Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Hizi story zenu mnawachanganya sana vijana na kuwasababishia matatizo.
Mnafanya ionekana kupata tunda ni kitilu chepesi sana...Yaani umekutana na binti mrembo, tayari yeye kachukua, yeye ndo anakutafuta tena uende kwake - unaenda uma-maliza kazi...Nyieee mtawachanganya vijana
Huyu ni lesbian mkuu hamna dume kwenye hii story
 
Haya mambo kila siku yanazidi kuisogelea jamii yetu. Mwanzo ilikuwa siri ila Sasa hakuna Siri tena yaani mpaka nyuzi zinafunguliwa bila woga Wala wasiwasi. Na kwakuwa watu wengi Wana depression na wengine wako disperate kujua what happened kumbe kinyume chake tunakuwa wired kuona hii ni kawaida.
Sad.
 
Back
Top Bottom