Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Basi umekosea maana huu uzi haunifai kabisaMimi tena nikose kujua 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi umekosea maana huu uzi haunifai kabisaMimi tena nikose kujua 😁
Pole kwa Kuukwaa UkimwiWakuu kwanza leo ndio nimejua kua nimetimiza miaka 10 jamii forum, mnipigie makofi tafadhaliiii🥳🥳🤣
Okay, nashare na ninyi hadithi hii ya kweli iliyonitokea mimi mwenyewe, hua naumia sana kila nikiwaza kwa ujinga wangu nilivyohatarisha mahusiano yangu na kuharibu maisha ya huyu binti,
Mwaka 2020, nilienda kwenye semina ya vijana juu ya uelewa wa Afya ya Akili, kulikua kuna taasisi nyingi zilialikwa ikiwemo na sisi, basi muda wa kupata chakula cha mchana nikamuona binti mmoja mrembo amekaa meza ya peke yake anakula taratiibu, akilini nikahisi anajitenga kwa hiyo nilibeba chakula changu na kuwaacha wenzangu wanaelekea kukaa meza nyingine nikaenda kukaa na yule binti, nilimsamlimia na kumuuliza kama ninaweza kukaa akanikaribisha kwa tabasamu zuri, basi tukaanza kupiga story za hapa na pale hadi tulipomaliza kula tukaagana na kila mmoja akarejea alipokaa awali, kiukweli mimi sikumtilia maanani tena,
Semina ilivyoisha wakati najiandaa kuondoka yule binti akaja mbio na kuniomba namba ya simu, nilisita kidogo akadai ana shida ya ushauri basi nikampa chap nikaondoka,
Nilivyofika home mida ya saa moja jioni sms ikaingia muhusika akajitambulisha anaitwa LILY (sio jina halisi) tulikutana kwenye semina hapo ndipo mawasiliano yalipoanza rasmi,
Nitajaribu kuifupisha maana sina kipaji cha uandishi,
Mimi na Lily tukawa marafiki sana, mimi nilimchukulia kama mdogo wangu (alikua chuo mwaka wa pili) huku yeye akitengeneza hisia za mapenzi kwangu licha ya kujua nipo kwenye mahusiano,
Siku moja akanipigia simu niende kwake alikua anaumwa sana, nakumbuka jioni baada ya kumaliza kazi nikanunua matunda na mazaga mengine nikaenda kumuona mdogo wangu mgonjwa, ilikua mara ya kwanza kufika kwake, alikua amepanga chumba master na jiko, alifurahi sana kuniona kila mara alisema hakuamini kama ningeenda, nakumbuka alivyoifakamia chocolate niliyomletea, anapenda sana chocolate, nilikaa kama masaa mawili nikaaga, akaniomba aoge kisha anisindikize japo nje tu, nikasema poa, alipotoka kuoga dah! hata sielewi ilikuaje nikajikuta namsaliti babe wangu 😭😭 pia nikanasa kwenye mtego mbaya sana ambao unanitesa hadi leo, just one mistake 🙌🏻.......
Mnisamehe siwezi kuandika yote hapa itakua ndefu sana itawaboa.
Itaendelea
Aaah kudadeki, this sikukitegemea nmecheka sanaNdio ujue JF utapeli hautaisha😃😃
Sijajua kama yule dada wa Diploma ya ualimu UDSM washampa kazi au bado anauza Mbususu yake....
