William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu.
Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo katambulishwa simba thamani yake imekuwa 165k us dolla. Akimzidi Pakome mwenye thamani ya 45k tu.
Pacome kaja kama kiungo, Mvp na thamani ya 85k usd tu. Lakini hawa wanakuja na mchezaji kutoka benchi na thamani ya million 400.,
Nani anayekula na hawa wachezaji wa mchongo mishahara na mikataba.
Hivyo hivyo yule wa Ivory Coast mshahara wake ulikuwa m 1 za bongo sasa tunaambiwa atalipwam 16. Nani anakula na hawa wachezaji mishahara?