rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Hakuna cha kusoma upepo kama mngekuwa mnasoma upepo asingetambulishwa wala kupelekwa Zanzibar.Simba tulisoma upepo garasa hilo.
Mwanzo walitaka Dola elfu 50.walipoona Simba wanamtaka wakaongeza Dola laki Moja na ishirini.
Walipoona yanga wameenda wakaongeza Dola laki Moja na themanini.hao maboya wakaweka Dola laki mbili.sasa hamuoni kuwa wamepigwa.hayo maelezo ameyatoa farham kihamu yule wa clouds.ndo nikagundua kuwa Simba wako sahihi.