Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Tafuteni kwanza jina la kiswahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni michongo. Kama lengo lenu ni siasa unganeni na vyama vilivyopo.Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Ww zungusha maneno utakavyo lakini KANU haiko hai, wala hawana tena chama cha aina ya CCM kinacholazimisha kukaa madarakani bila ridhaa ya umma, bali kutegemea vyombo vya dola.Uchaguzi ule ulikuwa wa marafiki na ndugu wakikuyu watupu
Kibaki aligombea kutaka uraisi kushindana na ndugu yake Kenyatta
Aliposhinda kibaki akamteua Kenyatta Waziri na alipoondoka Madarakani Kibaki akamkabidhi uraisi nduguye Kenyatta ambaye ni Raisi hadi leo.kimepungua nini KANU kutokuweko hewani au waliokuwa KANU kuweko hewani kwa kubadili jina kutoka KANU na kuvipa majina mapya vyama vyao?
Kenya walichofanya hawakuua KANU wali I rebrand kwa jina jipya ila watu wale wale wa KANU ni kama Sisi tulivyoona TANU na ASP vimechokwa tu ji rebrand tu kaja na CCM namba one!!!
Chama jina jipya watu wale wale
Exactly..! Absolutely right! Mavyama hayawezi kutukomboa!Nchi hii itakombolewa na wananchi wenyewe pasipo chama chochote cha siasa.
Ukweli mchungu!Uchaguzi ule ulikuwa wa marafiki na ndugu wakikuyu watupu
Kibaki aligombea kutaka uraisi kushindana na ndugu yake Kenyatta
Aliposhinda kibaki akamteua Kenyatta Waziri na alipoondoka Madarakani Kibaki akamkabidhi uraisi nduguye Kenyatta ambaye ni Raisi hadi leo.kimepungua nini KANU kutokuweko hewani au waliokuwa KANU kuweko hewani kwa kubadili jina kutoka KANU na kuvipa majina mapya vyama vyao?
Kenya walichofanya hawakuua KANU wali I rebrand kwa jina jipya ila watu wale wale wa KANU ni kama Sisi tulivyoona TANU na ASP vimechokwa tu ji rebrand tu kaja na CCM namba one!!!
Chama jina jipya watu wale wale
Uko sahihi mia kwa mia ndicho KANU Kenya walifanya na ndicho TANU na ASP walifanyaUkweli mchungu!
Ni sawa na magari ya mjapan engine zile zile body na majina tofauti!
maybe you are right but angalia tofauti ya China na Tanzania kuanzia ukubwa wa ardhi, idadi ya watu, majirani zao kina nani? elimu yao ikoje , level of science and technology nk.But China wamefanikiwa sana Ujamaa kuliko nchi nyingi za kibepari... Na Ujamaa wa China ulianza from Ziro.Ilikuwaje China wakafanikiwa? Na Ujamaa wetu tuliiga China( Kumbuka ziara ya Nyerere China mwaka 1965) ..... Nyerere alikuwa sahihi, but alikosa ushirikiano kutoka ndani na nje ya nchi.....wasaidizi wake walimwangusha.
Russia anayezidiwa GDP na California [emoji2][emoji2], hivi kwenye nchi kumi zenye uchumi mkubwa duniani, kuna nchi ngap za kijamaa?Mkuu embu angalia maendeleo ya china na Russia this two world superpowers ,,changanoto ya mfumo wa capitalist unanufaisha wachache , ujamaa unanufaisha jamii nzima ,
Vyama vya kwenye ma flashMkuu chama chetu kitakuwa mkombozi wa fikra na maendeleo ya kuweli kwa watu wote wala hatuhitaji ufadhali wa mtu yoyote baba Taifa hakuleta uhuru wa Taifa hili kwa kufadhiliwa na mtu yoyote ......
Ongezea na uwezo wao wa kiteknolojia naomba edit uongeze na kiwango chao cha teknolojiamaybe you are right but angalia tofauti ya China na Tanzania kuanzia ukubwa wa ardhi, idadi ya watu, majirani zao kina nani? elimu yao ikoje nk.
maswali nimebaki nayo ni jeOngezea na uwezo wao wa kiteknolojia naomba edit uongeze na kiwango chao cha teknolojia
Swala sio tu kunfuata mkumbo wa ideology tu una copy na ku paste ideology tu what about other factors uko sahihi.
