Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Weeh kwani linawasha sana?? 😹😹
Utamfanya kaka apae, anavyopenda mbunye sasa hata kazi atasahau..!!! 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🤣
😂😂Wee nae kukuna kisogo bhana nataka nielew story naona kichwa changu kizito 😀
 
Dah.!! 😥
Sperm donor tena kwani shem alikuwa na tatizo??
Ila huyo Lily hapana anayaweza kweli, yani ana tabia zote za michepuko.!! King’ang’a Zuchu anasubiri 😹
Ina maana yupo kwenye LGBTQ.... Ila sio bisexual......

Maake kwenye sperm donor ndo nimeamini hii ni lesbians relationship under the moon in the beach 😂

Maake angekuwa me.... Kuna namna wanafanya utoaji wa sperm......

so far angeeleza vizuri tujue mengi

Ila mahusiano ya pande hii Kuna watu wana wivu utafkr ni mboo na papuchi.....

Ukiwa una kutana na watu ndo unafahamu kumbe dunia haiko ninavyojua....
 
Inaendelea No 6,
Mtu akiwa nyoka hawezi kubadilika nimeamini,
Haya twendeni mkajue aliipataje namba ya mpenzi wangu,
Nina cousin wangu ana duka la vipodozi, enzi za mahaba ndindindi nilishawahi kwenda nae pale kama mara 3 hivi, lakini cuzo alikua hajui kama ni mchepuko wangu,
Siku moja Lily alienda dukani kwa cuzo akapokelewa vizuri akafanya manunuzi ya bidhaa mbili tatu, akajifanya ananipigia simu akamwambia cuzo eti nilimwambia yupo kwenye kikao ni muda mrefu sasa, kuna mzigo tulimuagiza mimi na bae, sasa hanipati na anatakiwa ageuke, akamuuliza cuzo kama anaweza kumpatia namba ya bae yeye aliiacha kwenye simu nyingine, cuzo na yeye bila kuwaza mara mbili akampatia, hapo ndio Lily alipopata namba ya babe kiulaiiiini kabisa na kumtumia voice alizozichagua, akamtumia hadi ile aliyoomba tufanye a goodbye sex nikamkatalia na kusema tuliyoyafanya yanatosha, nyieeeee yaani aliniacha uchiiiiii😭😭🚮

Nikiwa sina hili wala lile weekend flani tulivu nipo home na watch movie zikaingia voice meseji kibao kutoka kwa babe, kufungua najisikia sauti yangu na ya Lily, usipime huo mshtuko wakeee,
Kuna voice alikua anasema " i miss every sex we did hasa ile ya kwenye beach usiku under the moon, we were wild and true what happened to us?" na mimi nikamjibu "those were the good memories let's cherish them in our hearts, yes i miss US sometimes" imagine your bae anakusikia unaongea hayo maneno kwa mtu mwengine, nyie nyie isikieni hivyo hivyo, nilitetemeka, jasho lilinitoka nikazima data, nikatulia, babe akaanza kupiga kwa normal call sikua na ujasiri wa kupokea nikazima simu nikalala kabisa, niliamka usiku mkubwa nikajikuta nina homa kali sana, kichwa kiliniuma nikahisi kufa, nikapambana hadi kukakucha na kesho yake ilikua niende job nikaenda hivyo hivyo sikutaka kubaki home ila simu niliiacha ikiwa imezimwa,
Babe alinitafuta ikabidi awacheki baadhi ya watu wa karibu akiwemo cuzo wangu, cuzo alienda home hakunikuta akajua tu nimeenda job, jioni akarudi tena akanikuta, akaniuliza kulikoni nikampa mkanda mzima ndio akaniambia jinsi Lily alivyomtrick akampa namba, akanishauri niwashe simu nizungumze na mwenzangu tusolve hio ishu bila hivyo itakua worse, nikawasha simu nikamcall bae,
Huwezi amini my baby alikua ana wasi wasi na mimi, akataka kujua naendeleaje nikamwambia naumwa akasema niende hospital pia hataki kuongelea hilo suala hadi atakaporudi, hapo alizidi kunipa mawazo ila cuzo akanitia moyo kua nilirelax niact kama kila kitu kiko sawa na akija nimwambie ukweli haina haja ya kuficha kitu, niliufata ushauri wake, nikatulia,

Lily ni kama alikua anasikilizia simu yangu yeye aliamini nitaachwa na nitarudi kwake, hivi nayaachaje mahusiano na mtu mliyeishi miaka mingi, mkajenga future yenu pamoja kwa ajili ya mwanafunzi wa chuo, seriously!!?
Basi akarudia tena tabia yake, akawa ananitumia meseji za matusi na vitisho kila siku nikahifadhi na mkumbuke nina RB yake,
Mimi na babe tulikua normal tu kama hakuna kitu kilichotokea,
Tulikua tunafanya project ya ujenzi na mambo ya kutafuta sperm donor kwa hiyo maisha yetu yalikua busy, Lily hakuwahi kuongelewa tena huku mimi nikiendelea kuteseka na vitimbi vyake,

Miezi ikapita hatimae babe akarudi likizo, hofu yangu ikarudi upyaaa lakini mwenyewe alikua happy kuniona, wiki nzima baada ya kurudi ndio hiyo siku akanikalisha chini na kunitaka nimwambie kila kitu, nilitamani ardhi ipasuke niingie.....

Itaendelea

Leejay49 , Dejane , realMamy , Joannah , ephen_ , de Gunner , Lamomy
Na wengine woooooooote
Baby wako ana miakili Mingi,ingekuwa ni hawa kayumba yasingeisha nakuambia 😅😅😅
 
Back
Top Bottom