Unajua ni Kwa Nini wananchi hua wanaamua kuandamana kwa nguvu na kufanya vurugu?Nakubaliana na hoja kwamba mawasiliano na kuheshimiana ni muhimu sana. Wananchi wanapaswa kupewa nafasi ya kueleza maoni na malalamiko yao kwa njia za amani, huku nao wakizingatia sheria na kulinda usalama wa watu na mali.
Vurugu zinapoanza, mara nyingi kila upande hupoteza. Njia bora ni serikali kusikiliza wananchi, na wananchi kutumia haki zao kwa amani na uwajibikaji. Mwisho wa siku, uongozi bora unahitaji kusikilizana kati ya viongozi na wananchi.
Zote hizo ni idara za chama kinachokufa kilichoachana na wananchi siku nyingi.Ninaposema Usalama wa Taifa,Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi,mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu.
Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu.
Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda miaka Rudi juu ya nchi yetu hii sote nyinyi na sisi kua Kuna tatizo kubwa la haki za kisiasa katika nchi yetu hii.
Tumetumia njia za haki kudai haki kama BUNGE, MAHAKAMA,mikutano,makongamano na Kila aina ya mikusanyiko halali lkn kikundi kidogo TU kinachoitwa CCM kimekua kikikwamisha upatikanaji wa haki hizo.
Sehemu kubwa ya haki hizo zinahusu uandikwaji wa Katiba mpya itakayokidhi matakwa ya Watanzania wote.
Wananchi kupitia makundi mbalimbali wamepiga kelele juu ya hitajio hili lkn hakuna aliejali juu ya kelele hizo.
Nyinyi Usalama wa Taifa na Jeshi na hata polisi mlikaa kimya TU.
Watu wakawaomba muingilie kati lkn hamkuchukua hatua zozote.
Matokeo yake kwa mara ya kwanza Watanzania waliuwawa kwa maelfu,nyie mko kimya TU.
Amini nawaambia Kuna maafa mengine makubwa yatakuja kama msipochukua hatua.
Haijaisha Ile,Mimi sio nabii lkn Kwa kuangalia TU body language za Watanzania bado Wana kiu na mahitaji Yao ambayo ni Katiba.
Katiba ndio itatututliza na kutuunganisha Watanzania yaani wa bara na visiwani.
"Naomba niweke sawa,hapa sisemi kupindua serikali,hapana".
Hapa nazungumzia nguvu za ushawishi wenu hasa Usalama wa Taifa na JWTZ na nguvu za utaalamu wenu hasa usalama wa Taifa na nguvu za ushwawishi wenu Polisi.
Kwa kifupi sana mnaweza mkaishauri Serikali ya CCM juu ya hatari na madhara ya machafuko makubwa yanayoweza kuikumba nchi na nchi ikasamabaratika kama ilivyosambaratika Somalia kipindi kile.
-JWTZ,Usalama na Polisi nyinyi washaurini serikali ya CCM kua mmechoka kutumika kisiasa kwa ajili ya kuwatisha Raia wasiokua na silaha wanaodai haki zao za kisiasa,
- washaurini serikali ya CCM kua mmechoka kuishi katika hali ya Tahadhari muda mwingi kwa hofu ya
kuogopa maandamano ambayo pengine yanasababishwa na mapungufu ya katiba,mapungufu ya Tume Ya Taifa ya Uchaguzi.
Washaurini kua mmechoka kulinda matokeo ya uchaguzi yasiyo halali,ambayo yanaweza kupelekea machafuko ya nchi.
Ambayo madhara yake mtajikuta mkikabiliana na wadogo zenu,kaka zenu,dada zenu,mama zenu,baba zenu,ndugu zenu wa damu huko mabarabarani wasio na silaha wala mafunzo ya kivita na mwisho wake mtaishia kuwaua.
Hii ni kazi ya Usalama na Jeshi la Wanchi.
POLISI nyie kazi yenu ni moja TU,kuwaambia serikali ya CCM ukweli kua ,mmechoka,
-mmechoka kuua wadogo zenu,kaka zenu,dada zenu,mama zenu na Watanzania wenzenu.
-mmechoka kuwapiga wapinzani wanapofanya mikutano Yao wakiwa hawana silaha yoyote.
