Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

Bila Shaka kuna wanavyopewa kama motisha ili kuyafanya hayo wanayoyafanya. Swali ni je,wapo tayari pia kukataa hiyo motisha?.

Hao wakubwa waliowekwa kwenye hivyo vyombo waliwekwaje?
 
Naona mpo kazini..
Kazi njema..
Hivi mkuu mna tofauti gani na hao ccm iwapo mtakuwa mnawachukulia watu wenye mitazamo tofauti na ya kwenu Kwa mitazamo hasi?
Huyo mshikaji sijaona alipo toa mawazo mabaya yeye anacho taka ni iwe serikali au wananchi wanapo taka kufanya jambo basi wafanye Kwa mujibu wa Sheria na hukuna mwenye haki ya kuvunja Sheria Kwa kisingizio chochote.
Yaani serikali haitakiwi kuvunja Sheria za nchi Kwa kisingizio cha wananchi kufanya makosa au wananchi hawatakiwi kuvunja Sheria Kwa kisingizio cha makosa ya serikali.
Mfano kilicho tokea October 29 hakuna kisingizio chochote kinacho weza kuhalilisha vitendo vya baadhi ya wananchi kuchoma ,kuharibu,na kuiba Mali za uma,tasisi za serikali na binafisi narudia hakuna.
Pia hakuna kisingizio chochote kinacho weza kuhalilisha serikali kufanya mauaji yaliyo tokea narudia tena hakipo.
Nadhani huyo jamaa ndo anacho jaribu kikisema tofauti na unavyo jaribu kumhukumu.
 
Huyo ni njagu , namchora tu..
 
JW ndio wapumbavu!
 
Sa kama hupendi vurugu ka kwakutulia.Wenzio wamepambana kufukia hapa hadi unaona nchi imetulia na kila kitu kipo we unataka udandie kwa juu ule maisha Kenge wewe
 
mada nyengine bana, hivi kijana toka umekuwa mpka hii leo umeshindwa kufahamu kuwa Tiss, JWTZ, Polisi zote ni taasisi za CCM kama ilivyo UVCCM na UWT?
Ndo tunawakumbusha Sasa kua Hali ikihatibika inaharibuka kwa wote,itawaathiri wote.
Wapo Wasamaria wema ndani ya taasisi hizi.
Ona mfano wa Nchimbi,Warioba na Polepole Hawa wote ni CCM.
Tusiakate tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…