Usajili wa ‘Kanisa la Neema’ uchunguzwe

Hahahah haha Magu alimjengea kweli?
 
Sipendi viongozi wa makanisa wanavyorushiana maneno, Ila sometimes inafurahisha!!!huwa nikimuona mzee wa upako anapohubiri anaminyaminya macho Kama mlevi kamulikwa na taa machoni, huwa nacheka sana.

Sijui Kama ana board of trustees maana toka kakobe alipopata matatizo ya kutaka kupinduliwa na waumini wake, mzee wa upako haamini mtu, hata wanakwaya, anahisi watampindua.
 
Yes biblia ni kitabu kama vingine
 
KWANZA TARATIBU ZA KUSAJILI KANISA NAZO ZIPITIWE UPYA. NA IKIWEZEKANA ZIFUTWE, KAMA MTU ANATAKA KUFANYA KAZI YA KUMTUMIKIA MUNGU APITIE KWENYE MADHEHEBU AMBAYO TAYARI YAPO. KAMA HAWEZI KUPITIA HUKO, HUYO ANATAKA KUANZISHA DINI YAKE, NALO LA KUWEPO DINI MPYA LITUNGIWE SHERIA NA KANUNI.
 
Kama kasema biblia ni kitabu cha kawaida kwa muono wake na hakuna sheria aliyovunja hana kosa! biblia haikuandikwa na mungu bali wanadamu ndio maana kuna biblia ya wasabato wameichakata wanavyojua wao,ipo ya mashahidi wa yehova na wakatoliki ,zipo za kipale kinyakyusa na kikinga wamezichakata wanavyojua wao! kwa hiyo hoja ya huyo mchungaji ijibuni kwa maandiko
 
Amevunja sheria,penal code,kwani maneno hayo yanakwaza wengine to the extent of disrupring peace.
 
Hilo si kanisa bali duka la kuchuuza roho za watu na kuuza neno la Mungu linalotumia roho mtakakitu
 
Mungu huwa hapiganiwi anajipigania
 
Tunaomba mifano mkuu ya namna anavyopindua biblia na iliwezekana weka clip yake hapa. Siyo wote tunamfuatilia mpinga kristo huyu
 
Kumuelewa siza masisi inahitaji uwe matured sana
hajui chochote, hana elimu ya theolojia, hana elimu ya Biblia tu, pia ni mlevi wa kupindukia, ukimwangalia hata mdomo wake tu ni wa kilevi, anaongea kilevi na anahamasisha kunywa pombe. serikali isipoangalia hili kanisa kuna siku atakuja kuchinja watu, na makondoo ya siku hizi yalivyo, yanapelekeshwa tu hata na mlevi.
 
Mtoa mada katika kila maumivu kanisa inayopitia Neno limekwisha toa suruhisho lake haina haja ya kuisumbua mamlaka ya kidunia isiyo na uhalali wa kuingilia imani ya Ukristo. Kwani jambo hili ni jipya kimaandiko?. Akina Mtume Paul hawakukabiliana na hili pia?. Je walikwenda kushtaki kwenye mamlaka za Kirumi?.

Iwe kwa hila au kwa kweli Kristo anahubiriwa. Waachwe wala asizuiliwe serikali iingilie kati pale tu amani ya nchi inapo hatarini. Sio jukumu letu Wakristo kuwashambulia wapinga Kristo kwa kuwadhuru cha kufanya tui hubiri kweli na ikibidi tuhojiane nao kama walivyofanya Mitume.

Kumbuka Serikali ikiingilia kati hata haya ya zamani yanamapungufu mengi tu hayatabaki salama kabisa. Ona Rwanda kanisa halikui kabisa na ukumbuke kanisa na kutaniko linaanza na watu wawili au watatu yaani Kibiblia mkiwa watatu mkakutana kwa jina la Kristo hilo ni kanisa tayari maana Kristo anakuwepo.
 
Pole sana mtoa mada. Nimekufuatilia na kuona kweli unapata maumivu makali unavyoona mafundisho yanayoonekana ni tofauti na tunavyotarajia. Naomba watu wa goggle Jonestown masaccre ilivyotokea kule Guyana mwaka 1978 kutokana na cult, na waathirika wengi katika hali anayosema Chapwa24 wanakuwa ni watu wa hali za chini ambao ni rahisi kuwa manipulated kutokana na shida zao za kimwili.
 
of course, Mungu ameshaanza kumshughulikia. Grace na mume wake wamedanganya watanzania kwa muda mrefu sana na bidhaa zao za sabuni, mafuta na losheni ambazo hazitengenezwi kiwandani, wanazitengenezea nyumbani. sijui waliingia mkataba gani na shetani ambaye amewapa condition ya kuyafanya hayo wanayoyafanya ili wapate pesa, na pesa wanazo za kufund kitelevisheni chao na sabuni anazoziuza. nawapa tu pole wateja wa bidhaa zake za sabuni, shetani amewapiga sumu nyingi sana ombeni Mungu msijepata caner baadaye kwasababu kila kitu wanachokifanya inaonekana kinatokana na cult, ni kakikundi ka shetani na shetani hatoagi vitu bure, lazima ameangamiza wengi kwa kutumia bidhaa zake, na ni kwa maombi ya watu wa Mungu wao wenyewe wameajianika bila kujijua, hadi serikali ikawafungia usajili.

kwa makanisa ya aina hii, unasubiri hadi Yesu ashuke mzima mzima kimwili aje akuambie kuwa hiyo ni cult? na watu wanaotengeneza bidhaa zinazotumiwa na watu kama ndio hawa, watashindwa kuingia mkataba wowote na shetani wapate pesa za mauzo ila miili ya watanzania waharibikiwe kwenye sabuni na mafuta wanayoyatengeneza? how can you trust a man such as this to make a soap for you? watu walevi, wajinga na wanaotukana kazi za Mungu. Mungu awaumbue na kuwashughulikia hadi watakapogeuka na kumrudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…