Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

Ndo tunawakumbusha Sasa kua Hali ikihatibika inaharibuka kwa wote,itawaathiri wote.
Wapo Wasamaria wema ndani ya taasisi hizi.
Ona mfano wa Nchimbi,Warioba na Polepole Hawa wote ni CCM.
Tusiakate tamaa.

aliekwambia hao ni wasamaria wema ni nani?
 
Sa kama hupendi vurugu ka kwakutulia.Wenzio wamepambana kufukia hapa hadi unaona nchi imetulia na kila kitu kipo we unataka udandie kwa juu ule maisha Kenge wewe
Wewe ungekua mnyama ungekua Mbuzi.
Na Kwa kua ungekua Mbuzi saa hizi ungekua unauzwa kwenye baa kama supu.
Namaanisha Leo hii ijumaa ya 28 Aug 2026.
 
Unapo kwenda kumfanya vurugu na kuharibu Mali za uma zilizo jengwa kwa Kodi za wtz Kwa kisingizio cha kudai haki na kuchukuwa hatua ww unakuwa huna tofauti na hao mafisadi wanao kufanya ufanye hizo vurugu Kwa sababu nyote ni wahujumu Mali za uma kiufupi wote ni maadui wa nchi.
Mm ni mpinzani mkubwa wa ccm lakini kilicho tokea mo 29 watu walizengua vibaya sana na haitakiwi kujirudia.
Hauwezi kudai haki ya kuishi kwenye nyumba alafu wakati huo unaichoma moto na kuharibu huo ni upumbavu.
Kiongozi msagaji, anayeamrisha wananchi wauwawe na vyombo vya usalama na kwa kukodi watu kutoka nje ya nchi, na tena wananchi wengine wakilawitiwa na wauwaji anaowatuma, huku mwanae shoga akiwa kapora ukuu wa taasisi ya usalama kwa kuhonga pesa na magari ya mabilioni na kutorosha pesa na kupora uchaguzi, kiongoz wa namna anapokataliwa na wananchi hakika hakuna la kushangaza.
 
Back
Top Bottom