Usajili wa Okrah: Simba SC leo wamepiga kwenye mshono haswa

Sikutegemea na wewe kufikia levo ya umbumbumbu kiasi hiki .Qatar gani alikokiwasha ya Buza au ? hujui kuwa huenda hata asipate nafasi ya kuitwa tena timu ya Taifa baada ya kuja ukoloni vilevile mchezaji anaweza akaitwa timu ya Taifa mechi moja au mbili halafu akapigwa pini ?

Nafasi yake ya kuitwa tena labda akiwashe kwa kiwango kikubwa tena Simba kwani hapa ni bongo mchezaji anaweza kuja na Cv kubwa mwisho wa siku akachemsha vibaya .
Premise ya hoja yako umeijenga kupitia probability "Huwenda"
 
Namaanisha kwenye mshono kweli.

Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah.

Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka kwenye ligi ya ndani [ligi kuu ya Ghana], jamaa ametoboa kwenye kikosi na mwenzie mmoja pekee.

Namaanisha, kutoka ligi kuu ya Ghana, wachezaji waliofanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa ni Okrah na mwenzie mmoja, wengine wote wametoka nje ya nchi.

Sasa hapa utamlinganisha Okrah na nani? yule mvuta bange anayelilia kuitwa timu ya taifa ya kwao lakini haitwi? au wale wazee waliokuwa rejected Congo, Angola, na Ulaya ambao tunapigiwa kelele kila siku za kuwasifia na wasiojielewa?!

Kwa hili teke la chini ya mkanda walilopiga Simba SC leo kwenye usajili, nawashauri watoe siku tatu za mapumziko kwa utopolo mpaka watakapopata nafuu ndio watangaze kifaa kingine, uto wasije kutoka damu buree..

Mkuu, nimesoma huku nacheka ingawa mimi chama langu simba [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]umewapiga mkwara hao vyura yaani hatari yaani hasa aya ya pili na ya tatu ndio chorus!
 
Wakae mbali na Okrah [sterling] wao wamejiona wajanja kurudia kusajili mabange!
 
Kuiga design ya jezi sio mbaya, afterall hara Bayern wameiga kutoka kwa PSG na Madrid. Tiktok imekaaje hapo wadau?

Mwaka huu natamani tuwe na jezi kali kuliko za msimu uliopita.
IMG_20220713_201424.jpg
 
Viongozi wao wanawajua kwamba wao wakiona Cv wanaridhika ndio maana wakaletewa Pablo kutokea Real Madrid ya Buza.
Hapa umeandika chini ya kiwango

Mchezaji anasajiliwa kwa kuangalia recently records ambazo mtu yeyote anaweza kujihakikishia kujua kama hizo sifa anastahili au la

Hata wewe unaweza kufatilia katika database ukaona kweli hao wachezaji wana huo ubora ambao Simba wameusema, sasa Kusema viongozi wanasajili kwa kuangalia CV huo ni zaidi ya upimbi
 
Ghana na Nigeria bila kuhonga uitwi timu ya Taifa. Ata Azam ilikua na wachezaji wanaitwa timu ya Taifa kwakua walikua wakijiongeza.
Upo sahii 100% ila Okra ni habari nyingine...🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa umeandika chini ya kiwango

Mchezaji anasajiliwa kwa kuangalia recently records ambazo mtu yeyote anaweza kujihakikishia kujua kama hizo sifa anastahili au la

Hata wewe unaweza kufatilia katika database ukaona kweli hao wachezaji wana huo ubora ambao Simba wameusema, sasa Kusema viongozi wanasajili kwa kuangalia CV huo ni zaidi ya upimbi
Uto wameshachanganyikiwa kwa pigo moja tu.

Sasa wanaokota story za magazetini wanadai zimetoka kwa wanasimba!
 
Namaanisha kwenye mshono kweli.

Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah.

Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka kwenye ligi ya ndani [ligi kuu ya Ghana], jamaa ametoboa kwenye kikosi na mwenzie mmoja pekee.

Hivi uto mnanielewa?

Namaanisha, kutoka ligi kuu ya Ghana, wachezaji waliofanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa ni Okrah na mwenzie mmoja, wengine wote wametoka nje ya nchi.

Sasa hapa utamlinganisha Okrah na nani? yule mvuta bange anayelilia kuitwa timu ya taifa ya kwao lakini haitwi? au wale wazee waliokuwa rejected Congo, Angola, na Ulaya ambao tunapigiwa kelele kila siku za kuwasifia na wasiojielewa?!

Kwa hili teke la chini ya mkanda walilopiga Simba SC leo kwenye usajili, nawashauri watoe siku tatu za mapumziko kwa utopolo mpaka watakapopata nafuu ndio watangaze kifaa kingine, uto wasije kutoka damu buree..
Maelezo Marefu Af Mwisho Wa Siku Mkikutana Na Yanga Uwanjani Mnapasuliwa Au Mtaishia Kushangilia Sare Af Na Makombe Yanaenda Tena Jangwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizi ramli mlifundishwa na nani pale jangwani?
 
Hata chikwende alikuja na mkapamba hivi 😂, trh 8 Sio mbali utapigwaa KWENYE ule mtaro aliyokutengenezea fei.

Nasikia Dunia ya Buza omesimama😂😂
 
Back
Top Bottom