Nyerere. Alicopy na ku paste ideology tu ya ujamaa bila ku consider other factors matokeo ujamaa wetu ulifeli na kufa kifo cha mende na Nyerere alivyoona ujamaa wake umeshinda aliouita ujamaa wa kiafrika yaani Afrikan Socialism akatimka kijanja ohh kutumia neno ambalo hata kwenye kamusi ya kiswahili halimo akasema anang'atuka kumbe alikimbia aibu ya ujamaa huo unaoitwa African Socialism kushindwa kufanya kazi Tanzania. Akambwagia Zigo Mwinyi la uraisi uchumi ukiwa hoi huo wa African socialism
Usikate TAMAA, nenda boresha, lete wadau watoe maoni ukihtaj msaada wa kipesa, changisha, Hata Nyerere alianza hvo.Nashukuru saana wadau kwa michango yenu mizuri , jina la chama kitakuwa cha Kiswahili Yaani CHAMA CHA UJENZI WA UCHUMI WA TAIFA ---:CCUT..Semi socialist party kitakachofuata mfumo wa soko huria ....Turning our natural resources into economical benefit ....hawezekani tukawapa kila tulichonacho as foreign aid substitute hawezekani win win situation ndiyo Sera yetu no 01.ya chama chetu lazima tukubaliane kwa pamoja kwamba something is not wright somewhere?? , hakuna nchi Duniani ambayo hailindi rasilimali zake hakuna tuache ubinafsi kwamba leo niko madarakani naweka mambo yangu sawa then unawaacha the rest of the population in dilemma ,,unaskia raha au fahari gani wewe mwenye utajiri wa kupindukia kuishi katikati ya maskini milion 55 waliokuzunguka????amkeni usingizini jamani ,,watoto , wajukuu wetu watapiga makaburi yetu tukikosa intergrity ktika hili ......
mtafute Makengeza akupe nondo za namna amejenga Saccos yake inaitwa Chadema ukimkosa mtafute demu wake JoyceNashukuru saana wadau kwa michango yenu mizuri , jina la chama kitakuwa cha Kiswahili Yaani CHAMA CHA UJENZI WA UCHUMI WA TAIFA ---:CCUT..Semi socialist party kitakachofuata mfumo wa soko huria ....Turning our natural resources into economical benefit ....hawezekani tukawapa kila tulichonacho as foreign aid substitute hawezekani win win situation ndiyo Sera yetu no 01.ya chama chetu lazima tukubaliane kwa pamoja kwamba something is not wright somewhere?? , hakuna nchi Duniani ambayo hailindi rasilimali zake hakuna tuache ubinafsi kwamba leo niko madarakani naweka mambo yangu sawa then unawaacha the rest of the population in dilemma ,,unaskia raha au fahari gani wewe mwenye utajiri wa kupindukia kuishi katikati ya maskini milion 55 waliokuzunguka????amkeni usingizini jamani ,,watoto , wajukuu wetu watapiga makaburi yetu tukikosa intergrity ktika hili ......
Viongozi wote wa vyama vya siasa wanalijua hilo lakini wakiingia madarakani hawana ubavu wa kutekeleza kwa sababu ya mawazo tegemezi na ukoloni mamboleo. Ushahidi ni kejeli, matusi na tuhuma, zilizotolewa na zinaendelea kutolewa na viongozi hao pamoja na wapambe wao, dhidi ya Rais wa Awamu ya Tano. Yeye alithubutu na kutekeleza usimamizi, ulinzi na matumizi ya rasimali za nchi hii kwa maendeleo ya Taifa. Mifano iko mingi:Nchi hii lazima ijitegemee kwa rources ilizonazo haihitaji foreign aid ,nahisi tunakosa exparties katika baadhi ya sector ambao wanaweza kuwa hired anywhere, tunahitaji machinery ,tunahitaji capital vyote vinaweza kupatikana , tunahitaji talented committed ethical strong leadership and management ----etc