-mmechoka kubebeshwa lawama za kuteka Watanzania,wenzenu,kuwatesa,kuwapiga na kuwapoteza wakati wakidai haki zao za kisiasa.
-kuishi kwa kulinda barabarani kuzuia maandamano
Enyi ndugu zetu wa damu mlio katika Vyombo hivyo nilivyovitaja hapo juu.
Hebu niambieni ni nani kati yenu ambae hakupoteza hata mtu mmoja kutoka katika ama famialia ama jirani katika mauaji ya MO 29?.
Enyi Usalama wa Taifa na JWTZ mnaotoka upande wa Zanzibar,mnayo nafasi kubwa ya kushauri mabadiliko ya katiba mapema kwa faida ya watu wetu wa pande zote mbili za Muungano,msifurahie zamu ya uongozi kua kiongozi Mkuu anatoka Zanzibar,kumbuka hii ni furaha ya muda TU.
Shaurini mabadiliko ya katiba Leo kwa sababu uongozi huu hautakuwepo milele.
Kumbukeni anaweza kuja RAIS chizi kutoka bara akaamua kuwatesa na nyie.Nyini mnayo nafasi ya kushauri mageuzi ya Usawa kitaifa.
Muungano huu ukivunjika kwa hasira za wananchi kabla ya katiba mpya kupatikana ni nyinyi Wazanzibari ndio mtakaoathirika na kuuumia zaidi,kuliko watanganyika.Chukueni hii.
Enyi Usalama wa Taifa na JWTZ kutoka bara shaurini mabadiliko ya kikatiba Leo Kwa ajili ya kuiokoa Tanzania,huko tunakoenda Watu watakuja kuumizana sana,mtapoteza watoto,wenu,ndugu zenu na majirani zenu kwa idadi kubwa kuliko ya MO29.
Tulisema haya mkatudharau lkn hatimae yalitooea Tanzania kwa mara ya kwanza.
Hebu fikirieni uchaguzi Mkuu utakaofuata mwaka wowote ule, je utakua na Hali Gani?
Nashauri kama Mtanzania mwenye mapenzi na nchi yangu na mwenye hofu ya Mungu.
Nashauri kwa uwoga mkubwa kutokana na yake yaliyotokea 2025.
Huu ni ushauri TU ndugu zangu hii ni nchi yangu Mimi Sina pa kukimbilia.
Natamani sana tuishi kwa amani bila chuki ya Uzanzibari wala Utanganyika,bila U CCM wala Upinzani,bila Uislam wala Ukristu.
Hapa tulipofikia nchi imeshakorogeka.
Huku makamu wa RAIS anajiuzulu kwa kutoelewana na mkubwa wake ,
Huku Tundu Lisu ameshitakiwa kwa uhaini,
Huku Mwalimu ameshitakiwa kwa ugaidi,
Huku kanisa linatuhumiwa kwa uchochezi,
Huku waislamu wanashutumiwa kwa kupendelewa
Huku Wapinzani wanakatazwa kufanya siasa,
Huku GenZ wanauwawa kwa kudai haki zao.
Nawaomba ndugu zangu pelekeni ushauri mkiwa mmekaza sura kuonesha nchi imekorogeka.
Nyie watawaelewa.
Iokoeni nchi hii.
Hakuna mtanganyika yoyote asietaka Muungano popote,isipokua Watu wanailalamikia Muundo wa Muungano,na hiyo sio kosa maana hata Zanzibar nao Wana malalamiko Yao ya muda mrefu juu ya Muungano.Nilikuwa nikibishana na Watanganyika wengi humu JF waliokuwa wakiushadidia muungano na wengine kutaka Zanzibar iwe mkoa tu wa Tanganyika hawa akina mwanakijiji ndio walimzidi Nyerere kwa muungano.Leo wanajifanya kusahau na wala sioni humu yeyote anayetaka Muungano uvunjw ukiwemo wewe pamoja na hasara zote hizi Za muungano
Wewe zuzu Mimi sihubiri vurugu,wewe akili Yako inawaza vurugu na kuua TU.Wewe unataka haki ukiwa umejifunika na shuka lako Geto.
Toka nje...
