Usajili wa chama cha siasa cha National Economical Reformation Socialist Party -NERP

Usajili wa chama cha siasa cha National Economical Reformation Socialist Party -NERP

Huyo jamaa anamshambulia huyo anayeelezea hiki chama, sijui akashughulike na familia yake blah blah
Wakati hamjui, akosoe chama na wazo la hicho chama

Huku mitandaoni ni sehemu ya kupima uvumilivu na uwezo wa hicho chama.
 
ujamaa ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania. Ni ideology ambayo watu wengi hawailewi! Ni ujinga eti mitaala yetu inafundisha kugawana (sharing) wakati hatuna utajiri wa viwanda badala ya mitaala kufundisha kutafuta (capitalism = investment)!

hivi Nyerere alituonaje? bahati yake namheshimu alituletea uhuru na pia umaskini!@

nb: wazungu hawakumuelewa Nyerere pamoja na kuandika vitabu kibao nao wakaacha ibaki inasomeka "ujamaa" japokuwa yeye Nyerere "ujamaa" alimaanisha "socialism". This means Nyerere ali implement ideology ambayo hakuilewa!

Marxist theory is very complex ideology which tries to analyse ill effects of capitalism and offers solutions to exploitation and unequal distribution of means of production.

Sasa we Nyerere unaanzishaje ujamaa wakati huna utajiri wa viwanda katika nchi , utajiri unaowanufaisha wachache wenye viwanda au makampuni kupitia kulipa wafanyakazi mishahara midogo huku wakibeba faida yote wao?

Unaanzishaje socialism kupinga capitalism ambayo it doesn't exist?

unaanzishaje ujamaa wakati jamii yako ina many classes? Kuna wakulima, wafanyabiashara wadogo, wenye viwanda na makampuni, waajiriwa serikalini, waajiriwa sekta binafsi , na hapo hapo class ya waajiriwa wa serikali na sekta binafsi nao wameajiri houseboys housegirls, wana saluni na maduka,mashuleni, makampuni nk? ni vurugu mechi!

a true capitalist society inayoumiza vibarua wanaonyonywa "proletariat" ina two classes "capitalIst" or bourgeoisie na workers " proletariats" sasa Nyerere alipoanzisha "Ujamaa" je tulikuwa na capitalist society? je nchi ilikuwa imeendelea kwa viwanda?

yaani Nyerere alizingua kinoma!

Mimi naamini nauelewa ujamaa kuliko Nyerere!! nikizeeka nitaandika "socialism" kwa kiswahili ili kutofautisha na "ujamaa" wa Nyerere

in short "ujamaa" sio "socialism" na huwezi kufanya "socialism" bila kwanza nchi kuwa "capitalist" na ukilazimisha lazima ufeli maana sio muundo wake!!

huwezi kutembea bila kuanza kukaa na kusimama
Lakini Nyerere alijenga viwanda mkuu, Hapo inamaanisha alikuwa anataka nchi ijitegemee.na kusisitiza kilimo.
 
National Economical Reformation Socialist Party -NERP. Hapo kwenye neno Socialist ndo umeharibu.​

KANU ilitolewa madarakani na ukabila, nitajie kabila lililoitoa madarakani.
Aliyekitoa madarakani KANU ni mkikuyu Mwai Kibaki ambaye wanatoka sehemu moja Na Uhuru Kenyatta. Kibaki alipomaliza muda wake akamkabidhi kijiti Uhuru Kenyatta mkikuyu mwenzie toka kijiji kimoja kuwa Raisi wa Kenya hadi leo

.Wakikuyu ndio waliishinda KANU yenye migogoro baada ya kukitoa na kuunda chama Chao cha kikabila wakaobwaga chino KANU ambayo iliamzishwa na Mkikuyu Jomo Kenyatta ambaye wanatoka kijiji kimoja na Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta !!!