Unajua story telling, naweka kambi.Inaendelea No 5,
Siku ya kuonana na Lily ilifika, alikuja akiwa amevaa kipensi cha kiume kifupi sana na singlend ili nione tattoo zake 😏, nilimchukia sikumuangalia kwa upendo, nilimuona kama shetani wa mguu mmoja, kwa mara ya kwanza nilitamani kua katili nimrukie nimpige hadi aombe msamaha na upande mwengine nilimuonea huruma, nilimuuliza Lily "mimi ndie nilikufanya uwe hivi au ulikua una tatizo lako ndani ndio limetoka baada ya kutikiswa na misukosuko?" akasema mimi ndio nilimfanya awe hivyo, nikamuuliza tena mara ya pili na kumtaka atulie kwanza kabla hajajibu swali, baada ya ukimya kidogo akasema ukweli mimi ndie niliyeitikisa hali iliyokuwepo ndani ya moyo wake na sio kwamba mimi ndie niliyesababisha awe hivyo,
Nikawa nashauku ya kujua ilikuaje, nikaingia kazini na kua therapist wake, nikamuomba afunguke asihofia chochote kwani tupo pale kwa nia ya kutengeneza na sio kuharibu, akatoa bangi aliyokwisha isokota tayari akaiwasha na kuvuta kama pafu tatu kwa mkupuo, nikatulia tulii huku nisimsikitikia aina ya maisha aliyoyachagua, Lily akafunguka, familia yake ndio ilisababisha, wamezaliwa wanne wote wa kike, baba ake alikua mfanyabiashara mkubwa wa madini Mwanza na mama ake alikua mfanyakazi wa bungeni kabla hajastaafu, yeye ni wa mwisho, anasema alikua akiona Mama yake anambagua sana kiufupi mama yake hakuonesha kumpenda hata kidogo pamoja na dada zake wote isipokua baba yake tu, anasema hakumbuki kama mama yake aliwahi kumkumbatia au kumshika mkono, au kumuongelesha kwa upole na upendo, waliishi maisha hayo hadi kuna kipindi alihisi yule sie mama ake, alipomaliza elimu ya sekondari ikabidi amuulize baba yake mbona mama yake anamchukia sana? baba akamwambia "kosa ni langu mwanangu, nilitamani sana kupata mtoto wa kiume ili tu nipate mrithi wa familia yangu na wa biashara zangu, wakati mama ako ana ujauzito wako nilikua nasema sana atazaa dume tukajijengea kichwani hilo, wote tulitamani mtoto wa kiume, maandalizi yote tulifanya kwa ajili ya kumpokea mtoto wa kiume hadi ulipozaliwa wewe wa kike, tulifedheheka lakini mimi nilijikaza na kumuachia Mungu, kwa bahati mbaya mama yako hakukubali hiyo sio kama anakuchukia ila anajihisi vibaya kukuona mtoto wa kike wakati mwanzo alikutengenezea picha ya mtoto wa kiume" japo baba ake alijaribu kuremba maneno lakini ukweli ulibaki kua mama ake Lily alimchukia mwanae kwa kuzaliwa wa kike na dada zake walirithi chuki ya mama yao dhidi yake hakuna la zaidi, ni pigo kubwa sana kwa mtoto kusikia kitu kama hicho,
Taratibu Lily akaanza kuact kama wakiume kwenye macho ya mama ake, akaanza kuvaa nguo za kiume anasema mwanzoni mama ake hakuelewa ila baadae ni kama alifurahi hapo kidogo akaanza walau kuongeleshwa na kwa mara ya kwanza mama ake alitabasamu mbele yake, kipindi hicho baba ake alikua kwenye biashara zake na aliweza kutokurudi nyumbani hata mwezi mzima, akasema siku hiyo baba yake alirejea na kumkuta akiwa kwenye mavazi ya kiume alikasirika sana akamkemea asirudie tena uvaaji huo akaacha, baada ya muda majibu ya chuo yalitoka na akapangiwa chuo cha Dar, Baba ake ndie alimleta chuo na ndio ikawa mara ya mwisho kuonana na baba ake kwani miezi michache baadae alifariki kwa ajali mbaya sana ya gari, akasema mtu pekee aliyempenda yeye kama alivyo aliondoka kwenye ulimwengu akawa mpweke sana, hakuna mtu kwenye familia yake ilijua au kujali kama anapitia depression kali sana, akiwa chuo alijiunga na vikundi mbalimbali angalau ikapunguza anachopitia, na siku niliyokutana nae kwenye ile semina licha ya kujitenga lakini niliweza kumuona na kukaa nae karibu akasema kilikua kitu kikubwa sana katika maisha yake, hakuwahi kuwaza kama msichana kama yeye anaweza akasema anaumwa na mtu akaacha shughuli zake na kwenda kumuangalia zaidi kumpelekea na zawadi, akasema hakuwahi kuamini kama msichana kama yeye kuna siku mtu anaweza akamjali kiasi ambacho akampeleka sehemu tofauti tofauti just kuenjoy, hakuwahi kupata raha kama nilizompa na anashindwa kukubali kua zile raha zilikua za muda mfupi tu, kama ambavyo baba ake alimuacha kipindi ambacho anamuhitaji,
Ilikua ni painful story, nikamkumbatia na kumwambia maneno mazuri, nilimsisitiza sana kujipenda yeye kwanza dunia imejaa watu makatili sana asikubali kuweka furaha yake kwenye mifuko ya watu wengine, amsamehe mama ake na zaidi anisamehe mimi, sikupanga kuja kwenye maisha yake na kumuumiza ila anatakiwa kujua watu huja na kuondoka kwenye maisha yetu, ajifunze kuwaacha waende asiwang'ang'anie mwisho wa siku yeye ndie anaumia, asiishi kutaka kuwafurahisha watu hata akiwa ni mama ake sababu binaadam hua hawaridhiki na kila siku huja na visa vipya.....