Hakuna mtanganyika yoyote asietaka Muungano popote,isipokua Watu wanailalamikia Muundo wa Muungano,na hiyo sio kosa maana hata Zanzibar nao Wana malalamiko Yao ya muda mrefu juu ya Muungano.
Kwa hiyo wote bara na visiwani Wana malalamiko Yao.
Hii ya kutaka sijui znz iwe mkoa wala isikutishe ni maoni ya watu wachache,na hii imeshawekwa vizuri kwenye Rasimu ya Jaji Warioba.
Nadhani rasimu ya Warioba inapendeleza serikali tatu.na hii ndio ilikuabaliwa na Watanzania wengi toka bara na visiwani.
Tume ya katiba ya Jaji Warioba ilizunguka nchi mzima pamoja na Znz wengi walitaka serikali tatu.
Chama chako Cha CCM ndio tatizo.
Mkiwndelea kukaza shingo nyingi CCM nchi itawavunjikia.
Kwa akili hizi zako,halafu mtu kama wewe ndio upate kazi serikalini sioni kama nchi hii itatoka Kwenye tope hili ilipozama.Director wa TISS unataka apige kelele kama Heche?
Aisee kumbe naongea na mtu mwenye mawazo ya ajabu.Watanganyika mnataka huu uvamizi na ndio wacha yawafike. Sisi Wazanzibari tumesema zamani tokea wakati wa Mzee Karume , akaja kumbe akaondolewa kwa kukataa huu uvamizi unaoitwa muungano. Kwa hivyo msilalamike mkipata raha hizo Za uvamizi ambazo mnazipenda
Sema Usalama wa GengeNinaposema Usalama wa Taifa,Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi,mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu.
Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu.
Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda miaka Rudi juu ya nchi yetu hii sote nyinyi na sisi kua Kuna tatizo kubwa la haki za kisiasa katika nchi yetu hii.
Tumetumia njia za haki kudai haki kama BUNGE, MAHAKAMA,mikutano,makongamano na Kila aina ya mikusanyiko halali lkn kikundi kidogo TU kinachoitwa CCM kimekua kikikwamisha upatikanaji wa haki hizo.
Sehemu kubwa ya haki hizo zinahusu uandikwaji wa Katiba mpya itakayokidhi matakwa ya Watanzania wote.
Wananchi kupitia makundi mbalimbali wamepiga kelele juu ya hitajio hili lkn hakuna aliejali juu ya kelele hizo.
Nyinyi Usalama wa Taifa na Jeshi na hata polisi mlikaa kimya TU.
Watu wakawaomba muingilie kati lkn hamkuchukua hatua zozote.
Matokeo yake kwa mara ya kwanza Watanzania waliuwawa kwa maelfu,nyie mko kimya TU.
Amini nawaambia Kuna maafa mengine makubwa yatakuja kama msipochukua hatua.
Haijaisha Ile,Mimi sio nabii lkn Kwa kuangalia TU body language za Watanzania bado Wana kiu na mahitaji Yao ambayo ni Katiba.
Katiba ndio itatututliza na kutuunganisha Watanzania yaani wa bara na visiwani.
"Naomba niweke sawa,hapa sisemi kupindua serikali,hapana".
Hapa nazungumzia nguvu za ushawishi wenu hasa Usalama wa Taifa na JWTZ na nguvu za utaalamu wenu hasa usalama wa Taifa na nguvu za ushwawishi wenu Polisi.
Kwa kifupi sana mnaweza mkaishauri Serikali ya CCM juu ya hatari na madhara ya machafuko makubwa yanayoweza kuikumba nchi na nchi ikasamabaratika kama ilivyosambaratika Somalia kipindi kile.
-JWTZ,Usalama na Polisi nyinyi washaurini serikali ya CCM kua mmechoka kutumika kisiasa kwa ajili ya kuwatisha Raia wasiokua na silaha wanaodai haki zao za kisiasa,
- washaurini serikali ya CCM kua mmechoka kuishi katika hali ya Tahadhari muda mwingi kwa hofu ya
kuogopa maandamano ambayo pengine yanasababishwa na mapungufu ya katiba,mapungufu ya Tume Ya Taifa ya Uchaguzi.
