Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Hizi story zenu mnawachanganya sana vijana na kuwasababishia matatizo.
Mnafanya ionekana kupata tunda ni kitilu chepesi sana...Yaani umekutana na binti mrembo, tayari yeye kachukua, yeye ndo anakutafuta tena uende kwake - unaenda uma-maliza kazi...Nyieee mtawachanganya vijana
Hakuna sehemu watu wanakulana kama kwenye semina tena hizi semina za kwenda kulala ndio mbaya watu wanashea vyumba balaaa
 
Kwahiyo nani alikuwa anaplay mwanaume, dr hii story kuna page unachana sana em elezea vizuri bana 😹😹😹
Mahusiano ya fem2fem (wote warembo) hakunaga mwanaume, ila kama unazungumzia provider yes atakua yule mwenye kipato kumzidi mwenzie, nikifunguka sana hawakawii kupita nao si unawajua tena
 
Mwaka mmoja ni mrefu sana kwa mtu kubadilika iwe kwa uzuri au kwa ubaya dear, wala haihitaji miaka mingi kuchora tattoo au kuvuta bangi, hapo niliposkip ni kwanini alijibadilisha hivyo, ili afanane na bae wangu, yeye ana muonekano wa masculine pia ana tattoos nyingi ikiwemo jina langu
Totally confused 🥹🥹🥹
Bae wako ni masculine???
Na wewe ni wa kike au???
Kasongo mbona weooo
 
Ep 6
Wakati dokta anaendelea mi nlikua nawasoma tu ye na lily ss nasimulia ilivyokua

Baada ya yule kenge kutuma v note kwa shemeji ( anaitwa mamu dokta acha kutuficha had jina) kwanza mamu akashangaa account nyingin tena ya watsap imemtumia voice note ikabidi azisikilize sasa lily alikua ametuma vipande vile nlivyokua nasema nlikua nae kwenye mahusiano huku akiambatanish tena na picha alizonipiga pale pale kwa kificho .Mamu hakulaza dam akanitumia pale pale vitu vyote kama alivyopokea huku akiwa anahitaji maelezo kutokana na kwamb alikua akiniamini sana na haamin kama naweza kumsaliti

Baada ya kupokea zile mambo kwanza nlijuta sana kuonana na lily pili nikoana hapa nkikubali ntakua nimeisha kabisa na ntavunja kabisa uaminifu wangu kwa mamu nlichokifanya kwanza ni kukataa na kusema yule ni mgonjwa wanngu kwanza na Kama anavyojua nahudumia watu wenye changamotoa za akili lily hakuamini kirahis akaniuliza kwa hy wagonjwa wako ndo unawapa namba zangu wanitumie hivi vitu. Mamu ni mtu anajua kureson sana mambo akiangalia umbali wetu na mda tunaokaa bila kudunyuana akawa ameshajua lazima nimejiongeza nilimpa fact sana lakin akawa haelewi na anaona kama najitetea tu ( by the way mi huwa sikubali kosa hasa kuchepuka )
Mamu alionekana kuumia sana japo alikua hana ushahidi ila akaiambia niwe makini na usaliti kwakw ni mwiba .

Nilizidi kumchukia sana lily na kutamani hata kwenda kumzqba makofi nlimpigia lily simu aka pokea kwa hasira nkamuuliza sasa ndo umefanyajw we kichaa lily alicheka sana akasema nataka na wewe upate maumivu nnayoyapata nlikuambia vita ndo imeqnza rasmi huwezi kuja tu kunchezea na kuniacha ghafla lazima na huyo sem wako muachane tu mi ndo lily kichaa .Kiukweli hasira zilinipanda mpaka nkawa nawaza nkamfanyie lily mambo ya ajabu nkawaza au nkamloge kweli hilo wazo likapita basi nkampigia mganga wangu wa bagamoyo amnyooshe .Hilo wazo nkalipiga chini nkaona huyu ntadili nae ana kwa ana nkapanga plan kama tatu .

Itaendelea
Wee jamaa umeipeleka km kweli vile 😹😹😹
Kaimalizie na ya Patric waungwana wanalalamika sana.!!
 
