Uchaguzi 2020 Usaliti ni laana : CUF yakosa wagombea, Lipumba aanza kuokoteza mitaani, aomba wote wanataka kugombea wajitokeze

Unataka agombee Uraisi halafu apate kura 2 tu yake na ya Demu wake Sakaya ili aingie aibu?
Propesa Lipumbavu ameshaona mbali huyo.
Kwani katangaza hatagombea? Na wabunge wanaoikimbia CDM mwishoni wameona nini kuhusu hatma ya chama? Nasikia chama limekosa mgombea urais kiasi kwamba mamluki wa kike toka ccm wanatia nia ya kugombea kupitia CDM! Hatari sana!
 
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa kutoka kwa Profesa Lipumba , aliponukuliwa akiongea kwa huruma kubwa na EA TV .

Amewaomba wale wote wenye nia ya kugombea Urais , Ubunge ama udiwani wajitokeze kuomba ridhaa hiyo kupitia CUF , huku taarifa zikionyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa chama hicho kukosa kabisa wagombea kutokana na kutafunwa na laana ya Mungu

My take : Malipo ni hapahapa duniani .

Lipumba alidhani ccm inaweza kumpa mvuto, saa hii wamemtumia kama mpira wa kiume wamemtupilia mbali. Sasa hivi ccm imeona ngoja ijaribu nyota ya Nccr, kwa bahati mbaya wamewachafulia nyota kabla hata ya mchezo. Ukweli ni kuwa ccm haina mvuto zaidi ya kushurutisha kukubalika kwa kutumia vyombo vya dola, na matumizi mabaya ya madaraka.
 
CDM ndo inatumka na CCM kuharibu upinzani kwa kuwapa nafasi mamluki wao. We uliona wapi "kada mtakatifu" wa CCM, Lowassa eti agombee urais kupitia upinzani! Kama si kutifua mipango ya UKAWA kuchukuwa nchi ni nini.

We kwa akili yako ulishaona CUF inasimamisha makada wa CCM kugombea nafasi za uongozi hata uituhumu inatumika na CCM? Au ulishamuona Lipumba amesimama jukwaani akikushawishi uwachaguwe wagombea wa CCM badala ya wale wa upinzani?
 
Hao cdm walimchukua huyo mzee tapeli la kisiasa na tuliwapa ukweli, na hata sasa tunawaambia wasithubutu kuchukua tena takataka nyingine toka ccm maana tutajuana tabia. Lakini hao Cuf tunawaona wazi wakiwasujudia ccm. Kwa taarifa yako hata hao viongozi wa ccm hawaitaki cuf maana wanajua haina mvuto.
 
Lini CUF waliisujudia ccm? Au unanasibisha kauli za Maalim Seif aliposema ni bora kukaa meza moja na ccm kuliko Lipumba? Lakini kama CUF inaisujudia CCM kwanini Lipumba alikataa kuungana na CDM kwenye UKAWA kumnadi kada wa ccm Lowassa? Unataka kusems Lipumba alipohisi kusutwa na nafsi kumpigia debe Lowassa maana yake ndo kusujudia makada wa ccm?

Lakini tambua kwamba muhanga wa "dhambi ya usaliti" si Lipumba au CUF. Mbowe na CDM ndo wanapitia wanapitiwa na malipo ya usaliti waliofanya 2015 kwa kukimbiwa na Lowassa waliyemsujudia lakini kwa sasa wanasalitiwa hata na wabunge na madiwani wao.

Kilichoiathiri CUF siyo "usaliti" wa lipumba, ni ukorofi wa watumishi wa ccm Maalim Seif na Mtatiro ambao walifanya kazi ya kuhakisha CUF inadumaa upande wa bara na kujaribu kumfukuza mtu wa watu Lipumba aliyerudishwa kwenye nafasi yake ya uwenyekiti na wenye chao.

Lakini kinachoendelea CHADEMA hivi sasa ni kusalitiwa na makada wao wakati hakuna mgogoro wowote ndani ya chama kama ilivyotokea kwa CUF maana watu walifikishana mahakamani ili wapate nguvu ya kuwaondoa wenzao ndani ya chama. Kwahiyo CDM hivi sasa ndo inapitia malipo ya usaliti wa Mbowe wa 2015.
 
Hata waliomuua Yesu msalabani hawakupata laana ya Mungu bali msamaha. Sasa wewe unatangaza laana ya Mungu kwa watu kwa kutofautiana tu na wewe kisiasa. Ndio utaelewa kwanini wahenga walisema Mungu sio kama sisi akina Athumani.
 
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa kutoka kwa Profesa Lipumba , aliponukuliwa akiongea kwa huruma kubwa na EA TV .

Amewaomba wale wote wenye nia ya kugombea Urais , Ubunge ama udiwani wajitokeze kuomba ridhaa hiyo kupitia CUF , huku taarifa zikionyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa chama hicho kukosa kabisa wagombea kutokana na kutafunwa na laana ya Mungu

My take : Malipo ni hapahapa duniani .
Mwanakulitafuta mwanakulipata apambane na bilioni 3 zake.
 