Washaurini kua mmechoka kulinda matokeo ya uchaguzi yasiyo halali,ambayo yanaweza kupelekea machafuko ya nchi.
Ambayo madhara yake mtajikuta mkikabiliana na wadogo zenu,kaka zenu,dada zenu,mama zenu,baba zenu,ndugu zenu wa damu huko mabarabarani wasio na silaha wala mafunzo ya kivita na mwisho wake mtaishia kuwaua.
Hii ni kazi ya Usalama na Jeshi la Wanchi.
POLISI nyie kazi yenu ni moja TU,kuwaambia serikali ya CCM ukweli kua ,mmechoka,
-mmechoka kuua wadogo zenu,kaka zenu,dada zenu,mama zenu na Watanzania wenzenu.
-mmechoka kuwapiga wapinzani wanapofanya mikutano Yao wakiwa hawana silaha yoyote.
-mmechoka kubebeshwa lawama za kuteka Watanzania,wenzenu,kuwatesa,kuwapiga na kuwapoteza wakati wakidai haki zao za kisiasa.
-kuishi kwa kulinda barabarani kuzuia maandamano
Enyi ndugu zetu wa damu mlio katika Vyombo hivyo nilivyovitaja hapo juu.
Hebu niambieni ni nani kati yenu ambae hakupoteza hata mtu mmoja kutoka katika ama famialia ama jirani katika mauaji ya MO 29?.
Enyi Usalama wa Taifa na JWTZ mnaotoka upande wa Zanzibar,mnayo nafasi kubwa ya kushauri mabadiliko ya katiba mapema kwa faida ya watu wetu wa pande zote mbili za Muungano,msifurahie zamu ya uongozi kua kiongozi Mkuu anatoka Zanzibar,kumbuka hii ni furaha ya muda TU.
Shaurini mabadiliko ya katiba Leo kwa sababu uongozi huu hautakuwepo milele.
Kumbukeni anaweza kuja RAIS chizi kutoka bara akaamua kuwatesa na nyie.Nyini mnayo nafasi ya kushauri mageuzi ya Usawa kitaifa.
Muungano huu ukivunjika kwa hasira za wananchi kabla ya katiba mpya kupatikana ni nyinyi Wazanzibari ndio mtakaoathirika na kuuumia zaidi,kuliko watanganyika.Chukueni hii.
Enyi Usalama wa Taifa na JWTZ kutoka bara shaurini mabadiliko ya kikatiba Leo Kwa ajili ya kuiokoa Tanzania,huko tunakoenda Watu watakuja kuumizana sana,mtapoteza watoto,wenu,ndugu zenu na majirani zenu kwa idadi kubwa kuliko ya MO29.
Tulisema haya mkatudharau lkn hatimae yalitooea Tanzania kwa mara ya kwanza.
Hebu fikirieni uchaguzi Mkuu utakaofuata mwaka wowote ule, je utakua na Hali Gani?
Nashauri kama Mtanzania mwenye mapenzi na nchi yangu na mwenye hofu ya Mungu.
Nashauri kwa uwoga mkubwa kutokana na yake yaliyotokea 2025.
Huu ni ushauri TU ndugu zangu hii ni nchi yangu Mimi Sina pa kukimbilia.
Natamani sana tuishi kwa amani bila chuki ya Uzanzibari wala Utanganyika,bila U CCM wala Upinzani,bila Uislam wala Ukristu.
Hapa tulipofikia nchi imeshakorogeka.
Huku makamu wa RAIS anajiuzulu kwa kutoelewana na mkubwa wake ,
Huku Tundu Lisu ameshitakiwa kwa uhaini,
Huku Mwalimu ameshitakiwa kwa ugaidi,
Huku kanisa linatuhumiwa kwa uchochezi,
Huku waislamu wanashutumiwa kwa kupendelewa
Huku Wapinzani wanakatazwa kufanya siasa,
Huku GenZ wanauwawa kwa kudai haki zao.
Nawaomba ndugu zangu pelekeni ushauri mkiwa mmekaza sura kuonesha nchi imekorogeka.
Nyie watawaelewa.
Iokoeni nchi hii.
Wanahongwa patek phillipe watches hawakumbuki tena hizo ni hela za kodi zao na za ndugu zao wanazozitolea jasho.Hao wakuu wa vyombo vya usalama wanahongwa pesa chafu na ma G Wagon unafikiri Kuna mtu anaongea...
