Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Wanywaranda hata kama babu yake ama baba yake kazaliwa hapa Tz kamwe huwa hawasahau kwao walikotoka hata kama hajawahi fika huko kwa Pk. Hivyo kumpa uongozi wa juu mnyarwanda nikujitoa ufahamu tu........Huyo anayesemwa anafahamika kabisa hata rais anamjua ni vile ngoma ikipigwa shart ilie tu