Kifupi Wakikuyu walikoanzisha wenyewe na kukiua wenyewe baada ya kuona makabila mengine ndani ya KANU yanasumbua

Sio demokrasia iliyoua KANU ni ukabila
 
Lakini Nyerere alijenga viwanda mkuu, Hapo inamaanisha alikuwa anataka nchi ijitegemee.na kusisitiza kilimo.
mkuu unakumbuka England as "workshop of the world"? chukua taswira hiyo to understand a capitalist society ambayo ilimchukiza mtu mmoja maskini akiitwa Karl Marx alieona vibarua wengi wakinyonywa na bepari mmoja tu ambae kila kukicha anakuza mtaji na kupaa kiuchumi!!

Nyerere alianzisha ujamaa ideology nchini kwa mhemko tu wa kutamani kutimiza ndoto za mzungu Karl Marx za kuona jamii yenye raia wasiopishana sana kiuchumi but Nyerere was blind to see other factors kama country level of economy and industrialization , size of the land, foreign currency deposits, country level of science and technology, international transfer of capital and technology, level of democracy, Corruption level, inflation level, Population composition and literacy, Military power, Etc

With an assumption that Nyerere understood Socialism and how and when it ought to be implemented , then alitudharau sana raia na kutufanya sote wajinga kwa kuigeuza nchi kuwa laboratory kwa kutest ujamaa huku akijua kuwa anaenda kinyume na utaratibu wake wa kuanzishwa! Wazungu watakuwa walikuwa wakimuona kama katuni, kuimplement kitu chao tofauti na walivyoelekeza! sorry guys!

Sorry bro najua hupendi kusikia kuwa Baba yetu Nyerere alichemka na ujamaa wake ambao hakuuelewa kabisa kwa mtazamo wangu. mimi wamenisomesha ujamaa wazungu kama yeye ila mine is contemporary knowledge with no kukariri , ulaya mnafundishwa kisha kuna session kila mtu anasimama mbele bila nondo sijui kibuti unaeleza hiyo theory of the day kwa kichwa na darasa zima wanasikiliza na kukukazia hamna utani na wanakuhoji na ukichemka maelezo darasa zima kila mtu anakurekebisha hapo kuna wazungu , wahindi , waarab waJapan wanaijeria wakenya waChina etc !! In short nimeuelewa ujamaa na ubepari kwa kichwa bila kushika kitabu nakuelezea kwa kiswahili A to Z na hapo utasema "Why did you our father of the nation misled our nation ?!"
 
Jina la chama ni la kijamaa Chinese Communist Party !!! lakini nchi ya kibepari iliyojaa ubepari kila kona

Jina hawajabadilisha lakini sera na mipango yote ya ni ya kibepari inayotegemea uchumi wa soko huriua ambao kila mtu anafaidi kwa jasho lake na kujituma Kwake na faida apatayo ni yake hawagawani na mwingine ni yake .Kodi tu ndio Serikali inatumia ikishamkata!
Bado hujui wanachofanya China.
Tafuta muda ujielimishe zaidi.

Kwa siku hizi ni upuuzi kudhani ubepari au u-communist ndizo njia mbili pekee zinazoweza kujitegemea na kuleta maendeleo kwa wananchi bila ya njia hizo kutegemeana.
Na kwa taarifa yako, ujamaa hauna maana ya kuzuia watu wasifanye njia zao za kujiinua wenyewe, ili mradi wanapofanya hivyo wasififishe wengine nao kujifaidisha kwa wanayoyafanya.

Haisaidii kitu kukaririshwa jambo na kuacha kutumia akili zako kuchambua maana halisi ya kitu hicho. Unabaki unaimba tu ulichokaririshwa bila kujua maana yake ni nini hasa!
 
Ni kama vile unavyosikia Massachusetts Institute of Technology(MIT) ila wanafundisha Uchumi pia au unavyosikia SUA ila wanafundisha Rural development ambayo ni siasa kwa wingi. Jina la chama lisikupoteze.

Tanzania tuna Chama cha Mapinduzi ila hakijwahi kufanya mapinduzi yoyote na Katiba yetu ya mwaka 1977 inasema sisi ni taifa la kijamaa ila ujamaa ulikufa tangu mwaka 1985
Mkuu 'Yoda', unanipa elimu mbovu.
Chama cha Kikomunisti cha China, leo unaniambia wanaweza hata kujiita "Capitalist Party of China" na mambo yakabaki kama vile hakuna kilichobadilika?
Tatizo najua kwa watu wengi, ikiwemo na wewe ni kuamini kwamba haiwezekani nchi ikawa na mfumo usioegemea moja kwa moja kulia au kushoto, capitalist (pure) au communist (pure). Hakuna nchi ya namna hiyo duniani tena.
 
