood Socialism and how and when it ought to be implemented , then alitudharau sana raia na kutufanya sote wajinga kwa kuigeuza nchi kuwa laboratory kwa kutest ujamaa huku akijua kuwa anaenda kinyume na utaratibu wake wa kuanzishwa! Wazungu watakuwa walikuwa wakimuona kama katuni, kuimplement kitu chao tofauti na walivyoelekeza! sorry guys!
Sorry bro najua hupendi kusikia kuwa Baba yetu Nyerere alichemka na ujamaa wake ambao hakuuelewa kabisa kwa mtazamo wangu. mimi wamenisomesha ujamaa wazungu kama yeye ila mine is contemporary knowledge with no kukariri , ulaya mnafundishwa kisha kuna session kila mtu anasimama mbele anaeleza hiyo theory of the day na darasa zima wanasikiliza na kukukazia hamna utani na wanakuhoji na ukichemka maelezo darasa zima kila mtu anakurekebisha hapo kuna wazungu , wahindi , waarab waJapan wanaijeria wakenya waChina etc !! In short nimeuelewa ujamaa na ubepari kwa kichwa bila kushika kitabu nakuelezea kwa kiswahili A to Z na hapo utasema "Why did you our father of the nation misled our nation ?!"