changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Mkuu laiti kama faida hawapati kwa mabasi ya kichina usingeona Abood kaongeza mabasi mengine ya kichina. Kumbuka huyu alianzaa mabasi ya scania kisha ndipo kaamia kwenye mchina hivyo anajua anachokifanya. Nadhani wanaofeli watakuwa wanafeli kwenye uangalizi, na utunzaji wa magari. Ni mtazamo wangu.Mchina aliwa hadaa watu Kwa mikopo ndio wamezileta nyingi lakini katu Mchina hawezi kuingia Kwa Scania!!..Faida ni Abiria na mizigo kuwa mingi!!..Kama Una nunua Gari kubwa unatumia 2 years imekufa,Faida unapata wapi?!!..Hebu piga hesabu hizo kwenye Daladala ambazo Abiria wapo kila saa!!..