Usajili wa Simba ni bora kabisa, kama ni ukweli

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Kocha kishingo kipindi yuko simba alitamani sana kupata beki mrefu wa kati anayetumia mguu wa kushoto kama ilivyokuwa kwa Ally Sonso ambaye shida yake ni mistakes nyingi, mwingine ni Abdi Banda ambaye kwa kweli sidhani kama kuna mtu anataka kuiona sura yake pale Msimbazi.

Sasa leo nasikia Edward Manyama kasaini miaka miwili, kama ni kweli HONGERENI SANA KAMATI YA USAJILI huyu abadilishwe awe anacheza nne au tano na sababu naturally ni namba 3 atakuwa ana mpa back up kubwa sana gadiel michael na zimbwe jr.

Hapo sasa kabaki Michael Phiri attacking midfielder wa zanaco kazi kweisha kabisa, na kiungo mkabaji mrudisheni fraga, wachukue nafasi za chikwende na kahata. Issue za shabi juma achana nazo namba mbili hata onyango na nyoni wanacheza hata ame Ibrahim aanze kuzoeshwa hiyo namba.
 
Mi nilidhani mmemsajili Ngolo Kante!!
[emoji2959][emoji2959][emoji2959]nyie
 
Kwa maoni yako ni kwamba kwenye nafasi ya ushambuliaji tusibadili chochote ?

Kama itafanyika kama ulivyopendekeza bado idadi ya wageni itazidi 10, kama ifuatavyo:
1. Onyango
2. Wawa
3. Lwanga
4. Bwalya
5. Chama
6. Morriston
7. Milestone
8. Kaveri
9. Mugalu
10. Fraga
11. Michael Phiri

Itakuaje hapo ?
 
chikwende na kahata wanadondoka anaingia phiri na fraga...yes ushambuliaji ubaki vilevile nguvu ya simba ni midfiled mazeee,huyo phiri hata chama kikosekana utaelewa mziki wake..anaitwa moses phiri siyo michael nilikosea jina,duh kweli ukiweka kagere hapo idadi inazidi...duh
 
Tukikupa nafasi ya kukata jina moja hapo unaondoka na la nani ?
 
Hapo tuache mapendekezo ya kocha na benchi la ufundi, nahisi kocha anajua nani atoke na nani abaki
 
Naona ''watu wa Azam" wanamtajataja na kumsifia sifia mchezaji EDWARD CHARLES MANYAMA.
Ninaposema watu wa Azam namaanisha C.E.O wao Abulkarim Amin na msemaji wa timu Zakazakazi.
Lolote laweza kutokea juu ya mchezaji huyu.
 
Tukikupa nafasi ya kukata jina moja hapo unaondoka na la nani ?
sitoi mtu aondoke chikwende aje moses phiri then kiungo mkabaji nitatafuta wa kibongo mwenye liumbo kama la protas wa namungo ila awe na akili ya mpira siyo kama protas,umbo kubwa la kimpira ila akili sifuri
 
Back
Top Bottom