Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama chadema walivyookoteza kwa LowassaView attachment 1460029
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa kutoka kwa Profesa Lipumba , aliponukuliwa akiongea kwa huruma kubwa na EA TV .
Amewaomba wale wote wenye nia ya kugombea Urais , Ubunge ama udiwani wajitokeze kuomba ridhaa hiyo kupitia CUF , huku taarifa zikionyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa chama hicho kukosa kabisa wagombea kutokana na kutafunwa na laana ya Mungu
My take : Malipo ni hapahapa duniani .
nje ya mada
View attachment 1460029

Hata kama sio mwanachama?
Ukiangalia namna 'propesa pumba' anavyojidhalilisasha unaweza kuacha laana kuwa ktk kizazi chako mtoto asisome hadi ktk level ya u-propesa sorry profesa !
Ila zinashabihiana.nje ya mada
waweke wagombea kutoka ccmView attachment 1460029
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa kutoka kwa Profesa Lipumba , aliponukuliwa akiongea kwa huruma kubwa na EA TV .
Amewaomba wale wote wenye nia ya kugombea Urais , Ubunge ama udiwani wajitokeze kuomba ridhaa hiyo kupitia CUF , huku taarifa zikionyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa chama hicho kukosa kabisa wagombea kutokana na kutafunwa na laana ya Mungu
My take : Malipo ni hapahapa duniani .
Hata njaa pia ni USHINDI.Cuf +Nccr +wasiojulikana Lissu haters =ccm yaani safari hii chadema itashinda kwa kishindo 100%%
Nijitokeze nini nile hela za ruzuku huko CUF?
Tatizo siwezi unafki la sivyo