Baada ya kutulia tukakubaliana tubaki kua marafiki, tulikula na kunywa na kila mmoja alirudi kwake akiwa ana amani, kumbe yule nyoka alikua anarekodi mazungumzo yetu na akamtumia babe wangu vipande vipande alivyoona vinafaa kuniharibia......🙌🏻
Itaendelea
ke jamii ya yule dada wa migodini aliyeuawa...Mi nlijuaga wewe ni KE
Wenga wengaaaaa..!! Kyani hoti?Uaminifu Umeanza kupungua taratibu
Em ngoja kwanza nione hii chai nitainywa na nini ikishachemka
GGMke jamii ya yule dada wa migodini aliyeuawa...
Expectations nlizokuwa nazo zinayeyuka taratibu,. Dr anani-disappointWenga wengaaaaa..!! Kyani hoti?
Yaani hadi raha amekachangamsha ka jumapili!by the way kwa nini pilau linakuwaga tamu sana jumapili na sio jumatano?Jpili ina balaa 😹😹
Hapa nishashiba pilau, dr atupe burudani tu
Ila nachukia watu wa hivi mimiInaendelea No 5,
Siku ya kuonana na Lily ilifika, alikuja akiwa amevaa kipensi cha kiume kifupi sana na singlend ili nione tattoo zake 😏, nilimchukia sikumuangalia kwa upendo, nilimuona kama shetani wa mguu mmoja, kwa mara ya kwanza nilitamani kua katili nimrukie nimpige hadi aombe msamaha na upande mwengine nilimuonea huruma, nilimuuliza Lily "mimi ndie nilikufanya uwe hivi au ulikua una tatizo lako ndani ndio limetoka baada ya kutikiswa na misukosuko?" akasema mimi ndio nilimfanya awe hivyo, nikamuuliza tena mara ya pili na kumtaka atulie kwanza kabla hajajibu swali, baada ya ukimya kidogo akasema ukweli mimi ndie niliyeitikisa hali iliyokuwepo ndani ya moyo wake na sio kwamba mimi ndie niliyesababisha awe hivyo,
Nikawa nashauku ya kujua ilikuaje, nikaingia kazini na kua therapist wake, nikamuomba afunguke asihofia chochote kwani tupo pale kwa nia ya kutengeneza na sio kuharibu, akatoa bangi aliyokwisha isokota tayari akaiwasha na kuvuta kama pafu tatu kwa mkupuo, nikatulia tulii huku nisimsikitikia aina ya maisha aliyoyachagua, Lily akafunguka, familia yake ndio ilisababisha, wamezaliwa wanne wote wa kike, baba ake alikua mfanyabiashara mkubwa wa madini Mwanza na mama ake alikua mfanyakazi wa bungeni kabla hajastaafu, yeye ni wa mwisho, anasema alikua akiona Mama yake anambagua sana kiufupi mama yake hakuonesha kumpenda hata kidogo pamoja na dada zake wote isipokua baba yake tu, anasema hakumbuki kama mama yake aliwahi kumkumbatia au kumshika mkono, au kumuongelesha kwa upole na upendo, waliishi maisha hayo hadi kuna kipindi alihisi yule sie mama ake, alipomaliza elimu ya sekondari ikabidi amuulize baba yake mbona mama yake anamchukia sana? baba akamwambia "kosa ni langu mwanangu, nilitamani sana kupata mtoto wa kiume ili tu nipate mrithi wa familia yangu na wa biashara zangu, wakati mama ako ana ujauzito wako nilikua nasema sana atazaa dume tukajijengea kichwani