realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Nilivyomchunguza nikagundua kuna ukweli ๐ ๐ ๐ ๐ ikanisaidia kumtoa moyoni ๐ ๐ ๐Acha bhana nimecheka kwa nguvu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐ป
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilivyomchunguza nikagundua kuna ukweli ๐ ๐ ๐ ๐ ikanisaidia kumtoa moyoni ๐ ๐ ๐Acha bhana nimecheka kwa nguvu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐ป
Dada mkubwa Joannah umesoma hiki kipande?? Lily ndo Tom boy si umesikia mapigo yake na tattoo na alivyomfata manzi wake kibabe ๐น๐น๐นInaendelea No 3,
Nilirudi Dar na babe wangu aliondoka kurudi kazini, ndio nikapata nafasi ya kumpigia simu Lily na kumwambia tukutane kwenye mgahawa flani upo town, alifurahi sana akasema kwanini nisiende kwake amenimiss and stuff nikamwambia nope, tunahitaji kuonana pale basi jioni kweli tukakutana, alionekana mchangamfu kupita maelezo hadi nilimshangaa nikajiuliza kanywa pombe lakini hapana hua hanywi pombe basi nikajisemea labda alinimiss sana, ilikua ngumu sana kumwambia kua nataka kukatisha usaliti wangu nilizunguka sana hatimae nikampasulia ukweli, alitulia tuliiii, aliniangalia usoni kama dakika 2 hivi akacheka kidogo kisha akasema niende nyumbani atanitafuta baada ya siku 5, akaongeza kua sio akili yangu ni hiyo vacation imenichengua akili, ila nitarudi kua normal after sometimes kisha akaondoka haraka nikama hakutaka nimuone akilia, niliganda pale nikimtafakari nikaona isiwe shida nikamblock tena nikarudi home, alipiga akakuta block lakini mimi naona kua alinitafuta,
Baada ya siku 5 nikapokea simu kwenye namba ngeni akajitambulisha ni yeye na angependa twende Bagamoyo amesha arrange kila kitu, nikamjibu politely kabisa nimetingwa na kazi hadi wakati mwingine, akasema basi walau nimuone hata dakika 5 nikamwambia sina muda nikakata simu, baada ya muda mlango ukagongwa kutoka nje ni kijana anayetufanyia usafi anasema kuna mgeni wangu getini mmh nikapata wasiwasi kidogo sababu kwanza hua sileti mtu nyumbani kwangu akiwemo Lily hakuwahi kupajua kwangu, pili kwa wanaopajua hawawezi kuja bila kunipigia simu, nikamwambia kijana anisindikize, nafika nje namkuta Lily amebadilika sana, nywele zake ndefu na nzuri kazinyoa sijui kiduku sijui kijogoo, yule msichana mrembo mwenye uso usio na hatia alibadilika na kua kwenye muonekano wa kiume, alichora tattoo kubwa mkononi yenye jina langu, nilishangaa hadi nilitaka kudondoka, akavunja ukimya wa mshangao wangu kwa kunisalimia na kunitaka radhi kwa kuja bila taarifa, hapo ndio aliponizindua na kumuuliza amefikaje pale, akasema alikua anapajua maana alinifatilia siku nyingi kujua ninapoishi na mara kadhaa alifika pale bila kuniambia, kiufupi mchepuko alikua ananispy kama nachepuka dah๐
Nikamwambia aondoke haraka na asinisumbue nina kazi nyingi, wakati nataka kuondoka akanishika mkono kwa nguvu niliona moto mkali kwenye macho yake yaliyojaa hasira, nikasema kwa nguvu NIACHEEEE yule kijana akaingilia kati na kumtaka aondoke mara moja, mimi nikakimbilia ndani na kuwaacha nje, akasema nitakusubiri hapa hapa hadi utakapoamua kuondoka na mimi, geti lilifungwa na yeye alibaki nje.....
Itaendelea
Huyo kwenye Avatar ni wewe??Nilivyomchunguza nikagundua kuna ukweli [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ikanisaidia kumtoa moyoni [emoji28][emoji28][emoji28]
Yani mulemule ๐ ๐ ๐ ๐ na alivyokua akinitesa sasa ndo ikanibidi nione kama pacha ake. Ndo kunitoka moyoni kiumbe yule ๐ ๐ ๐ ๐Utaniua mbavu๐คฃ๐คฃ๐คฃKiukweli ukiwa kwenye fatiki la kuachwa unatakiwa kuwa na ntu pembeni wa kumsagia kunguni ex wako...am sure baada kumuangalia vizuri ndio uligundua yale macho yake ni kama ya chura
Sijawahi kuona mkuu, ila jamii niliyokulia hakukuwa na albino kabisa.Usikute yalikuwepo, sema kwa sasa utandawazi umeweka wazi mambo mengi sana..!!!
