mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Kuanzisha chama kipya cha siasa hakina tija katika mazingira ya siasa kitaifa na kimataifa kwa kuwa maamuzi ya viongozi wa kisiasa ni tegemezi kwa matakwa ya viongozi wa mataifa makubwa. Hivyo basi, waanzishaji hawana agenda mpya zaidi ya kutafuta upenyo wa kutekeleza agenda zao binafsiKama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.