hilo, wote tulitamani mtoto wa kiume, maandalizi yote tulifanya kwa ajili ya kumpokea mtoto wa kiume hadi ulipozaliwa wewe wa kike, tulifedheheka lakini mimi nilijikaza na kumuachia Mungu, kwa bahati mbaya mama yako hakukubali hiyo sio kama anakuchukia ila anajihisi vibaya kukuona mtoto wa kike wakati mwanzo alikutengenezea picha ya mtoto wa kiume" japo baba ake alijaribu kuremba maneno lakini ukweli ulibaki kua mama ake Lily alimchukia mwanae kwa kuzaliwa wa kike na dada zake walirithi chuki ya mama yao dhidi yake hakuna la zaidi, ni pigo kubwa sana kwa mtoto kusikia kitu kama hicho,
Taratibu Lily akaanza kuact kama wakiume kwenye macho ya mama ake, akaanza kuvaa nguo za kiume anasema mwanzoni mama ake hakuelewa ila baadae ni kama alifurahi hapo kidogo akaanza walau kuongeleshwa na kwa mara ya kwanza mama ake alitabasamu mbele yake, kipindi hicho baba ake alikua kwenye biashara zake na aliweza kutokurudi nyumbani hata mwezi mzima, akasema siku hiyo baba yake alirejea na kumkuta akiwa kwenye mavazi ya kiume alikasirika sana akamkemea asirudie tena uvaaji huo akaacha, baada ya muda majibu ya chuo yalitoka na akapangiwa chuo cha Dar, Baba ake ndie alimleta chuo na ndio ikawa mara ya mwisho kuonana na baba ake kwani miezi michache baadae alifariki kwa ajali mbaya sana ya gari, akasema mtu pekee aliyempenda yeye kama alivyo aliondoka kwenye ulimwengu akawa mpweke sana, hakuna mtu kwenye familia yake ilijua au kujali kama anapitia depression kali sana, akiwa chuo alijiunga na vikundi mbalimbali angalau ikapunguza anachopitia, na siku niliyokutana nae kwenye ile semina licha ya kujitenga lakini niliweza kumuona na kukaa nae karibu akasema kilikua kitu kikubwa sana katika maisha yake, hakuwahi kuwaza kama msichana kama yeye anaweza akasema anaumwa na mtu akaacha shughuli zake na kwenda kumuangalia zaidi kumpelekea na zawadi, akasema hakuwahi kuamini kama msichana kama yeye kuna siku mtu anaweza akamjali kiasi ambacho akampeleka sehemu tofauti tofauti just kuenjoy, hakuwahi kupata raha kama nilizompa na anashindwa kukubali kua zile raha zilikua za muda mfupi tu, kama ambavyo baba ake alimuacha kipindi ambacho anamuhitaji,
Ilikua ni painful story, nikamkumbatia na kumwambia maneno mazuri, nilimsisitiza sana kujipenda yeye kwanza dunia imejaa watu makatili sana asikubali kuweka furaha yake kwenye mifuko ya watu wengine, amsamehe mama ake na zaidi anisamehe mimi, sikupanga kuja kwenye maisha yake na kumuumiza ila anatakiwa kujua watu huja na kuondoka kwenye maisha yetu, ajifunze kuwaacha waende asiwang'ang'anie mwisho wa siku yeye ndie anaumia, asiishi kutaka kuwafurahisha watu hata akiwa ni mama ake sababu binaadam hua hawaridhiki na kila siku huja na visa vipya.....