Jikombowe wewe na familia yako kwanza halafu ndio uje kujaribu kutulaghai na sisi.

Vyama vilivyopo vinapaswa kupunguzwa idadi na si kuongeza idadi.

Wananchi tuna jambo letu na Mzee Hashimu Rungwe msitutowe kwenye reli.
Naunga mkono Hoja hii!!
 
Aliyekitoa madarakani KANU ni mkikuyu Mwai Kibaki ambaye wanatoka sehemu moja Na Uhuru Kenyatta. Kibaki alipomaliza muda wake akamkabidhi kijiti Uhuru Kenyatta mkikuyu mwenzie toka kijiji kimoja kuwa Raisi wa Kenya hadi leo

.Wakikuyu ndio waliishinda KANU yenye migogoro baada ya kukitoa na kuunda chama Chao cha kikabila wakaobwaga chino KANU ambayo iliamzishwa na Mkikuyu Jomo Kenyatta ambaye wanatoka kijiji kimoja na Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta !!!

Kifupi Wakikuyu walikoanzisha wenyewe na kukiua wenyewe baada ya kuona makabila mengine ndani ya KANU yanasumbua

Sio demokrasia iliyoua KANU ni ukabila

Aliyekitoa madarakani KANU ni mkikuyu Mwai Kibaki ambaye wanatoka sehemu moja Na Uhuru Kenyatta. Kibaki alipomaliza muda wake akamkabidhi kijiti Uhuru Kenyatta mkikuyu mwenzie toka kijiji kimoja kuwa Raisi wa Kenya hadi leo

.Wakikuyu ndio waliishinda KANU yenye migogoro baada ya kukitoa na kuunda chama Chao cha kikabila wakaobwaga chino KANU ambayo iliamzishwa na Mkikuyu Jomo Kenyatta ambaye wanatoka kijiji kimoja na Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta !!!

Kifupi Wakikuyu walikoanzisha wenyewe na kukiua wenyewe baada ya kuona makabila mengine ndani ya KANU yanasumbua

Sio demokrasia iliyoua KANU ni ukabila

Acha upotoshaji wa kijinga, kama Wakikuyu ndio waliitoa KANU, mbona Moi alimpendekeza Uhuru awe mgombea wa urais? Hapa hoja yako ya ukabila haina mashiko.
 
Acha upotoshaji wa kijinga, kama Wakikuyu ndio waliitoa KANU, mbona Moi alimpendekeza Uhuru awe mgombea wa urais? Hapa hoja yako ya ukabila haina mashiko.
duh! hebu wakenya njooni mtueleze ila msisahau pia kutueleza kuhusu Saitoti
 
mkuu unakumbuka England as "workshop of the world"? chukua taswira hiyo to understand a capitalist society ambayo ilimchukiza mtu mmoja maskini akiitwa Karl Marx alieona vibarua wengi wakinyonywa na bepari mmoja tu ambae kila kukicha anakuza mtaji na kupaa kiuchumi!!

Nyerere alianzisha ujamaa ideology nchini kwa mhemko tu wa kutamani kutimiza ndoto za mzungu Karl Marx za kuona jamii yenye raia wasiopishana sana kiuchumi but Nyerere was blind to see other factors kama country level of economy and industrialization , foreign currency deposits, country level of science and technology, international transfer of capital and technology, level of democracy, Corruption level, inflation level, Population composition and literacy, Military power, Etc

With an assumption that Nyerere understood Socialism and how and when it ought to be implemented , then alitudharau sana raia na kutufanya sote wajinga kwa kuigeuza nchi kuwa laboratory kwa kutest ujamaa huku akijua kuwa anaenda kinyume na utaratibu wake wa kuanzishwa! Wazungu watakuwa walikuwa wakimuona kama katuni, kuimplement kitu chao tofauti na walivyoelekeza! sorry guys!

