Kuanzisha chama kipya cha siasa hakina tija katika mazingira ya siasa kitaifa na kimataifa kwa kuwa maamuzi ya viongozi wa kisiasa ni tegemezi kwa matakwa ya viongozi wa mataifa makubwa. Hivyo basi, waanzishaji hawana agenda mpya zaidi ya kutafuta upenyo wa kutekeleza agenda zao binafsiKama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Dogo unaota tu, au umepewa assignment unataFuta desaNchi hii lazima ijitegemee kwa rources ilizonazo haihitaji foreign aid ,nahisi tunakosa exparties katika baadhi ya sector ambao wanaweza kuwa hired anywhere, tunahitaji machinery ,tunahitaji capital vyote vinaweza kupatikana , tunahitaji talented committed ethical strong leadership and management ----etc
Dogo jitahidi umalize shuleMkuu embu angalia maendeleo ya china na Russia this two world superpowers ,,changanoto ya mfumo wa capitalist unanufaisha wachache , ujamaa unanufaisha jamii nzima ,
[emoji1787] [emoji1787] Ni kweliSiupendi ujamaa. Nikisikia ujamaa nakuwa kama nimesikia umasikini
Ushauri kuntu.Sajilini NGO ndio mtapiga pesa vizuri, kusajili Chama Cha Sasa siyo deal hata wazungu wanaofadhiri siasa wanatowa ufadhili Kwa vyama kweli vinavyofanya siasa na siyo Kwa genge la wahuni waliokosa ajira na kuamuwa kuwalaghai Watanzania.
Mnipe nafasi niwe mtunga sera na kauli mbiu za chamaNchi hii lazima ijitegemee kwa rources ilizonazo haihitaji foreign aid ,nahisi tunakosa exparties katika baadhi ya sector ambao wanaweza kuwa hired anywhere, tunahitaji machinery ,tunahitaji capital vyote vinaweza kupatikana , tunahitaji talented committed ethical strong leadership and management ----etc
Unadhani kwenda kulima kama enzi ya kina dr klerruu?Siupendi ujamaa. Nikisikia ujamaa nakuwa kama nimesikia umasikini
The ban on women vehicle drivers in Saudi Arabia is no longer in force.. It was officially lifted on 24th June, 2018.So if they are, does it justify women not to drive cars?
Hao ndiyo umoja party wenyeweHiki chama kitakua mbadala wa cdm,act na kina mbatia...Komaa baba kokomaa idea nzuri na ili kiwe bora zaidi kisizungumzie uongozi/viongozi waliopita,mwisho kiepuke hao jamaa wa umoja party
Achaneni na mambo ya socialism na communism. Ni mifumo iliyofeli. Hakuna mahali socialism/communism iliwahi kuleta maisha bora kwa wananchi!Mkuu embu angalia maendeleo ya china na Russia this two world superpowers ,,changanoto ya mfumo wa capitalist unanufaisha wachache , ujamaa unanufaisha jamii nzima ,
Lakini tuko hapa kuwaletea habari njema falsa ya self-reliance ndiyo msingi wa chama chetu, utu , haki , Hakuna mzungu . myunani atakayetuletea maendeleo yetu bali sisi wenywewe , ujamaa ideolgy ambayo imejengwa katika mioyo wa wananchi inahitajikuhusishwa tena ,nakuja kama nabii wa kizazi hiki kuiokomboa Taifa hili na chama chetu cha NERDP,kuna maeneo lazima maslahi ya Taifa yazingatiwe kwa ajili ya kizazi cha leo na kizazi kichacho ,first preriority National interest .....
ok ni sahihi. Sasa hivi hatuna chama cha kijamaa maana hata hiyo ccm inaongozwa na mabepari.. wanaona hata aibu kujiita wajamaa.Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Ndio tiss mlivyopanga na kuaminishana hivyo? Kwanini kisiwe mbadala wa CCM maana ndio kinaendelea kukaa madarakani kwa shuruti? Safari hii mbinu yenu ndio mtajua kizazi hiki sio cha kuchaguliwa mke.
Hao ndiyo umoja party wenyewe
Ninyi mnaota ndoto.chama Cha kijamaa miaka hii kweli??Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.