Mkuu laiti kama faida hawapati kwa mabasi ya kichina usingeona Abood kaongeza mabasi mengine ya kichina. Kumbuka huyu alianzaa mabasi ya scania kisha ndipo kaamia kwenye mchina hivyo anajua anachokifanya. Nadhani wanaofeli watakuwa wanafeli kwenye uangalizi, na utunzaji wa magari. Ni mtazamo wangu.Mchina aliwa hadaa watu Kwa mikopo ndio wamezileta nyingi lakini katu Mchina hawezi kuingia Kwa Scania!!..Faida ni Abiria na mizigo kuwa mingi!!..Kama Una nunua Gari kubwa unatumia 2 years imekufa,Faida unapata wapi?!!..Hebu piga hesabu hizo kwenye Daladala ambazo Abiria wapo kila saa!!..
oyaa sijawahi kunywa kinywaji bomba kama alkasusiVya kahawa nafuu. Hivi ni vijiwe vya alkasusu
Njia ya Mwanza/Dar uliza wafanyabiashara/wanafunzi wa njia hii kuhusu Najmunisa miaka ya 90 hukoHao wote uliowataja wamemkuta abood tayari yupo kwenye game. Na sina uhakika kama hao uliowataja wamefikisha miaka 20 kwenye game. Mfano Bm ni wa juzi juzi tu hapa kwenye miaka ya elfu mbili na kumi na kitu.
Sijakuwekea na Sai babaHao wote uliowataja wamemkuta abood tayari yupo kwenye game. Na sina uhakika kama hao uliowataja wamefikisha miaka 20 kwenye game. Mfano Bm ni wa juzi juzi tu hapa kwenye miaka ya elfu mbili na kumi na kitu.
Abood ameanza biashara ya mabasi 1986 hadi leo tunavyojadili mimi na wewe na alianza na mabasi manne (4) tu lakini leo anayo yasiyo na idadiWewe unataka kubishana Tu hapa na kwasababu wewe wa Juzi juzi hapa!!..BM ameanza biashara ya Mabasi Turiani huko, Kilimanjaro ndio ilikua Sawaya,Mtei hata Baba yangu akiwa ana Anza maisha kazipanda,Dar Express ni mkongwe kuliko Abood,Hawa kina Mbelesero group kitambo,Raha Leo Kwa Tanga wanajua shughuli yake 1997,Shekh Tashriff huko Tanga wanajua Kazi zake za 1990,
Hapo ni wapi ?
Utunzaji wa gari ni wew tu mmiliki ndo mana kuna bus za kichina zina miaka4 mfano ni huyo abood hata hizo scania unazosema ulizia sauli ipi hawajawah kufungua mashine zingine zaid ya 4 timesMchina aliwa hadaa watu Kwa mikopo ndio wamezileta nyingi lakini katu Mchina hawezi kuingia Kwa Scania!!..Faida ni Abiria na mizigo kuwa mingi!!..Kama Una nunua Gari kubwa unatumia 2 years imekufa,Faida unapata wapi?!!..Hebu piga hesabu hizo kwenye Daladala ambazo Abiria wapo kila saa!!..
53*4=212 wote huanza kwenda Sauli kwanza then ndo warudi NF sawa kakaHujanielewa ninacho maanisha Sauli anaanza kujaza yeye ndo wengine wanafuata hiyo ndo maana ya kuteka soko..na sio wingi wa gari
Ipo yutong ila nasikia za chinichini alibadili chassis akaweka jiko la mswedenKLM ana mchina?
Zipo ngapi izo mchina za kilimanjaro mi naijua moja tuNimesema route ya dar/arusha na pia kama KLM ndio kilimanjaro express basi mchina anazo za kutosha tuu
Kaa njia ya bagamoyo utajua idadi zakeZipo ngapi izo mchina za kilimanjaro mi naijua moja tu
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Dunia ya leo si ya mtu kukaa bagamoyo kujua idadi za mchina za kilimanjaro...wana page yao kabisa instagram na list ya picha ya basi zao zote mchina ni mmoja tu izo nyingine zote scania...Kaa njia ya bagamoyo utajua idadi zake
Huyu kapatwa na nini😂😂
Acha fix mzee hakuna kampuni bongo yennye bus za abiria zaidi ya mia 3 hizo story za kijiweni tu, abood rout zake nnchi nzima ni.Abood ana mabasi zaidi ya 300 unashangaaje hayo20
Sauli ana bus 7Saul ana Bus 4 tu
Super feo mamia