Usajili wa Selemani Mwalimu kwenda Yanga ni uhitaji wa mahitaji ya team au ni kumkomoa mtani?

Usajili wa Selemani Mwalimu kwenda Yanga ni uhitaji wa mahitaji ya team au ni kumkomoa mtani?

Najua dili la Mudryk linakuuma ile mbaya ni kweli Mudryk hakuwa kwenye mipango yetu kabisa Hilo lilikuwa wazi ila tulikuwa tunahitaji left winger mwingine atakayeleta competition na Sterling kwenye hiyo nafasi na kwakuwa sokoni kulikuwa na mchezaji Bora kama Mudryk na anaelekea kwa wapinzani wetu ndipo tukaingilia deal. Kwa hiyo mkuu hizi ni scenario mbili tofauti na hiyo ya Yanga soma vizuri.
Si umeona hata namna ya kujenga hoja ni ya kisimba na yanga kama hivi. At some point mlikua na wachezaji zaidi ya 50, wewe unamjua Mudryk tu
 
Si umeona hata namna ya kujenga hoja ni ya kisimba na yanga kama hivi. At some point mlikua na wachezaji zaidi ya 50, wewe unamjua Mudryk tu
Sera ya Blueco ni kwamba tunasajili wachezaji kwaajili ya biashara ya kuuza na wengine kwaajili ya kikosi ndio unaona ni wengi Sasa niambie Yanga na Simba tangu lini wanaproject ya kuuza wachezaji???
 
Sera ya Blueco ni kwamba tunasajili wachezaji kwaajili ya biashara ya kuuza na wengine kwaajili ya kikosi ndio unaona ni wengi Sasa niambie Yanga na Simba tangu lini wanaproject ya kuuza wachezaji???
Nikijibu chochote kuhusu simba na yanga nitakua muongo. Sifuatilii mpira wa bongo
 
Nimeshanganzwa na Usajili wa Selemani Mwalimu unaonesha mambo makuu mawili:

1. Uongozi mzima wa Simba hawafanyi vitu kiprofessional, huwezi kutambulisha mchezaji kwenye tamasha lenu kumbe ujamalizana na club na mchezaji kwa asimilia zote hii maana yake Nini? Mnafanya mashabiki wenu wasiwaamini lakini pia mnatengeneza migogoro isio na sababu za msingi

2. Yanga wamemsajili Selemani Mwalimu kimihemko ili kuwakomoa wapinzani wao lakini ukiangalia kwenye team yao Wana strikers wanne wenye uwezo mkubwa na wanatosha na ujio wa Mwalimu anakuwa watano, pengo la team yao hawana kiungo mbunifu ambaye anayeweza kumchallenge Okello unaona kabisa wanafanya siasa wakati wanatakiwa kuwaza zaidi Caf champions league.
Mkuu Mamba 24 kasema kesho msubiri kupigwa miti..
 
Hivi Sele ndio wa kupambwa namna hii? Sio huyu aliyekua anachambwa wazi hadi na hao wana yanga, eti Leo kageuka Lulu, kweli Wabongo kwa UNAFIKI hawajambo.

Khaaah.
Wewe unamuamini magori kuwa sele ni karibu na billion Moja??
Huyu ni muongo na hafai kuaminiwa tena

Suala ni kwann alitambulishwa, na kambini amekaa siku moja lkn kasaini yanga
 
It's aidha ni mahitaji au laah!, YANGA ametumia kile anachokiweza kumdoofisha mpizani wake wa karibu!!. Dirisha la usajiri limebaki siku 4, unadhani ni rahisi kupata straika mwingine kama huna pesa ya kutosha?. Kituko ni simba wamekosa kulipa dollar elf75 za kumpata mwl kwa mkopo?. Tukiwaambia Dunia hii mashabiki wajinga wapo SIMBA huwa wanakataa😂... Hili lingetokea YANGA nakwambia saizi Hersi angekuwa yupo somalia analea dada zake .

Tutawapiga MITI kesho...
Mihemko ni jambo mbaya sanaaa hujui hata timu yako ina mapungufu ya mchezaji gani nutshell
 
Vyovyote ila hii imekuja kudhibitisha kwamba Simba hamna viongozi. Ni kundi tu la wazee wanaingia ofisini asubuhi na jioni wanarudi makwao

Kwa mashabiki wa Simba mmesaidiwa kuonyeshwa kwa ushahidi kuwa stukeni mnaongozwa na &***@#en governance
Hii kihasibu imekaaje?😄😄
 
Unamchukua mwalimu Kwa Dola laki 2.hyo akili au matope.
Tena Kwa mkopo..
Simba akili nyingi
 
Hivi ingekuwa wewe ungekubali kumchukua mwalimu Kwa Dola laki mbili tena Kwa mkopo?
Swala si kulipa dola laki mbili, Simba walikuwa na uwezo wa kukamilisha dili mapema kwa bei ndogo ila uzembe wao wakazidiwa speed pia kwanini wamtangaze wakijua bado hawajakamilisha taratibu.
 
Swala si kulipa dola laki mbili, Simba walikuwa na uwezo wa kukamilisha dili mapema kwa bei ndogo ila uzembe wao wakazidiwa speed pia kwanini wamtangaze wakijua bado hawajakamilisha taratibu.
Simba tulisoma upepo garasa hilo.
Mwanzo walitaka Dola elfu 50.walipoona Simba wanamtaka wakaongeza Dola laki Moja na ishirini.
Walipoona yanga wameenda wakaongeza Dola laki Moja na themanini.hao maboya wakaweka Dola laki mbili.sasa hamuoni kuwa wamepigwa.hayo maelezo ameyatoa farham kihamu yule wa clouds.ndo nikagundua kuwa Simba wako sahihi.
 
Back
Top Bottom