Sorry bro najua hupendi kusikia kuwa Baba yetu Nyerere alichemka na ujamaa wake ambao hakuuelewa kabisa kwa mtazamo wangu. mimi wamenisomesha ujamaa wazungu kama yeye ila mine is contemporary knowledge with no kukariri , ulaya mnafundishwa kisha kuna session kila mtu anasimama mbele anaeleza hiyo theory of the day na darasa zima wanasikiliza na kukukazia hamna utani na wanakuhoji na ukichemka maelezo darasa zima kila mtu anakurekebisha hapo kuna wazungu , wahindi , waarab waJapan wanaijeria wakenya waChina etc !! In short nimeuelewa ujamaa na ubepari kwa kichwa bila kushika kitabu nakuelezea kwa kiswahili A to Z na hapo utasema "Why did you our father of the nation misled our nation ?!"
But China wamefanikiwa sana Ujamaa kuliko nchi nyingi za kibepari... Na Ujamaa wa China ulianza from Ziro.Ilikuwaje China wakafanikiwa? Na Ujamaa wetu tuliiga China( Kumbuka ziara ya Nyerere China mwaka 1965) ..... Nyerere alikuwa sahihi, but alikosa ushirikiano kutoka ndani na nje ya nchi.....wasaidizi wake walimwangusha.
 
Acha upotoshaji wa kijinga, kama Wakikuyu ndio waliitoa KANU, mbona Moi alimpendekeza Uhuru awe mgombea wa urais? Hapa hoja yako ya ukabila haina mashiko.
Uchaguzi ule ulikuwa wa marafiki na ndugu wakikuyu watupu

Kibaki aligombea kutaka uraisi kushindana na ndugu yake Kenyatta

Aliposhinda kibaki akamteua Kenyatta Waziri na alipoondoka Madarakani Kibaki akamkabidhi uraisi nduguye Kenyatta ambaye ni Raisi hadi leo.kimepungua nini KANU kutokuweko hewani au waliokuwa KANU kuweko hewani kwa kubadili jina kutoka KANU na kuvipa majina mapya vyama vyao?

Kenya walichofanya hawakuua KANU wali I rebrand kwa jina jipya ila watu wale wale wa KANU ni kama Sisi tulivyoona TANU na ASP vimechokwa tu li ji rebrand tu kaja na CCM namba one!!!
Chama jina jipya watu wale wale
 
Lakini Nyerere alijenga viwanda mkuu, Hapo inamaanisha alikuwa anataka nchi ijitegemee.na kusisitiza kilimo.
Alijenga viwanda vya kilimo wakati watu wanalima kwa jembe la mkono!!! Alitakiwa kwanza ahamasishe kilimo cha mashamba makubwa yaani estates na cha kisasa ili kiweze kufeed viwanda .Kiwanda sio utani kinahitaji mazao mengi

Walimdanganya kuwa jenga viwanda vya kilimo wakati uzalishaji uko chini

Kiwanda hujengwa uzalishaji ukiwa juu
Viwanda vingi vilikufa kwa kukosa material na teknolojia duni na ukosefu wa soko la bidhaa zao duni walizokuwa wanazalisha na usimamizi usio na uwezo wowote wa maana na over employment
 
But China wamefanikiwa sana Ujamaa kuliko nchi nyingi za kibepari... Na Ujamaa wa China ulianza from Ziro.Ilikuwaje China wakafanikiwa? Na Ujamaa wetu tuliiga China( Kumbuka ziara ya Nyerere China mwaka 1965) ..... Nyerere alikuwa sahihi, but alikosa ushirikiano kutoka ndani na nje ya nchi.....wasaidizi wake walimwangusha.
China ujamaa kama ambavyo Urusi na nchi zote za ujamaa za Ulaya na Cuba haukufanikiwa ulishindwa
Serikali ya China ikajitoa kumiliki njia zote kuu za uchumi na wakabinafsisha na kuingia soko huru yaani free makert

Sema wao mabadiliko walienda haraka sana alipifariki kiongozi mjamaa Mao tse tung

Hakuna nchi yeyote ya kijamaa iliyofanikiwa kiuchumi kwa kutegemea siasa za ujamaa haipo
 
Back
Top Bottom