Huko mahakamani na bungeni kumejaa puppets..
Viongozi wanaposhiriki kuua wananchi na sometime kuwalawiti, na tena wanapokataa kabisa kuwajibika kwa mauaji wanayoyafanya na wanapofuja kodi za wananchi kwa kununua magari ya kifahari mabently, gwagon, royce royce, na kutorosha pesa ng'ambo, wananch wakichoka na kuchukua hatua je utawalaum? Je wananchi wakae kimya kisa wanatunza amani? amani ya kuwatunza viongozi wezi walawiti hiyo ni amani?Nakubaliana na hoja kwamba mawasiliano na kuheshimiana ni muhimu sana. Wananchi wanapaswa kupewa nafasi ya kueleza maoni na malalamiko yao kwa njia za amani, huku nao wakizingatia sheria na kulinda usalama wa watu na mali.
Vurugu zinapoanza, mara nyingi kila upande hupoteza. Njia bora ni serikali kusikiliza wananchi, na wananchi kutumia haki zao kwa amani na uwajibikaji. Mwisho wa siku, uongozi bora unahitaji kusikilizana kati ya viongozi na wananchi.
Motive ni pesa na mali...Wanahongwa patek phillipe watches hawakumbuki tena hizo ni hela za kodi zao na za ndugu zao wanazozitolea jasho.
Hoja yako ina upande wa kutafakari sana. Mara nyingi mvutano kati ya wananchi na vyombo vya dola huongezeka pale ambapo pande zote zinashindwa kupata nafasi ya kusikilizana kwa utulivu.Unajua ni Kwa Nini wananchi hua wanaamua kuandamana kwa nguvu na kufanya vurugu?
Ni kwa sababu serikali hua haitaki wananchi hata waandamane kwa amani TU.
Na hii ni kwa sababu serikali ya CCM hua haitaki jumuiya ya kimataifa Ione wananchi wengi Kwa maelfu wameandamana au wamekusanyika kudai haki Yao Fulani.
Serikali hua inataka jumuiya ya kimataifa Ione kua, Tanzania mambo ni shwari hakuna shida zozote.
Hii sio kwa wananchi TU,hii hawataki iqe kwa Wana vyuo,wafanyakazi,wafabyabiashara n.k.
Maandamano ambayo serikali hua inayakubali ni ya kuunga mkono hotuba au hatua za kiongozi Fulani wa serikali.
Sasa wananchi wakiwa na madai Yao,wakitaka kuonesha hisia zao kwa maanadamno ya amani ambayo kikatiba yanaruhusiwa,hapo ndipo utasikia kauli za vitisho kutoka serikalini na viongozi wa polisi wakianza kutisha watu.hapo ndipo wananchi nao hujibu kwa jeuri kua tutaandamana kwa njia yoyote Ile,
Mwisho wa siku ni vurugu TU.
Ninaelewa hasira na maumivu yaliyomo kwenye hoja hii. Hakuna amani ya kweli pale ambapo kuna tuhuma nzito za mauaji, ubakaji au ulawiti, ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma, halafu wahusika hawawajibishwi.Viongozi wanaposhiriki kuua wananchi na sometime kuwalawiti, na tena wanapokataa kabisa kuwajibika kwa mauaji wanayoyafanya na wanapofuja kodi za wananchi kwa kununua magari ya kifahari mabently, gwagon, royce royce, na kutorosha pesa ng'ambo, wananch wakichoka na kuchukua hatua je utawalaum? Je wananchi wakae kimya kisa wanatunza amani? amani ya kuwatunza viongozi wezi walawiti hiyo ni amani?
Hebu fikirieni uchaguzi Mkuu utakaofuata mwaka wowote ule, je utakua na Hali Gani?Ninaposema Usalama wa Taifa,Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi,mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu.
Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu.
Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda miaka Rudi juu ya nchi yetu hii sote nyinyi na sisi kua Kuna tatizo kubwa la haki za kisiasa katika nchi yetu hii.