Kwa mfano, watoto albino tulikuwa tunaambiwa wanatoweka tu wala hawafi, na tuliamini. Lakini kumbe inasemekana walikuwa wanauwawa (unakumbuka evil forest kwenye kitabu cha things fall apart cha Chinuo Achebe?). AU nikuulize, UMEWAHI HUDHURIA MSIBA ANAZIKWA ALBINO????
Lily ana balaa ๐น๐นLily penzi limemnogea
Huyo ni lesbian mkuuWe ni mzee wa rangi saba mwanaume unaweka avatar ya kike.
Jpili ina balaa ๐น๐น
Penzi lageuka vita ๐ kuna watu hawafai kupendwa hata kidogo jamani ๐ ๐ ๐Inaendelea No 4,
Huo ndio ukawa mwanzo wa kuuona upande wa pili wa mrembo Lily, alifika hadi ofisini kwangu kila mtu akajua kua nilikua na mahusiano nae wakati mwanzo ilikua ni siri yetu kubwa, maneno yalikua mengi ofisini hadi nikatamani kuacha kazi,
Hofu yangu ilikua mpenzi wangu asijue maana ataumia sana pia itayumbisha mahusiano yetu,
Lily akawa mtu wa kuvuta bangi na pombe, akawa muhuni asiyeweza hata kutambulishika kwa watu, kila mtu aliyekutana nae alimuhadithia kuhusu mimi, hatimae miezi ikapotea bila kunirudisha akajenga chuki kali kwangu, akaanza kunitumia meseji za matusi, alikua akibadili namba kila leo baada ya kua namblock kila namba ngeni aliyotumia, akaanza kunitishia kuniua, nikawa nakuta getini nguo nyeupe zimefutiwa damu, mara getini kuchorwe matusi na jina langu nikashindwa kuvumilia nikaenda kushtaki polisi, akapigiwa simu anahitajika haraka kituoni kweli akaja, lakini nilimuomba askari wasimfunge bali wamuonye kwanza sababu huyo sio yeye ni mental issue amepata kweli alinielewa, basi alivyofika akazungumza nae na kumpiga mkwara akae mbali na mimi, kwangu asifike, akate mawasiliano na lolote litakalonitokea yeye ndie atawajibika, akaomba msamaha na kuahidi kubadilika tena kwa maandishi, wakati tunatoka kituoni niliambiwa nianze mie kuondoka akafatia yeye, nikiwa njiani akanitumia meseji "hii vita uliyoianzisha jiandae kushindwa" sikumjibu nikatulia, kumbuka yote hayo yanatokea sikumshirikisha mtu yoyote hata babe wangu, nilikua napambana mwenyewe, hata kazini nikapunguza kwenda nikawa nafanyia kazi zangu nyumbani zaidi,
Ulipita mwezi mmoja kimya sikupokea simu yake wala meseji yake, nikashukuru sana na kuhisi amebadilika,
Siku hiyo jioni naongea na babe wangu video call akanambia "ooh babe kuna mtu kanitumia picha yako upo na binti flani akasema nyie ni wapenzi na anao ushahidi wenu wote wa meseji na calls, akasema huyu mtu aliniomba urafiki a week ago na hana picha wala marafiki sikumpokea ndio katuma hiyo meseji na kusema nikireply tu ananitumia huo ushahidi mimi nimemblock" akanionesha hiyo picha kupitia simu yake nyingine alikua ni Lily na mimi tukiwa Znz, uzuri kipindi chote cha mahusiano na Lily nilikua nakwepa sana kupiga picha/video na kuwasiliana kwa meseji/voice, ilikua nampigia zaidi, na hiyo picha ilikua ni selfie ya kawaida sana ni ngumu kuwekea maneno, nikafarijika kuona babe wangu alimblock lakini nilijua angemtafuta tena kwa akaunti nyingine,
Nikawaza sanaaa nikaona labda nionane nae, nizungumze nae nijue namsaidia vipi ajitambue tena, nikampigia akapokea chap kwa bashasha akaniuliza umeachwa eeeh, nikamwambia nahitaji kuonana nae kesho nikachagua eneo la beach tuliokua tunapenda kwenda, akakubali.....
