Usajili wa Okrah: Simba SC leo wamepiga kwenye mshono haswa

Huo upole unatupa wewe,hamna hata mchezaji wa kufanya tuwe wapole pale,nyie endeleeni kujifariji ndio wakati wenu huu,sie hatuna habari tunawasikilizia msuva na aziz ki wetu
Huyo Msuva aliyepuuzwa na Casablanca kwa kutolipwa mishahara yake huku wenzake wakilipwa.

Msuva alionesha kiwango kidogo sana hadi akapuuzwa na timu yake ndo maana yupo nyumbani tu.

Wenzake wenye viwango kina Mbwana Samata wapo nje wanapiga kazi.
 
Namaanisha kwenye mshono kweli.

Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah.

Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka kwenye ligi ya ndani [ligi kuu ya Ghana], jamaa ametoboa kwenye kikosi na mwenzie mmoja pekee.

Hivi uto mnanielewa?

Namaanisha, kutoka ligi kuu ya Ghana, wachezaji waliofanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa ni Okrah na mwenzie mmoja, wengine wote wametoka nje ya nchi.

Sasa hapa utamlinganisha Okrah na nani? yule mvuta mabange anayelilia kuitwa timu ya taifa ya kwao lakini haitwi? au wale wazee waliokuwa rejected Congo, Angola, na Ulaya ambao tunapigiwa kelele kila siku za kuwasifia na nyie msiojielewa?!

Kwa hili teke la chini ya mkanda walilopiga Simba SC leo kwenye usajili, nawashauri watoe siku tatu za mapumziko kwa utopolo mpaka watakapopata nafuu ndio watangaze kifaa kingine, uto wasije kutoka damu buree..
Huyo aliyekuwa rejected kwenye timu ya taifa ya Kongo si ndo aliyewakamulia Colgate.
 
Simba inachukua vyuma vinavyojiandaa kwenda ulaya, wakati jamaa zetu wanachukua waliotoka huko miaka 20 iliyopita!.

Hapo kwenye kupasua ngoja tuone kiungo atakaefuata kusajiliwa, lakini hata kwa kiungo mkabaji aliyetoka Coastal jamaa ana nguvu na mapafu, goli moja assist 3.
Miaka 28 atakwenda Ulaya ipi? Akitoka Simba kwenda Ulaya mnipige mawe niko pale nimekaa.
Nyie mapacha wa Kariakoo wote mnafanana chekaneni hapa hapa.
 
Huyo aliyekuwa rejected kwenye timu ya taifa ya Kongo si ndo aliyewakamulia Colgate.
Simba SC inaangalia wachezaji wanaochezea timu za mataifa yao, wakati nyani mnaenda kuchukua wastaafu ambao wengine hata timu za taifa hawajawahi kukanyaga!

Vua miwani yako ya ujinga uione tofauti!.
 
Miaka 28 atakwenda Ulaya ipi? Akitoka Simba kwenda Ulaya mnipige mawe niko pale nimekaa.
Nyie mapacha wa Kariakoo wote mnafanana chekaneni hapa hapa.
Uko pale wapi...?!

Siku ikifika unakimbia jukwaa, uto mnateseka sana.
 
Simba SC inaangalia wachezaji wanaochezea timu za mataifa yao, wakati nyani mnaenda kuchukua wastaafu ambao wengine hata timu za taifa hawajawahi kukanyaga!

Vua miwani yako ya ujinga uione tofauti!.
Utoto unakusumbua.
Wakubwa huwa tunaangalia matokeo.
Kama ulipita shule basi lugha nyepesi ni kwamba aliyefeli Kibaha SS, au Mzumbe SS au St. Francis akiwekwa Benjamini Mkapa SS anawaburuza. Hiyo ndo Kongo na huyo ndo Mayele. Yaani kama ulikuwa hujui Kongo ina wachezaji wengi Ulaya kuliko Ghana.
 
Sikutegemea na wewe kufikia levo ya umbumbumbu kiasi hiki .Qatar gani alikokiwasha ya Buza au ? hujui kuwa huenda hata asipate nafasi ya kuitwa tena timu ya Taifa baada ya kuja ukoloni vilevile mchezaji anaweza akaitwa timu ya Taifa mechi moja au mbili halafu akapigwa pini ?

Nafasi yake ya kuitwa tena labda akiwashe kwa kiwango kikubwa tena Simba kwani hapa ni bongo mchezaji anaweza kuja na Cv kubwa mwisho wa siku akachemsha vibaya .
Morison ameitwa mara ngapi?tuanzie hapo
 
Utoto unakusumbua.
Wakubwa huwa tunaangalia matokeo.
Kama ulipita shule basi lugha nyepesi ni kwamba aliyefeli Kibaha SS, au Mzumbe SS au St. Francis akiwekwa Benjamini Mkapa SS anawaburuza. Hiyo ndo Kongo na huyo ndo Mayele. Yaani kama ulikuwa hujui Kongo ina wachezaji wengi Ulaya kuliko Ghana.
Utoto ni kumuona Mayele anajua zaidi ya G. Mpole!

Utakuwa umelewa ulanzi.
 
Namaanisha kwenye mshono kweli.

Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah.

Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka kwenye ligi ya ndani [ligi kuu ya Ghana], jamaa ametoboa kwenye kikosi na mwenzie mmoja pekee.

Hivi uto mnanielewa?

Namaanisha, kutoka ligi kuu ya Ghana, wachezaji waliofanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa ni Okrah na mwenzie mmoja, wengine wote wametoka nje ya nchi.

Sasa hapa utamlinganisha Okrah na nani? yule mvuta mabange anayelilia kuitwa timu ya taifa ya kwao lakini haitwi? au wale wazee waliokuwa rejected Congo, Angola, na Ulaya ambao tunapigiwa kelele kila siku za kuwasifia na nyie msiojielewa?!