Tumetumia njia za haki kudai haki kama BUNGE, MAHAKAMA,mikutano,makongamano na Kila aina ya mikusanyiko halali lkn kikundi kidogo TU kinachoitwa CCM kimekua kikikwamisha upatikanaji wa haki hizo.
Sehemu kubwa ya haki hizo zinahusu uandikwaji wa Katiba mpya itakayokidhi matakwa ya Watanzania wote.
Wananchi kupitia makundi mbalimbali wamepiga kelele juu ya hitajio hili lkn hakuna aliejali juu ya kelele hizo.
Nyinyi Usalama wa Taifa na Jeshi na hata polisi mlikaa kimya TU.
Watu wakawaomba muingilie kati lkn hamkuchukua hatua zozote.
Matokeo yake kwa mara ya kwanza Watanzania waliuwawa kwa maelfu,nyie mko kimya TU.
Amini nawaambia Kuna maafa mengine makubwa yatakuja kama msipochukua hatua.
Haijaisha Ile,Mimi sio nabii lkn Kwa kuangalia TU body language za Watanzania bado Wana kiu na mahitaji Yao ambayo ni Katiba.
Katiba ndio itatututliza na kutuunganisha Watanzania yaani wa bara na visiwani.
"Naomba niweke sawa,hapa sisemi kupindua serikali,hapana".
Hapa nazungumzia nguvu za ushawishi wenu hasa Usalama wa Taifa na JWTZ na nguvu za utaalamu wenu hasa usalama wa Taifa na nguvu za ushwawishi wenu Polisi.
Kwa kifupi sana mnaweza mkaishauri Serikali ya CCM juu ya hatari na madhara ya machafuko makubwa yanayoweza kuikumba nchi na nchi ikasamabaratika kama ilivyosambaratika Somalia kipindi kile.
-JWTZ,Usalama na Polisi nyinyi washaurini serikali ya CCM kua mmechoka kutumika kisiasa kwa ajili ya kuwatisha Raia wasiokua na silaha wanaodai haki zao za kisiasa,
- washaurini serikali ya CCM kua mmechoka kuishi katika hali ya Tahadhari muda mwingi kwa hofu ya
kuogopa maandamano ambayo pengine yanasababishwa na mapungufu ya katiba,mapungufu ya Tume Ya Taifa ya Uchaguzi.
Washaurini kua mmechoka kulinda matokeo ya uchaguzi yasiyo halali,ambayo yanaweza kupelekea machafuko ya nchi.
Ambayo madhara yake mtajikuta mkikabiliana na wadogo zenu,kaka zenu,dada zenu,mama zenu,baba zenu,ndugu zenu wa damu huko mabarabarani wasio na silaha wala mafunzo ya kivita na mwisho wake mtaishia kuwaua.
Hii ni kazi ya Usalama na Jeshi la Wanchi.
POLISI nyie kazi yenu ni moja TU,kuwaambia serikali ya CCM ukweli kua ,mmechoka,
-mmechoka kuua wadogo zenu,kaka zenu,dada zenu,mama zenu na Watanzania wenzenu.
-mmechoka kuwapiga wapinzani wanapofanya mikutano Yao wakiwa hawana silaha yoyote.
-mmechoka kubebeshwa lawama za kuteka Watanzania,wenzenu,kuwatesa,kuwapiga na kuwapoteza wakati wakidai haki zao za kisiasa.
-kuishi kwa kulinda barabarani kuzuia maandamano
Enyi ndugu zetu wa damu mlio katika Vyombo hivyo nilivyovitaja hapo juu.
Hebu niambieni ni nani kati yenu ambae hakupoteza hata mtu mmoja kutoka katika ama famialia ama jirani katika mauaji ya MO 29?.
Enyi Usalama wa Taifa na JWTZ mnaotoka upande wa Zanzibar,mnayo nafasi kubwa ya kushauri mabadiliko ya katiba mapema kwa faida ya watu wetu wa pande zote mbili za Muungano,msifurahie zamu ya uongozi kua kiongozi Mkuu anatoka Zanzibar,kumbuka hii ni furaha ya muda TU.
Shaurini mabadiliko ya katiba Leo kwa sababu uongozi huu hautakuwepo milele.
Kumbukeni anaweza kuja RAIS chizi kutoka bara akaamua kuwatesa na nyie.Nyini mnayo nafasi ya kushauri mageuzi ya Usawa kitaifa.
