kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,631
Yule Jamaa Yuko high insight Sana kwenye mafundisho kama utamwona anapotosha hujamwelewa vizuri ..pia nakubaliana ana mafundisho potufu lakin pia anayo mazuri Sana...ukikaa kujifunza unaweza elewa vitu vingi toka kwake na vikakusaidia kwenye ukristo..tatizo tumekariri Sana dini zetu na mafundisho hatutaki kijifunza zaidi ....sijaona utapeli anaofanya yule Jamaa yeye siku zote ni kufundisha Tena ubao...Hana Mambo sijui ya kujiita nabii au kuuza mafuta sijui bla blaa zingine Hana kabisa...