Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa kutoka kwa Profesa Lipumba , aliponukuliwa akiongea kwa huruma kubwa na EA TV .
Amewaomba wale wote wenye nia ya kugombea Urais , Ubunge ama udiwani wajitokeze kuomba ridhaa hiyo kupitia CUF , huku taarifa zikionyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa chama hicho kukosa kabisa wagombea kutokana na kutafunwa na laana ya Mungu
My take : Malipo ni hapahapa duniani .
Kule Zanzibar ACT mpaka watu wamepeleka malalamiko kibao ngazi za juu za chama kwa msuguano mkali kwenye kugombania nafasi za uongozi, yaani ni hatari