Kwa hili teke la chini ya mkanda walilopiga Simba SC leo kwenye usajili, nawashauri watoe siku tatu za mapumziko kwa utopolo mpaka watakapopata nafuu ndio watangaze kifaa kingine, uto wasije kutoka damu buree..
Manenoo meeengii kama muuza karanga mwisho wa siku unaongea pumba tu, unaosema wamechukua rejected kutoka kongo nafikiri maumivu ya moyoni unayo makubwa sana, Rejected hao umeambulia point moja kwao msimu mzima, wamebeba ndoo 3 msimu wao wa kwanza na wewe umeambulia patupu, Sasa bado unaendelea kubana pua na kuwakebehi nafikiri ugonjwa wa sonona bado unakusumbua, mpira auchezwi mdomoni au kwenye vijiwe vya kahawa, ubora wa usajili utaonekana uwanjani nafikiri muda utaamua
 
Pumba ni zipi hapo..

Okrah kufunga goli 14 na assist 3 akiwa ligi kuu Ghana?

Au Okrah kuwepo timu ya taifa ya Ghana?

Au Okrah akiwa Sudan PL kufunga goli 17, assist 11, kwenye mechi 26?

Sasa hapo kaa chini jiulize vizuri, nani mwenye sonona kati yangu nawe?
 
Hao rejected unaowananga umeambulia kitu gani kwao msimu huu? Kama unajitambua nafikiri rekebisha maneno yako
 
Nazungumzia usajili wa sasa, wewe unaleta story za msimu uliopita, kama unajitambua kubali ujinga wako!.
 
Utoto ni kumuona Mayele anajua zaidi ya G. Mpole!

Utakuwa umelewa ulanzi.
Kumbe we mpira hujui kabisa. Hebu tusipotezeane muda.

Mpole ni mtu wa kusogeza tu mpira golini. Mayele anajua kutafuta goli.

Jiulize kwanini kwenye mechi na makolo makolo walimpa Mayele ulinzi rasmi wa masaa 24 wakati Mpole hajawahi kupewa ulinzi kama huo.
 
Nazungumzia usajili wa sasa, wewe unaleta story za msimu uliopita, kama unajitambua kubali ujinga wako!.
Kwaiyo usajili wa sasa umeshatoboa uwanjani eti? Unajiona mmefanya usajili wa maana sana sio? Basi sifia usajili wa timu yako na sio kuponda usajili wa timu nyingine usiokuhusu kwa maana ligi ikianza unaweza kuwa wa kwanza kuukimbia uzi wako, usajili ni kitu kingine na perfomance ya uwanjani ni kitu kingine, Msimu uliopita mliwaponda yanga kwamba wanafungua bendi ya wakongo sasa ile bendi mwisho wa siku ikawaprove wrong, Ndo hadithi mnazoanza kuleta sasa hivi Huo uzee wao utaonekana uwanjani na sio mdomoni mwa mashabiki
 
Kumbe we mpira hujui kabisa. Hebu tusipotezeane muda.

Mpole ni mtu wa kusogeza tu mpira golini. Mayele anajua kutafuta goli.

Jiulize kwanini kwenye mechi na makolo makolo walimpa Mayele ulinzi rasmi wa masaa 24 wakati Mpole hajawahi kupewa ulinzi kama huo.
Unabwabwaja tu.

Mpole amefunga magoli nje ya box, ndani ya box, na penalti.

Huyo Mayele wako hata penalti kufunga hajui, anapaisha!

Unataka kusema Mayele anajua zaidi ya Mpole wakati amezidiwa idadi ya magoli ya kufunga?!

Kama hutaki Mayele akabwe mtafutie ligi yake na joisi wakacheze huko.
 
Kwaiyo usajili wa sasa umeshatoboa uwanjani eti? Unajiona mmefanya usajili wa maana sana sio? Basi sifia usajili wa timu yako na sio kuponda usajili wa timu nyingine usiokuhusu kwa maana ligi ikianza unaweza kuwa wa kwanza kuukimbia uzi wako, usajili ni kitu kingine na perfomance ya uwanjani ni kitu kingine, Msimu uliopita mliwaponda yanga kwamba wanafungua bendi ya wakongo sasa ile bendi mwisho wa siku ikawaprove wrong, Ndo hadithi mnazoanza kuleta sasa hivi Huo uzee wao utaonekana uwanjani na sio mdomoni mwa mashabiki
We kiazi much know usiejua kitu.

Sasa kwa hizo records za Okrah unataka niseme hajui?

Wewe ndio unanipotezea muda, bado hujapevuka kifikra argue nami.
 
We kiazi much know usiejua kitu.

Sasa kwa hizo records za Okrah unataka niseme hajui?

Wewe ndio unanipotezea muda, bado hujapevuka kifikra kubishana nami.
Nafikiri ushike adabu yako, acha kutoa lugha zisizofaa heshima ifuate mkondo wake, Tubishane kwa hoja na sio kutumia lugha za wahuni, Sio kila mtu hapa jukwaani ni mhuni kama unavyofikiria
 
Usinipanikie, huna unachojua, huna facts hata za Mayele unayemshabikia, wewe ni shabiki mandazi.

Adios Amigoo..!!
 
Ndio ushabiki huo... 😂 😂

Nasubiri msimu uanze, huku sakho, huku okrah, hapa chama.. Juu phiri, Kakosekana tu kiungo mnyumbulifu pale, wa kupiga pasi nyingi za mbele, akiona vipi anapasua mwenyewe(kama bwalya)
huyo kiungo ndio chama mwenyewe sasa
 
Back
Top Bottom