Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Pole kwa Kuukwaa Ukimwi
 
Unajua story telling, naweka kambi.
 
Ila nachukia watu wa hivi mimi
 
Na mi kuna Lily namjua huko Kanda ya ziwa anawakoboa sana...
Ila sikujua kama huyu anayejiita daktari na ye anatifuliwa na mwanamama mwenzake.... daaah
 
Hii stori yako inavutia na ni funzo kwa wenye tamaa kama wewe.

Kosa kubwa sana ulilolifanya ni kwenda nyumbani kumuona msichana ambae mlikua hamjafahamiana vya kutosha hii ingeweza hata kupoteza maisha yako na hata hukujiuliza kwanini alijitenga peke yake ulivyomuona kwenye sherehe!!!

Hapa swala sio tu usaliti ni kutokua muangalifu na maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…