Itaendelea
Duh..!!Inaendelea No 5,
Siku ya kuonana na Lily ilifika, alikuja akiwa amevaa kipensi cha kiume kifupi sana na singlend ili nione tattoo zake ๐, nilimchukia sikumuangalia kwa upendo, nilimuona kama shetani wa mguu mmoja, kwa mara ya kwanza nilitamani kua katili nimrukie nimpige hadi aombe msamaha na upande mwengine nilimuonea huruma, nilimuuliza Lily "mimi ndie nilikufanya uwe hivi au ulikua una tatizo lako ndani ndio limetoka baada ya kutikiswa na misukosuko?" akasema mimi ndio nilimfanya awe hivyo, nikamuuliza tena mara ya pili na kumtaka atulie kwanza kabla hajajibu swali, baada ya ukimya kidogo akasema ukweli mimi ndie niliyeitikisa hali iliyokuwepo ndani ya moyo wake na sio kwamba mimi ndie niliyesababisha awe hivyo,
Nikawa nashauku ya kujua ilikuaje, nikaingia kazini na kua therapist wake, nikamuomba afunguke asihofia chochote kwani tupo pale kwa nia ya kutengeneza na sio kuharibu, akatoa bangi aliyokwisha isokota tayari akaiwasha na kuvuta kama pafu tatu kwa mkupuo, nikatulia tulii huku nisimsikitikia aina ya maisha aliyoyachagua, Lily akafunguka, familia yake ndio ilisababisha, wamezaliwa wanne wote wa kike, baba ake alikua mfanyabiashara mkubwa wa madini Mwanza na mama ake alikua mfanyakazi wa bungeni kabla hajastaafu, yeye ni wa mwisho, anasema alikua akiona Mama yake anambagua sana kiufupi mama yake hakuonesha kumpenda hata kidogo pamoja na dada zake wote isipokua baba yake tu, anasema hakumbuki kama mama yake aliwahi kumkumbatia au kumshika mkono, au kumuongelesha kwa upole na upendo, waliishi maisha hayo hadi kuna kipindi alihisi yule sie mama ake, alipomaliza elimu ya sekondari ikabidi amuulize baba yake mbona mama yake anamchukia sana? baba akamwambia "kosa ni langu mwanangu, nilitamani sana kupata mtoto wa kiume ili tu nipate mrithi wa familia yangu na wa biashara zangu, wakati mama ako ana ujauzito wako nilikua nasema sana atazaa dume tukajijengea kichwani hilo, wote tulitamani mtoto wa kiume, maandalizi yote tulifanya kwa ajili ya kumpokea mtoto wa kiume hadi ulipozaliwa wewe wa kike, tulifedheheka lakini mimi nilijikaza na kumuachia Mungu, kwa bahati mbaya mama yako hakukubali hiyo sio kama anakuchukia ila anajihisi vibaya kukuona mtoto wa kike wakati mwanzo alikutengenezea picha ya mtoto wa kiume" japo baba ake alijaribu kuremba maneno lakini ukweli ulibaki kua mama ake Lily alimchukia mwanae kwa kuzaliwa wa kike na dada zake walirithi chuki ya mama yao dhidi yake hakuna la zaidi, ni pigo kubwa sana kwa mtoto kusikia kitu kama hicho,
Taratibu Lily akaanza kuact kama wakiume kwenye macho ya mama ake, akaanza kuvaa nguo za kiume anasema mwanzoni mama ake hakuelewa ila baadae ni kama alifurahi hapo kidogo akaanza walau kuongeleshwa na kwa mara ya kwanza mama ake alitabasamu mbele yake, kipindi hicho baba ake alikua kwenye biashara zake na aliweza kutokurudi nyumbani hata mwezi mzima, akasema siku hiyo baba yake alirejea na kumkuta akiwa kwenye mavazi ya kiume alikasirika sana akamkemea asirudie tena uvaaji huo akaacha, baada ya muda majibu ya chuo yalitoka na akapangiwa chuo cha Dar, Baba ake ndie alimleta chuo na ndio ikawa mara ya mwisho kuonana na baba ake kwani miezi michache baadae alifariki kwa ajali mbaya sana ya gari, akasema mtu pekee aliyempenda yeye kama alivyo aliondoka kwenye ulimwengu akawa mpweke sana, hakuna mtu kwenye familia yake ilijua au kujali kama anapitia depression kali sana, akiwa chuo alijiunga na vikundi mbalimbali angalau ikapunguza anachopitia, na siku niliyokutana nae kwenye ile semina licha ya kujitenga lakini niliweza kumuona na kukaa nae karibu akasema kilikua kitu kikubwa sana katika maisha yake, hakuwahi kuwaza kama msichana kama yeye anaweza akasema anaumwa na mtu akaacha shughuli zake na kwenda kumuangalia zaidi kumpelekea na zawadi, akasema hakuwahi kuamini kama msichana kama yeye kuna siku mtu anaweza akamjali kiasi ambacho akampeleka sehemu tofauti tofauti just kuenjoy, hakuwahi kupata raha kama nilizompa na anashindwa kukubali kua zile raha zilikua za muda mfupi tu, kama ambavyo baba ake alimuacha kipindi ambacho anamuhitaji,
Ilikua ni painful story, nikamkumbatia na kumwambia maneno mazuri, nilimsisitiza sana kujipenda yeye kwanza dunia imejaa watu makatili sana asikubali kuweka furaha yake kwenye mifuko ya watu wengine, amsamehe mama ake na zaidi anisamehe mimi, sikupanga kuja kwenye maisha yake na kumuumiza ila anatakiwa kujua watu huja na kuondoka kwenye maisha yetu, ajifunze kuwaacha waende asiwang'ang'anie mwisho wa siku yeye ndie anaumia, asiishi kutaka kuwafurahisha watu hata akiwa ni mama ake sababu binaadam hua hawaridhiki na kila siku huja na visa vipya.....