Lini CUF waliisujudia ccm? Au unanasibisha kauli za Maalim Seif aliposema ni bora kukaa meza moja na ccm kuliko Lipumba? Lakini kama CUF inaisujudia CCM kwanini Lipumba alikataa kuungana na CDM kwenye UKAWA kumnadi kada wa ccm Lowassa? Unataka kusems Lipumba alipohisi kusutwa na nafsi kumpigia debe Lowassa maana yake ndo kusujudia makada wa ccm?

Lakini tambua kwamba muhanga wa "dhambi ya usaliti" si Lipumba au CUF. Mbowe na CDM ndo wanapitia wanapitiwa na malipo ya usaliti waliofanya 2015 kwa kukimbiwa na Lowassa waliyemsujudia lakini kwa sasa wanasalitiwa hata na wabunge na madiwani wao.

Kilichoiathiri CUF siyo "usaliti" wa lipumba, ni ukorofi wa watumishi wa ccm Maalim Seif na Mtatiro ambao walifanya kazi ya kuhakisha CUF inadumaa upande wa bara na kujaribu kumfukuza mtu wa watu Lipumba aliyerudishwa kwenye nafasi yake ya uwenyekiti na wenye chao.

Lakini kinachoendelea CHADEMA hivi sasa ni kusalitiwa na makada wao wakati hakuna mgogoro wowote ndani ya chama kama ilivyotokea kwa CUF maana watu walifikishana mahakamani ili wapate nguvu ya kuwaondoa wenzao ndani ya chama. Kwahiyo CDM hivi sasa ndo inapitia malipo ya usaliti wa Mbowe wa 2015.
Wewe masikini utamdanganya nani humu , nani hamfahamu lipumba humu , huyu lipumba aliyerudishwa na ccm kwa kulindwa na Rita , mahakama na Usalama wa Taifa , nani halijui hilo ? huyu lipumba aliyewekewa hela ya cuf kwenye akaunti binafsi ndio wa kumtetea hadi mapovu ya njano yanakutoka ! labda kama una matatizo ya akili .
 
Ukiangalia namna 'propesa pumba' anavyojidhalilisasha unaweza kuacha laana kuwa ktk kizazi chako mtoto asisome hadi ktk level ya u-propesa sorry profesa !
Matendo ya Lipumba yaliwafanya watu wengi kudharau watu wenye hadhi ya upurofesa kwa kuona kuwa kumbe kusoma kwingi siyo wingi wa maarifa na busara
 
Lini CUF waliisujudia ccm? Au unanasibisha kauli za Maalim Seif aliposema ni bora kukaa meza moja na ccm kuliko Lipumba? Lakini kama CUF inaisujudia CCM kwanini Lipumba alikataa kuungana na CDM kwenye UKAWA kumnadi kada wa ccm Lowassa? Unataka kusems Lipumba alipohisi kusutwa na nafsi kumpigia debe Lowassa maana yake ndo kusujudia makada wa ccm?

Lakini tambua kwamba muhanga wa "dhambi ya usaliti" si Lipumba au CUF. Mbowe na CDM ndo wanapitia wanapitiwa na malipo ya usaliti waliofanya 2015 kwa kukimbiwa na Lowassa waliyemsujudia lakini kwa sasa wanasalitiwa hata na wabunge na madiwani wao.

Kilichoiathiri CUF siyo "usaliti" wa lipumba, ni ukorofi wa watumishi wa ccm Maalim Seif na Mtatiro ambao walifanya kazi ya kuhakisha CUF inadumaa upande wa bara na kujaribu kumfukuza mtu wa watu Lipumba aliyerudishwa kwenye nafasi yake ya uwenyekiti na wenye chao.

Lakini kinachoendelea CHADEMA hivi sasa ni kusalitiwa na makada wao wakati hakuna mgogoro wowote ndani ya chama kama ilivyotokea kwa CUF maana watu walifikishana mahakamani ili wapate nguvu ya kuwaondoa wenzao ndani ya chama. Kwahiyo CDM hivi sasa ndo inapitia malipo ya usaliti wa Mbowe wa 2015.

Alifanya vizuri kutompigia debe Lowassa, japo aliitumia hali ile kama fursa ya kupiga hela toka ccm ili atumike against Ukawa. Na ccm ndio hao hao walimpa backup ya kuikamata CUF kimabavu. Saa hii ccm wameona hana watu, wameamua kumpotezea wamehamia kwa Mbatia.

Hakuna asiyejua kuwa cdm walichemka kumchukua Lowassa, hilo wala halina mjadala. Na haya yanayoendelea hivi sasa ndani ya cdm ni mambo ya kawaida kwenye siasa unapokuwa na mvuto kuliko chama dola. Kwa taarifa yako cdm inajivunia mtaji wa watu. Ni kweli chama dola kinaweza kushuritisha vyombo vya kimamlaka kuisulubu cdm, lakini ambacho haitaweza ni kumaliza mvuto kwa cdm kwa wananchi wanaoikubali. Fahamu cdm mbali ya kumchukua huyo kada mchovu wa ccm, haijawahi kujipendekeza wala kutegemea mbeleko ya ccm kama ilivyo cuf ya Lipumba.
 
Back
Top Bottom