Baada ya kutulia tukakubaliana tubaki kua marafiki, tulikula na kunywa na kila mmoja alirudi kwake akiwa ana amani, kumbe yule nyoka alikua anarekodi mazungumzo yetu na akamtumia babe wangu vipande vipande alivyoona vinafaa kuniharibia......🙌🏻
Itaendelea
Aweeee! Kwanini jamani mrembo wangu,Expectations nlizokuwa nazo zinayeyuka taratibu,. Dr anani-disappoint
Na mi kuna Lily namjua huko Kanda ya ziwa anawakoboa sana...Lily ana balaa 😹😹
Ila wakina Lily wengi wasagaji sijui kwann??
Kuna Lily mmoja room mate wangu alikuwa na tabia za hovyo nilikuwa nikitoka kuoga anatulia anipige wezere likiwa kwenye khanga ilioshikana na maji basi anafurahi mwenyewe 🤣
Na mimi nilivyo na masihara namtingishia namwambia ongeza kibao kingine 🤣
Basi anajisonya huku anasikitika
Acha tu Mamy, ving'ang'a pro max,Ila nachukia watu wa hivi mimi
MAbadiliko ya Lily yamekuwa ya gafla sana,. Mara tatoo mara bhangi within a year 🤔,.Aweeee! Kwanini jamani mrembo wangu,
Hebu nieleze taratibu wapi nimekukwaza
Hii stori yako inavutia na ni funzo kwa wenye tamaa kama wewe.Wakuu kwanza leo ndio nimejua kua nimetimiza miaka 10 jamii forum, mnipigie makofi tafadhaliiii🥳🥳🤣
Okay, nashare na ninyi hadithi hii ya kweli iliyonitokea mimi mwenyewe, hua naumia sana kila nikiwaza kwa ujinga wangu nilivyohatarisha mahusiano yangu na kuharibu maisha ya huyu binti,
Mwaka 2020, nilienda kwenye semina ya vijana juu ya uelewa wa Afya ya Akili, kulikua kuna taasisi nyingi zilialikwa ikiwemo na sisi, basi muda wa kupata chakula cha mchana nikamuona binti mmoja mrembo amekaa meza ya peke yake anakula taratiibu, akilini nikahisi anajitenga kwa hiyo nilibeba chakula changu na kuwaacha wenzangu wanaelekea kukaa meza nyingine nikaenda kukaa na yule binti, nilimsamlimia na kumuuliza kama ninaweza kukaa akanikaribisha kwa tabasamu zuri, basi tukaanza kupiga story za hapa na pale hadi tulipomaliza kula tukaagana na kila mmoja akarejea alipokaa awali, kiukweli mimi sikumtilia maanani tena,
Semina ilivyoisha wakati najiandaa kuondoka yule binti akaja mbio na kuniomba namba ya simu, nilisita kidogo akadai ana shida ya ushauri basi nikampa chap nikaondoka,
Nilivyofika home mida ya saa moja jioni sms ikaingia muhusika akajitambulisha anaitwa LILY (sio jina halisi) tulikutana kwenye semina hapo ndipo mawasiliano yalipoanza rasmi,
Nitajaribu kuifupisha maana sina kipaji cha uandishi,
Mimi na Lily tukawa marafiki sana, mimi nilimchukulia kama mdogo wangu (alikua chuo mwaka wa pili) huku yeye akitengeneza hisia za mapenzi kwangu licha ya kujua nipo kwenye mahusiano,
Siku moja akanipigia simu niende kwake alikua anaumwa sana, nakumbuka jioni baada ya kumaliza kazi nikanunua matunda na mazaga mengine nikaenda kumuona mdogo wangu mgonjwa, ilikua mara ya kwanza kufika kwake, alikua amepanga chumba master na jiko, alifurahi sana kuniona kila mara alisema hakuamini kama ningeenda, nakumbuka alivyoifakamia chocolate niliyomletea, anapenda sana chocolate, nilikaa kama masaa mawili nikaaga, akaniomba aoge kisha anisindikize japo nje tu, nikasema poa, alipotoka kuoga dah! hata sielewi ilikuaje nikajikuta namsaliti babe wangu 😭😭 pia nikanasa kwenye mtego mbaya sana ambao unanitesa hadi leo, just one mistake 🙌🏻.......
Mnisamehe siwezi kuandika yote hapa itakua ndefu sana itawaboa.
Itaendelea
NipoNipo,Umeadimika