Premise ya hoja yako umeijenga kupitia probability "Huwenda"Sikutegemea na wewe kufikia levo ya umbumbumbu kiasi hiki .Qatar gani alikokiwasha ya Buza au ? hujui kuwa huenda hata asipate nafasi ya kuitwa tena timu ya Taifa baada ya kuja ukoloni vilevile mchezaji anaweza akaitwa timu ya Taifa mechi moja au mbili halafu akapigwa pini ?
Nafasi yake ya kuitwa tena labda akiwashe kwa kiwango kikubwa tena Simba kwani hapa ni bongo mchezaji anaweza kuja na Cv kubwa mwisho wa siku akachemsha vibaya .
hehhehehehehe kwel jaman da joyce shoga angu.😁😁😁Ni muda wa mbumbumbu kujifurahisha sasa
Namaanisha kwenye mshono kweli.
Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah.
Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka kwenye ligi ya ndani [ligi kuu ya Ghana], jamaa ametoboa kwenye kikosi na mwenzie mmoja pekee.
Namaanisha, kutoka ligi kuu ya Ghana, wachezaji waliofanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa ni Okrah na mwenzie mmoja, wengine wote wametoka nje ya nchi.
Sasa hapa utamlinganisha Okrah na nani? yule mvuta bange anayelilia kuitwa timu ya taifa ya kwao lakini haitwi? au wale wazee waliokuwa rejected Congo, Angola, na Ulaya ambao tunapigiwa kelele kila siku za kuwasifia na wasiojielewa?!
Kwa hili teke la chini ya mkanda walilopiga Simba SC leo kwenye usajili, nawashauri watoe siku tatu za mapumziko kwa utopolo mpaka watakapopata nafuu ndio watangaze kifaa kingine, uto wasije kutoka damu buree..
Bahati yenu nimeshawaombea siku tatu za mapumziko!View attachment 2289176
Tushawazoea hao
Wakae mbali na Okrah [sterling] wao wamejiona wajanja kurudia kusajili mabange!Mkuu, nimesoma huku nacheka ingawa mimi chama langu simba [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]umewapiga mkwara hao vyura yaani hatari yaani hasa aya ya pili na ya tatu ndio chorus!
Hapa umeandika chini ya kiwangoViongozi wao wanawajua kwamba wao wakiona Cv wanaridhika ndio maana wakaletewa Pablo kutokea Real Madrid ya Buza.
Upo sahii 100% ila Okra ni habari nyingine...🤣🤣🤣🤣🤣Ghana na Nigeria bila kuhonga uitwi timu ya Taifa. Ata Azam ilikua na wachezaji wanaitwa timu ya Taifa kwakua walikua wakijiongeza.
Uto wameshachanganyikiwa kwa pigo moja tu.Hapa umeandika chini ya kiwango
Mchezaji anasajiliwa kwa kuangalia recently records ambazo mtu yeyote anaweza kujihakikishia kujua kama hizo sifa anastahili au la
Hata wewe unaweza kufatilia katika database ukaona kweli hao wachezaji wana huo ubora ambao Simba wameusema, sasa Kusema viongozi wanasajili kwa kuangalia CV huo ni zaidi ya upimbi
Maelezo Marefu Af Mwisho Wa Siku Mkikutana Na Yanga Uwanjani Mnapasuliwa Au Mtaishia Kushangilia Sare Af Na Makombe Yanaenda Tena Jangwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Namaanisha kwenye mshono kweli.
Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah.
Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka kwenye ligi ya ndani [ligi kuu ya Ghana], jamaa ametoboa kwenye kikosi na mwenzie mmoja pekee.
Hivi uto mnanielewa?
Namaanisha, kutoka ligi kuu ya Ghana, wachezaji waliofanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa ni Okrah na mwenzie mmoja, wengine wote wametoka nje ya nchi.
Sasa hapa utamlinganisha Okrah na nani? yule mvuta bange anayelilia kuitwa timu ya taifa ya kwao lakini haitwi? au wale wazee waliokuwa rejected Congo, Angola, na Ulaya ambao tunapigiwa kelele kila siku za kuwasifia na wasiojielewa?!
Kwa hili teke la chini ya mkanda walilopiga Simba SC leo kwenye usajili, nawashauri watoe siku tatu za mapumziko kwa utopolo mpaka watakapopata nafuu ndio watangaze kifaa kingine, uto wasije kutoka damu buree..
Kwani ele bendi yenu ya kongo pale utopoloni imekufa?Tutawafungulia bendi ya taarab muwe mnatuimbia humu jukwaani. Maana muda wote mmekalia vijembe na mipasho tu.
Mimi Nakwambia Hivi Sisi Tukifungwa Na Nyie Kwenye Mechi Yoyote ile Msimu Ujao Popote Utakapoona Comment Au Post Yangu Hapa JF Niite Mbwaa *****.Hizi ramli mlifundishwa na nani pale jangwani?
Manyani leo mmerudi polini.Ni muda wa mbumbumbu kujifurahisha sasa
Jamaa anafunga hata akiwa bench, mechi 32 magoli 85 assist 42, ana shoot mitre 200 mwaka huu final ya CAFWakimbie tu kwa usalama wao, maana jamaa ana uwezo wa kufunga magoli ya kila style, kuitwa timu ya taifa ya Ghana pekee ni kielelezo tosha cha ufundi wake..
Mpira Sio tako kama lako!!Wanaleta mshambuliaji mwenye goli 2 kwenye mechi 40 halafu wanatupigia kelele kweli?
Watajuta!