Kwani katangaza hatagombea? Na wabunge wanaoikimbia CDM mwishoni wameona nini kuhusu hatma ya chama? Nasikia chama limekosa mgombea urais kiasi kwamba mamluki wa kike toka ccm wanatia nia ya kugombea kupitia CDM! Hatari sana!Unataka agombee Uraisi halafu apate kura 2 tu yake na ya Demu wake Sakaya ili aingie aibu?
Propesa Lipumbavu ameshaona mbali huyo.