Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Naisoma taratiiibu...naona Lily na Zuchu wana tabia zinazofanana😁Kwema,yaani nadhani leo nilikuwa wa kwanza kuona alivyopost tu nikawahi siti😅😅😅unaionaje simulizi lkn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naisoma taratiiibu...naona Lily na Zuchu wana tabia zinazofanana😁Kwema,yaani nadhani leo nilikuwa wa kwanza kuona alivyopost tu nikawahi siti😅😅😅unaionaje simulizi lkn?
Hakika wameshabihiana sanaNaisoma taratiiibu...naona Lily na Zuchu wana tabia zinazofanana😁
Ni true story yaan hapo nimepunguza vingi ila katika mistake niliyowahi kuifanya maishani mwangu ni kukutana na huyu kiumbe LilyEither fiction or not, story line imekaa fresh sana.
Ikiendelea nistueHakika wameshabihiana sana
Bila shaka mi niko hapa bampa to bampaIkiendelea nistue
Anha,. Hapo nimekupata Dr,.Mwaka mmoja ni mrefu sana kwa mtu kubadilika iwe kwa uzuri au kwa ubaya dear, wala haihitaji miaka mingi kuchora tattoo au kuvuta bangi, hapo niliposkip ni kwanini alijibadilisha hivyo, ili afanane na bae wangu, yeye ana muonekano wa masculine pia ana tattoos nyingi ikiwemo jina langu
Muda wote unawaza vita, hajamaanisha wewe ni shemeji yakeSina shemeji humu JF mkuu. Utani utani wa kuitana shemeji siupendi
Sisi sio wa penzi wako bali ni member wenzio wa jfNawaahidi story itaisha chap, kwa kua sio ya kutunga basi tulieni wapenzi wangu sio tu muenjoy bali mjifunze pia
Eleza kwanza wewe ni mwanamke au mwanaume tuanze hapa kwanzaWakuu kwanza leo ndio nimejua kua nimetimiza miaka 10 jamii forum, mnipigie makofi tafadhaliiii🥳🥳🤣
Okay, nashare na ninyi hadithi hii ya kweli iliyonitokea mimi mwenyewe, hua naumia sana kila nikiwaza kwa ujinga wangu nilivyohatarisha mahusiano yangu na kuharibu maisha ya huyu binti,
Mwaka 2020, nilienda kwenye semina ya vijana juu ya uelewa wa Afya ya Akili, kulikua kuna taasisi nyingi zilialikwa ikiwemo na sisi, basi muda wa kupata chakula cha mchana nikamuona binti mmoja mrembo amekaa meza ya peke yake anakula taratiibu, akilini nikahisi anajitenga kwa hiyo nilibeba chakula changu na kuwaacha wenzangu wanaelekea kukaa meza nyingine nikaenda kukaa na yule binti, nilimsamlimia na kumuuliza kama ninaweza kukaa akanikaribisha kwa tabasamu zuri, basi tukaanza kupiga story za hapa na pale hadi tulipomaliza kula tukaagana na kila mmoja akarejea alipokaa awali, kiukweli mimi sikumtilia maanani tena,
Semina ilivyoisha wakati najiandaa kuondoka yule binti akaja mbio na kuniomba namba ya simu, nilisita kidogo akadai ana shida ya ushauri basi nikampa chap nikaondoka,
Nilivyofika home mida ya saa moja jioni sms ikaingia muhusika akajitambulisha anaitwa LILY (sio jina halisi) tulikutana kwenye semina hapo ndipo mawasiliano yalipoanza rasmi,
Nitajaribu kuifupisha maana sina kipaji cha uandishi,
Mimi na Lily tukawa marafiki sana, mimi nilimchukulia kama mdogo wangu (alikua chuo mwaka wa pili) huku yeye akitengeneza hisia za mapenzi kwangu licha ya kujua nipo kwenye mahusiano,
Siku moja akanipigia simu niende kwake alikua anaumwa sana, nakumbuka jioni baada ya kumaliza kazi nikanunua matunda na mazaga mengine nikaenda kumuona mdogo wangu mgonjwa, ilikua mara ya kwanza kufika kwake, alikua amepanga chumba master na jiko, alifurahi sana kuniona kila mara alisema hakuamini kama ningeenda, nakumbuka alivyoifakamia chocolate niliyomletea, anapenda sana chocolate, nilikaa kama masaa mawili nikaaga, akaniomba aoge kisha anisindikize japo nje tu, nikasema poa, alipotoka kuoga dah! hata sielewi ilikuaje nikajikuta namsaliti babe wangu 😭😭 pia nikanasa kwenye mtego mbaya sana ambao unanitesa hadi leo, just one mistake 🙌🏻.......
Mnisamehe siwezi kuandika yote hapa itakua ndefu sana itawaboa.
Itaendelea
Kuna watu ving'ang'a usisikiePenzi lageuka vita 😜 kuna watu hawafai kupendwa hata kidogo jamani 😅😅😅
Shukrani mkuu,
Fanya masikhara 😜😅Haya Lily analilia penzi tamu maana ameshakolezwa
alikua mshamba tu wa mapenzi, alitakiwa kubalance shoboKuna watu ving'ang'a usisikie
Fresh mkuu, vipi haliShukrani mkuu,
Habari ya weekend?
Naonaga ni ugonjwa wa akili sio bure 😅Fanya masikhara 😜😅
alikua mshamba tu wa mapenzi, alitakiwa kubalance shobo
Muda wote unawaza vita, hajamaanisha wewe ni shemeji yake
Shemale huwajui kwani?😂
Gud sana, vipi pande hizoFresh mkuu, vipi hali
Kwanini msagane wakati mboro zipo nyingi sana?Hakua tomboy alijibadili muonekano baada ya kukataliwa, ila mwanzo wote tulikua warembo