Usajili wa Simba uko kitapeli. Abdulrazack kutoka Supersport akichezea benchi (timu ya saba kwenye ligi) ana thamani kubwa mara nne ya Pacome

Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu.

Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo katambulishwa simba thamani yake imekuwa 165k us dolla. Akimzidi Pakome mwenye thamani ya 45k tu.

Pacome kaja kama kiungo, Mvp na thamani ya 85k usd tu. Lakini hawa wanakuja na mchezaji kutoka benchi na thamani ya million 400.,

Nani anayekula na hawa wachezaji wa mchongo mishahara na mikataba.

Hivyo hivyo yule wa Ivory Coast mshahara wake ulikuwa m 1 za bongo sasa tunaambiwa atalipwam 16. Nani anakula na hawa wachezaji mishahara?
Kwahiyo tukusaidiaje
 
Kuna mazingira ya kutia shaka kwenye sajili za Simba za miaka ya hivi karibuni, hili nilishalisema. Cheki nilichosema mwezi mmoja tu uliopita.

Ninachoona ni yale yale ya Kibu. Kuna watu ndani ya klabu si watu wema kwa maendeleo ya timu, wanaweka mazingira ya wachezaji kudai pesa nyingi zaidi ya wanazostahili ama kukomoa mtu/watu au kupiga pesa. Hili jambo linanichukiza sana.
 
Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu.

Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo katambulishwa simba thamani yake imekuwa 165k us dolla. Akimzidi Pakome mwenye thamani ya 45k tu.

Pacome kaja kama kiungo, Mvp na thamani ya 85k usd tu. Lakini hawa wanakuja na mchezaji kutoka benchi na thamani ya million 400.,

Nani anayekula na hawa wachezaji wa mchongo mishahara na mikataba.

Hivyo hivyo yule wa Ivory Coast mshahara wake ulikuwa m 1 za bongo sasa tunaambiwa atalipwam 16. Nani anakula na hawa wachezaji mishahara?
Watakula wapi wakina jaribu Tena, uoni wanateuana na kurudishana kwenye uongozi, uwezi kujua Siri yao ni Nini watakuja wakwambie Simba ndiyo yenye kikosi ghali wakati ughali wa kikosi auendani na performance ya wachezaji uwanjani,
 
Mpira ni biashara usiharibu biashara za watu, wewe umeamua kuchagua ushabiki baki ktk ushabiki ...acha watu tufanye biashara.
 
Watakula wapi wakina jaribu Tena, uoni wanateuana na kurudishana kwenye uongozi, uwezi kujua Siri yao ni Nini watakuja wakwambie Simba ndiyo yenye kikosi ghali wakati ughali wa kikosi auendani na performance ya wachezaji uwanjani,
Na Mashabiki wao si wanataka ushindi au wapate cha kuongea vijiweni
 
Hivyo hivyo yule wa Ivory Coast mshahara wake ulikuwa m 1 za bongo sasa tunaambiwa atalipwam 16. Nani anakula na hawa wachezaji mishahara?
Thamani yake inaweza ikapanda kutokana na vilabu vinavyomuhitaji kwa wakati husika. Hata Pacome angeweza kujiongezea thamani kama angechelewesha kidogo kusaini mkataba mpya, kama walivyochelewesha Aziz Ki na Chama
 
Kaka mtu katoka benchi Supersport, Hakucheza kabisa. Anakuja na thamani ya milion 400
 
Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu.

Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo katambulishwa simba thamani yake imekuwa 165k us dolla. Akimzidi Pakome mwenye thamani ya 45k tu.

Pacome kaja kama kiungo, Mvp na thamani ya 85k usd tu. Lakini hawa wanakuja na mchezaji kutoka benchi na thamani ya million 400.,

Nani anayekula na hawa wachezaji wa mchongo mishahara na mikataba.

Hivyo hivyo yule wa Ivory Coast mshahara wake ulikuwa m 1 za bongo sasa tunaambiwa atalipwam 16. Nani anakula na hawa wachezaji mishahara?
Wewe mbona unahangaika sana na mambo ya Simba kama kuku anayetaka kutaga?
 
Back
Top Bottom