Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Hata huyo sauli atanunua tu za kichina mpe muda!
Unanunua sufuria moja kwa milioni 500 mchina napata bus 2 na moja ya Dhamana, sufuria moja siti 52,mchina zangu tatu siti 156 mara nauli 40000/= miaka 2 nauza mchina nusu bei na faida juu ya kuchukua basi zingine 6 .Hadi uje urejeshe hela ya sufuria ni miaka 6 au 8.
Mfanyabiashara makini afungi ndoa na bus ikirudisha pesa na faida unasukuma unaleta new
 
,Mchina anazo zote kulingana na pesa yako.Nunua Mchina changia uchumi wa China,wabongo wamelala wameshindwa kuchangamkia fursa ya kujenga viwanda vya kuunda mabasi na daladala soko ni kubwa halina mwenyewe, tuendelee kuchangia uchumi wa China na japan
 
Wapenzi wote wa simba upanda Abood
 
Hii ilinikuta hata mimi mwaka 2018 tu pale msamvu wakati nakuja dar.
Nilikuta bus kampuni ya BM likiwa na abiria kama wote huku abood na new force zikiwa empty lakini zilikua zinajaa na kuondoka na kutuacha tunagombana na mkatisha tikiti
 
Kuna sauli moja DPN ina miaka miwili na nusu barabarani...inapiga tupa geuka kila siku..inaweza piga tupa geuka muda mrefu na haiend service... New force ikienda tunduma ikirud dar inaenda gereji..bado mchina anakula pesa mwenye maintenance tofauti na scania ambae kwa mwezi unaweza kupiga service moja tu au mbili
 
Hii ilinikuta hata mimi mwaka 2018 tu pale msamvu wakati nakuja dar.
Nilikuta bus kampuni ya BM likiwa na abiria kama wote huku abood na new force zikiwa empty lakini zilikua zinajaa na kuondoka na kutuacha tunagombana na mkatisha tikiti
KILA ruti huwa Ina mwamba wake kabla ujakata tiketi lazima ufanye kwanza saveyi
 
Mkuu bus huwa zinapigwa spana usiku kesho unaiona tena barabarani!

Hakuna gari isiyopata ugonjwa isipokuwa zinazidiana changamoto za hapa na pale..

Haiwezekani gari ikimbie km 830 dar- mbeya kila siku kwa miaka miwili mfululizo isilete shida yoyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…