Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

Tena hizo unazoziita hoja ndio zimenistua
Maana Id zinaonekana mpya ila watumiaji inaonekana sio wapya.
 
Tena hizo unazoziita hoja ndio zimenistua
Maana Id zinaonekana mpya ila watumiaji inaonekana sio wapya.
Kweli kabisa, hapo ndipo hata mimi napata mashaka kidogo. Hoja si kwamba ID ni mpya pekee, bali ni jinsi watumiaji wenyewe wanavyoonekana tayari wana uzoefu mkubwa wa jukwaa kana kwamba si wageni kabisa.

Inaweza kuwa ni watu waliorudi kwa ID mpya, lakini pia ni jambo linaloweza kumfanya mtu ajiulize maswali. Hata hivyo, bila ushahidi wa moja kwa moja ni bora tusihukumu haraka—tusubiri muda na mwenendo wao ujieleze wenyewe.
 

Samia ni Mzanzibari na haitokei hata siku moja mgeni kuwatawala wenyeji bila wenyeji kutaka. Samia hakujiweka , alipendekezwa na Kikwete na nyinyi Watanganyika mkakubali kwa kishindo, mlifurahia na wengine mlikata viuno kwa furaha. Sasa unakuja kumlaumu Nani? Sisi Wazanzibari katu huu uvamizi mlioupa jina muungano hatutaki. Hautupi na haujatupa faida yoyote zaidi ya maangamizi tokea day one. Hizo rasimu bora wapelekeeni Waganda au Wakenya Tumechoka
 
Hawatukosei!

Ilipangwa kuwa hivi!

Kabla katiba Kali sana haijapatikana,waliwrka room ya kupiga pesa na kuwa matajiri tugawane kidogo kabla ya Sheria Kali!

Sasa kikomo kimekaribia

Trust me watanzania hata ukiwapa katiba mpya hawatoiprnda coz tumezoea kuishi kiujanja ujanja!

Hata mwaka hautaisha na katiba mpya hatutoipenda kabisa!
 
Mbona una sound kama robot?
 
Unapo kwenda kumfanya vurugu na kuharibu Mali za uma zilizo jengwa kwa Kodi za wtz Kwa kisingizio cha kudai haki na kuchukuwa hatua ww unakuwa huna tofauti na hao mafisadi wanao kufanya ufanye hizo vurugu Kwa sababu nyote ni wahujumu Mali za uma kiufupi wote ni maadui wa nchi.
Mm ni mpinzani mkubwa wa ccm lakini kilicho tokea mo 29 watu walizengua vibaya sana na haitakiwi kujirudia.
Hauwezi kudai haki ya kuishi kwenye nyumba alafu wakati huo unaichoma moto na kuharibu huo ni upumbavu.
 
Acha kutisha watu,Tanzania Ina watu zaidi ya mil.70 lakini Mimi binafsi sijapoteza ndugu Wala kuumizwa popote na wako Tanzania nzima.

Chadomo acheni kuzua taharuki na kama mtaleta tena vurugu mshughulikiwe
 
Hawa wakora wakiambiwa ukweli wao wanasema ni uchochezi au uhaini kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…