Uchaguzi 2020 Usaliti ni laana : CUF yakosa wagombea, Lipumba aanza kuokoteza mitaani, aomba wote wanataka kugombea wajitokeze

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
FB_IMG_1590489819208.jpg

Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa kutoka kwa Profesa Lipumba , aliponukuliwa akiongea kwa huruma kubwa na EA TV .

Amewaomba wale wote wenye nia ya kugombea Urais , Ubunge ama udiwani wajitokeze kuomba ridhaa hiyo kupitia CUF , huku taarifa zikionyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa chama hicho kukosa kabisa wagombea kutokana na kutafunwa na laana ya Mungu

My take : Malipo ni hapahapa duniani .
 
View attachment 1460029

Kama chadema walivyookoteza kwa Lowassa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa usaliti alio ufanya kwa watanzania mwaka 2015 hawezi kusamehewa
View attachment 1460029

Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa kutoka kwa Profesa Lipumba , aliponukuliwa akiongea kwa huruma kubwa na EA TV .

Amewaomba wale wote wenye nia ya kugombea Urais , Ubunge ama udiwani wajitokeze kuomba ridhaa hiyo kupitia CUF , huku taarifa zikionyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa chama hicho kukosa kabisa wagombea kutokana na kutafunwa na laana ya Mungu

My take : Malipo ni hapahapa duniani .

In God we Trust
 
Naona tatizo ni kuendekeza njaa sana
Ukiangalia namna 'propesa pumba' anavyojidhalilisasha unaweza kuacha laana kuwa ktk kizazi chako mtoto asisome hadi ktk level ya u-propesa sorry profesa !

In God we Trust
 
View attachment 1460029

Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa kutoka kwa Profesa Lipumba , aliponukuliwa akiongea kwa huruma kubwa na EA TV .

Amewaomba wale wote wenye nia ya kugombea Urais , Ubunge ama udiwani wajitokeze kuomba ridhaa hiyo kupitia CUF , huku taarifa zikionyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa chama hicho kukosa kabisa wagombea kutokana na kutafunwa na laana ya Mungu

My take : Malipo ni hapahapa duniani .
waweke wagombea kutoka ccm
 
Ngoja na mimi niende angalau nikatengeneza jina

kIongOzI Wa BaaDae
 
Back
Top Bottom