Baada ya kutulia tukakubaliana tubaki kua marafiki, tulikula na kunywa na kila mmoja alirudi kwake akiwa ana amani, kumbe yule nyoka alikua anarekodi mazungumzo yetu na akamtumia babe wangu vipande vipande alivyoona vinafaa kuniharibia......๐๐ป
Itaendelea
"Wezere likiwa kwenye khanga ilioshikana na maji."Lily ana balaa ๐น๐น
Ila wakina Lily wengi wasagaji sijui kwann??
Kuna Lily mmoja room mate wangu alikuwa na tabia za hovyo nilikuwa nikitoka kuoga anatulia anipige wezere likiwa kwenye khanga ilioshikana na maji basi anafurahi mwenyewe ๐คฃ
Na mimi nilivyo na masihara namtingishia namwambia ongeza kibao kingine ๐คฃ
Basi anajisonya huku anasikitika
Aliwahi sema yeye ni Lesbian.Hasa story za hivi unavyozipendaโฆ
Umejuaje?
Mimi tena nikose kujua ๐Umejuaje?
Uaminifu Umeanza kupungua taratibuInaendelea No 5,
Siku ya kuonana na Lily ilifika, alikuja akiwa amevaa kipensi cha kiume kifupi sana na singlend ili nione tattoo zake ๐, nilimchukia sikumuangalia kwa upendo, nilimuona kama shetani wa mguu mmoja, kwa mara ya kwanza nilitamani kua katili nimrukie nimpige hadi aombe msamaha na upande mwengine nilimuonea huruma, nilimuuliza Lily "mimi ndie nilikufanya uwe hivi au ulikua una tatizo lako ndani ndio limetoka baada ya kutikiswa na misukosuko?" akasema mimi ndio nilimfanya awe hivyo, nikamuuliza tena mara ya pili na kumtaka atulie kwanza kabla hajajibu swali, baada ya ukimya kidogo akasema ukweli mimi ndie niliyeitikisa hali iliyokuwepo ndani ya moyo wake na sio kwamba mimi ndie niliyesababisha awe hivyo,
Nikawa nashauku ya kujua ilikuaje, nikaingia kazini na kua therapist wake, nikamuomba afunguke asihofia chochote kwani tupo pale kwa nia ya kutengeneza na sio kuharibu, akatoa bangi aliyokwisha isokota tayari akaiwasha na kuvuta kama pafu tatu kwa mkupuo, nikatulia tulii huku nisimsikitikia aina ya maisha aliyoyachagua, Lily akafunguka, familia yake ndio ilisababisha, wamezaliwa wanne wote wa kike, baba ake alikua mfanyabiashara mkubwa wa madini Mwanza na mama ake alikua mfanyakazi wa bungeni kabla hajastaafu, yeye ni wa mwisho, anasema alikua akiona Mama yake anambagua sana kiufupi mama yake hakuonesha kumpenda hata kidogo pamoja na dada zake wote isipokua baba yake tu, anasema hakumbuki kama mama yake aliwahi kumkumbatia au kumshika mkono, au kumuongelesha kwa upole na upendo, waliishi maisha hayo hadi kuna kipindi alihisi yule sie mama ake, alipomaliza elimu ya sekondari ikabidi amuulize baba yake mbona mama yake anamchukia sana? baba akamwambia "kosa ni langu mwanangu, nilitamani sana kupata mtoto wa kiume ili tu nipate mrithi wa familia yangu na wa biashara zangu, wakati mama ako ana ujauzito wako nilikua nasema sana atazaa dume tukajijengea kichwani hilo, wote tulitamani mtoto wa kiume, maandalizi yote tulifanya kwa ajili ya kumpokea mtoto wa kiume hadi ulipozaliwa wewe wa kike, tulifedheheka lakini mimi nilijikaza na kumuachia Mungu, kwa bahati mbaya mama yako hakukubali hiyo sio kama anakuchukia ila anajihisi vibaya kukuona mtoto wa kike wakati mwanzo alikutengenezea picha ya mtoto wa kiume" japo baba ake alijaribu kuremba maneno lakini ukweli ulibaki kua mama ake Lily alimchukia mwanae kwa kuzaliwa wa kike na dada zake walirithi chuki ya mama yao dhidi yake hakuna la zaidi, ni pigo kubwa sana kwa mtoto kusikia kitu kama hicho,