Muungano huu ukivunjika kwa hasira za wananchi kabla ya katiba mpya kupatikana ni nyinyi Wazanzibari ndio mtakaoathirika na kuuumia zaidi,kuliko watanganyika.Chukueni hii.
Enyi Usalama wa Taifa na JWTZ kutoka bara shaurini mabadiliko ya kikatiba Leo Kwa ajili ya kuiokoa Tanzania,huko tunakoenda Watu watakuja kuumizana sana,mtapoteza watoto,wenu,ndugu zenu na majirani zenu kwa idadi kubwa kuliko ya MO29.
Tulisema haya mkatudharau lkn hatimae yalitooea Tanzania kwa mara ya kwanza.
Hebu fikirieni uchaguzi Mkuu utakaofuata mwaka wowote ule, je utakua na Hali Gani?
Nashauri kama Mtanzania mwenye mapenzi na nchi yangu na mwenye hofu ya Mungu.
Nashauri kwa uwoga mkubwa kutokana na yake yaliyotokea 2025.
Huu ni ushauri TU ndugu zangu hii ni nchi yangu Mimi Sina pa kukimbilia.
Natamani sana tuishi kwa amani bila chuki ya Uzanzibari wala Utanganyika,bila U CCM wala Upinzani,bila Uislam wala Ukristu.
Hapa tulipofikia nchi imeshakorogeka.
Huku makamu wa RAIS anajiuzulu kwa kutoelewana na mkubwa wake ,
Huku Tundu Lisu ameshitakiwa kwa uhaini,
Huku Mwalimu ameshitakiwa kwa ugaidi,
Huku kanisa linatuhumiwa kwa uchochezi,
Huku waislamu wanashutumiwa kwa kupendelewa
Huku Wapinzani wanakatazwa kufanya siasa,
Huku GenZ wanauwawa kwa kudai haki zao.
Nawaomba ndugu zangu pelekeni ushauri mkiwa mmekaza sura kuonesha nchi imekorogeka.
Nyie watawaelewa.
Iokoeni nchi hii.
Bwana samia Aliwahi kuuliza katiba iko wapi akaipapatueUnayemwambia sasa ni KIZIWI sijui itakuwaje.
Hivi vi Id vyenu vipya mbona vimekuwa vingi sana recently?Ninaelewa hasira na maumivu yaliyomo kwenye hoja hii. Hakuna amani ya kweli pale ambapo kuna tuhuma nzito za mauaji, ubakaji au ulawiti, ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma, halafu wahusika hawawajibishwi.
Lakini pia, wananchi wanapodai haki zao hawapaswi kulazimishwa kuchagua kati ya kunyamaza au kuingia kwenye vurugu. Kuna haki ya kudai uwajibikaji, haki, uchunguzi huru na matumizi sahihi ya kodi za wananchi.
Amani ya kweli si ukimya wa wananchi wanaoogopa kusema. Amani ya kweli inajengwa kwa haki, uwajibikaji, kusikilizwa kwa wananchi na sheria kutumika sawa kwa kila mtu.
Kwa hiyo, wananchi hawapaswi kukaa kimya mbele ya uovu au tuhuma nzito; lakini mapambano ya kudai haki yafanyike kwa njia zinazolinda maisha ya watu wasio na hatia na kusukuma uwajibikaji wa kweli. Serikali nayo ina wajibu mkubwa wa kusikiliza wananchi na kuchunguza kila tuhuma nzito kwa uwazi.
Kwa kifupi: amani bila haki huwa ni utulivu wa muda; haki na uwajibikaji ndiyo msingi wa amani ya kudumu.
😂 Hapana mkuu, hatujajiunga kwa kazi maalumu. Kila mtu ana sababu zake za kujiunga na kushiriki mijadala. Kama ID zimekuwa nyingi recently, labda ni bahati tu ya muda—ila tusihukumu watu kwa ID zao kabla ya kujua wanachokileta kwenye mjadala. Hoja ndiyo muhimu zaidi kuliko lini mtu amejiunga. 👍Hivi vi Id vyenu vipya mbona vimekuwa vingi sana recently?
Mmejiunga kwa kazi maalumu?