Usalama wa Taifa kuna Waziri mmoja Mwandamizi Serikali ya Rais Samia tafadhali anzeni Kumchunguza hasa

Usalama wa Taifa kuna Waziri mmoja Mwandamizi Serikali ya Rais Samia tafadhali anzeni Kumchunguza hasa

Vita vya Uwaziri Mkuu naona vimepamba moto
Pale Nishati wasingemuondoa January, mpaka leo lile bwawa lingekuwa bado na mgao wa umeme kibao!
Mmeona huu mkutano wa kimaTaifa wa Nishati unafanyika Hapa nchini, mmeanza Choko choko zenu za fitina!! Tulieni fanyeni kazi.
 
Nje ya mada kidogo. Nimekuwa nikiona mabandiko mengi sana yakilitaja jina la mtu aitwaye abdulih pia niliwahi kumsikia maulid kitenge naye akimtaja abdulih. Kindly ningependa kupata udadavuzi juu ya huyu dully ni nani kwani?. Pia kama kuna thread moja wapo inayomzungumzia naiomba iyo.. Natumai ombi langu litashughulikiwa ipasavyo. Wako katika kumpeleka Lissu chamwino. Luhan12
 
Unataka na sisi tumjue hebu check matokeo haya
Screenshot_2025-01-24-15-42-33-34.png
 
Pale Nishati wasingemuondoa January, mpaka leo lile bwawa lingekuwa bado na mgao wa umeme kibao!
Mmeona huu mkutano wa kimaTaifa wa Nishati unafanyika Hapa nchini, mmeanza Choko choko zenu za fitina!! Tulieni fanyeni kazi.
Ni kawaida ya Wanasiasa Vijana kuchafuana

Na tutegemee mengi zaidi kuelekea 2030
 
Leta files za waziiri wote….

Eeeng huyu anatoa wapi fedha kufadhiri timu.

Sahihi yake si inaanza kutumika kwenye noti mupya.. weka memo ya kusimamisha
 
Kama kawaida yenu Waswahili mkiona mtu ni performer mna anza majungu yenu! Tanzania kila mtu ni mkimbizi isipokuwa wagogo waliopo katikati ya nchi!!
Kutoka mpakani mwa nchi hakukuondolei Utanzania / uraia wako!
Waswahili acheni majungu ; hizo tabia zenu za kishenzi ndio maana hamna maendeleo, mmejaa wivu!
Ukiona wameamza kutafuta who is who ujuwe kuna chuki binafsi, huwezi kupewa nafasi kama hizo za uongozi bila vyombo vyenye mamlaka na weledi wa hali ya juu kukujuwa vyema. Kuna watu nchi hii wameshika nyadhifa nyeti na za juu sana bila kujali asili yao walitokea.wapi.
 
wapo ambao utajiri wao walioaccumulate kupitia ajira ya uwaziri Kwa Kila mtu mmoja unaweza kutengeneza utajiri kwa watanzania 1 milioni.

Sijui kwanini leo nawakumbuka sana ndugu zangu wa Wagner.

Salamu nyingi sana kutoka Taurus.
 
Back
Top Bottom