William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Shida yako wewe ni nini?Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu.
Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo katambulishwa simba thamani yake imekuwa 165k us dolla. Akimzidi Pakome mwenye thamani ya 45k tu.
Pacome kaja kama kiungo, Mvp na thamani ya 85k usd tu. Lakini hawa wanakuja na mchezaji kutoka benchi na thamani ya million 400.,
Nani anayekula na hawa wachezaji wa mchongo mishahara na mikataba.
Hivyo hivyo yule wa Ivory Coast mshahara wake ulikuwa m 1 za bongo sasa tunaambiwa atalipwam 16. Nani anakula na hawa wachezaji mishahara?
Atakuwa ametumwa tu na Mangungu huyu kutuharibia usajili wetu! Siyo bure.Shida yako wewe ni nini?
Wivu wake tu huyo!Shida yako wewe ni nini?
Simba ni Nguvu Moja! Hatuogopi mtu kuondoka wala kutusema vibaya!Atakuwa ametumwa tu na Mangungu huyu kutuharibia usajili wetu! Siyo bure.
Ahahahahaha!!!Wivu wake tu huyo!
Waambie hao.....Simba sc wanafanya usajili bora na mzuri msimu huu..period
Mambo yao waachiwe wenyeweYani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu.
Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo katambulishwa simba thamani yake imekuwa 165k us dolla. Akimzidi Pakome mwenye thamani ya 45k tu.
Pacome kaja kama kiungo, Mvp na thamani ya 85k usd tu. Lakini hawa wanakuja na mchezaji kutoka benchi na thamani ya million 400.,
Nani anayekula na hawa wachezaji wa mchongo mishahara na mikataba.
Hivyo hivyo yule wa Ivory Coast mshahara wake ulikuwa m 1 za bongo sasa tunaambiwa atalipwam 16. Nani anakula na hawa wachezaji mishahara
Pole sana Mama yeyo Ila unawesa nipa Ile kitu inamesa mwensie?Labda uenda watafanya vizuri you never know
Dah mimi simba inanipa huzuni, MUNGU SAIDIA MSIMU UJAO
Miaka 2 labda Miaka 10Tusubiri tuone, ila nimefurahishwa na age za waliosajiliwa, huenda baada ya miaka 2 simba ikawa moto
Unaijua bil 20 wewe?Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu.
Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo katambulishwa simba thamani yake imekuwa 165k us dolla. Akimzidi Pakome mwenye thamani ya 45k tu.
Pacome kaja kama kiungo, Mvp na thamani ya 85k usd tu. Lakini hawa wanakuja na mchezaji kutoka benchi na thamani ya million 400.,
Nani anayekula na hawa wachezaji wa mchongo mishahara na mikataba.
Hivyo hivyo yule wa Ivory Coast mshahara wake ulikuwa m 1 za bongo sasa tunaambiwa atalipwam 16. Nani anakula na hawa wachezaji mishahara?
Njoo ukikuta mkuki nje jua kuna mtu yupo ndaniPole sana Mama yeyo Ila unawesa nipa Ile kitu inamesa mwensie?
Nikikuta na Mimi naweka wangu mrefu kuzidi wake hapo nje nikimchomoa akiona mkuki wangu ananiachia nipige showNjoo ukikuta mkuki nje jua kuna mtu yupo ndani