Inaendelea No 6,
Mtu akiwa nyoka hawezi kubadilika nimeamini,
Haya twendeni mkajue aliipataje namba ya mpenzi wangu,
Nina cousin wangu ana duka la vipodozi, enzi za mahaba ndindindi nilishawahi kwenda nae pale kama mara 3 hivi, lakini cuzo alikua hajui kama ni mchepuko wangu,
Siku moja Lily alienda dukani kwa cuzo akapokelewa vizuri akafanya manunuzi ya bidhaa mbili tatu, akajifanya ananipigia simu akamwambia cuzo eti nilimwambia yupo kwenye kikao ni muda mrefu sasa, kuna mzigo tulimuagiza mimi na bae, sasa hanipati na anatakiwa ageuke, akamuuliza cuzo kama anaweza kumpatia namba ya bae yeye aliiacha kwenye simu nyingine, cuzo na yeye bila kuwaza mara mbili akampatia, hapo ndio Lily alipopata namba ya babe kiulaiiiini kabisa na kumtumia voice alizozichagua, akamtumia hadi ile aliyoomba tufanye a goodbye sex nikamkatalia na kusema tuliyoyafanya yanatosha, nyieeeee yaani aliniacha uchiiiiii😭😭🚮

Nikiwa sina hili wala lile weekend flani tulivu nipo home na watch movie zikaingia voice meseji kibao kutoka kwa babe, kufungua najisikia sauti yangu na ya Lily, usipime huo mshtuko wakeee,
Kuna voice alikua anasema " i miss every sex we did hasa ile ya kwenye beach usiku under the moon, we were wild and true what happened to us?" na mimi nikamjibu "those were the good memories let's cherish them in our hearts, yes i miss US sometimes" imagine your bae anakusikia unaongea hayo maneno kwa mtu mwengine, nyie nyie isikieni hivyo hivyo, nilitetemeka, jasho lilinitoka nikazima data, nikatulia, babe akaanza kupiga kwa normal call sikua na ujasiri wa kupokea nikazima simu nikalala kabisa, niliamka usiku mkubwa nikajikuta nina homa kali sana, kichwa kiliniuma nikahisi kufa, nikapambana hadi kukakucha na kesho yake ilikua niende job nikaenda hivyo hivyo sikutaka kubaki home ila simu niliiacha ikiwa imezimwa,
Babe alinitafuta ikabidi awacheki baadhi ya watu wa karibu akiwemo cuzo wangu, cuzo alienda home hakunikuta akajua tu nimeenda job, jioni akarudi tena akanikuta, akaniuliza kulikoni nikampa mkanda mzima ndio akaniambia jinsi Lily alivyomtrick akampa namba, akanishauri niwashe simu nizungumze na mwenzangu tusolve hio ishu bila hivyo itakua worse, nikawasha simu nikamcall bae,
Huwezi amini my baby alikua ana wasi wasi na mimi, akataka kujua naendeleaje nikamwambia naumwa akasema niende hospital pia hataki kuongelea hilo suala hadi atakaporudi, hapo alizidi kunipa mawazo ila cuzo akanitia moyo kua nilirelax niact kama kila kitu kiko sawa na akija nimwambie ukweli haina haja ya kuficha kitu, niliufata ushauri wake, nikatulia,

Lily ni kama alikua anasikilizia simu yangu yeye aliamini nitaachwa na nitarudi kwake, hivi nayaachaje mahusiano na mtu mliyeishi miaka mingi, mkajenga future yenu pamoja kwa ajili ya mwanafunzi wa chuo, seriously!!?
Basi akarudia tena tabia yake, akawa ananitumia meseji za matusi na vitisho kila siku nikahifadhi na mkumbuke nina RB yake,
Mimi na babe tulikua normal tu kama hakuna kitu kilichotokea,
Tulikua tunafanya project ya ujenzi na mambo ya kutafuta sperm donor kwa hiyo maisha yetu yalikua busy, Lily hakuwahi kuongelewa tena huku mimi nikiendelea kuteseka na vitimbi vyake,

Miezi ikapita hatimae babe akarudi likizo, hofu yangu ikarudi upyaaa lakini mwenyewe alikua happy kuniona, wiki nzima baada ya kurudi ndio hiyo siku akanikalisha chini na kunitaka nimwambie kila kitu, nilitamani ardhi ipasuke niingie.....

Itaendelea

Leejay49 , Dejane , realMamy , Joannah , ephen_ , de Gunner , Lamomy
Na wengine woooooooote
 
Nilikua nadhani mahusiano ya upande mmoja unaruhusiwa kua na multiple partners kumbe sio unatakiwa kua muaminifu na mmoja.
 
Dah.!! 😥
Sperm donor tena kwani shem alikuwa na tatizo??
Ila huyo Lily hapana anayaweza kweli, yani ana tabia zote za michepuko.!! King’ang’a Zuchu anasubiri 😹
 
Back
Top Bottom