Taratibu Lily akaanza kuact kama wakiume kwenye macho ya mama ake, akaanza kuvaa nguo za kiume anasema mwanzoni mama ake hakuelewa ila baadae ni kama alifurahi hapo kidogo akaanza walau kuongeleshwa na kwa mara ya kwanza mama ake alitabasamu mbele yake, kipindi hicho baba ake alikua kwenye biashara zake na aliweza kutokurudi nyumbani hata mwezi mzima, akasema siku hiyo baba yake alirejea na kumkuta akiwa kwenye mavazi ya kiume alikasirika sana akamkemea asirudie tena uvaaji huo akaacha, baada ya muda majibu ya chuo yalitoka na akapangiwa chuo cha Dar, Baba ake ndie alimleta chuo na ndio ikawa mara ya mwisho kuonana na baba ake kwani miezi michache baadae alifariki kwa ajali mbaya sana ya gari, akasema mtu pekee aliyempenda yeye kama alivyo aliondoka kwenye ulimwengu akawa mpweke sana, hakuna mtu kwenye familia yake ilijua au kujali kama anapitia depression kali sana, akiwa chuo alijiunga na vikundi mbalimbali angalau ikapunguza anachopitia, na siku niliyokutana nae kwenye ile semina licha ya kujitenga lakini niliweza kumuona na kukaa nae karibu akasema kilikua kitu kikubwa sana katika maisha yake, hakuwahi kuwaza kama msichana kama yeye anaweza akasema anaumwa na mtu akaacha shughuli zake na kwenda kumuangalia zaidi kumpelekea na zawadi, akasema hakuwahi kuamini kama msichana kama yeye kuna siku mtu anaweza akamjali kiasi ambacho akampeleka sehemu tofauti tofauti just kuenjoy, hakuwahi kupata raha kama nilizompa na anashindwa kukubali kua zile raha zilikua za muda mfupi tu, kama ambavyo baba ake alimuacha kipindi ambacho anamuhitaji,
Ilikua ni painful story, nikamkumbatia na kumwambia maneno mazuri, nilimsisitiza sana kujipenda yeye kwanza dunia imejaa watu makatili sana asikubali kuweka furaha yake kwenye mifuko ya watu wengine, amsamehe mama ake na zaidi anisamehe mimi, sikupanga kuja kwenye maisha yake na kumuumiza ila anatakiwa kujua watu huja na kuondoka kwenye maisha yetu, ajifunze kuwaacha waende asiwang'ang'anie mwisho wa siku yeye ndie anaumia, asiishi kutaka kuwafurahisha watu hata akiwa ni mama ake sababu binaadam hua hawaridhiki na kila siku huja na visa vipya.....
Baada ya kutulia tukakubaliana tubaki kua marafiki, tulikula na kunywa na kila mmoja alirudi kwake akiwa ana amani, kumbe yule nyoka alikua anarekodi mazungumzo yetu na akamtumia babe wangu vipande vipande alivyoona vinafaa kuniharibia......๐๐ป
Itaendelea
๐น๐น๐น"Wezere likiwa kwenye khanga ilioshikana na maji."
Sioni vijana wakijenga mkinga๐
Usikute walikuwa wananyongwa huko huko kwa wakunga wa jadi. Au umewahi muona mlemavu mmasai?Sijawahi kuona mkuu, ila jamii niliyokulia hakukuwa na albino kabisa.