Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Kiruuuuuuuuu 🙆‍♀️😹😹
We mwanaume mbona mazito haya??
mzabzab njoo umchukue pacha wako mtafute chimbo mi natetemeka 🐒
Yaani 3some ya FMF kwa mwanaume aliyewahi kuexperience atanielewa iko addictive sana, ngoja mzabzab naye aje kutoa ushuhuda.

Ukiwa na wanawake 2 kitandani unawashughulikia kuna vitu na ladha unapata hauchoki.

Kwanza ile kuwaangalia tu wakiwa wanafanyiana romance inakupa mzuka hata kama de libolo ilala lazima iamke utakojoa hadi upepo
 
Ina maana yupo kwenye LGBTQ.... Ila sio bisexual......

Maake kwenye sperm donor ndo nimeamini hii ni lesbians relationship under the moon in the beach 😂

Maake angekuwa me.... Kuna namna wanafanya utoaji wa sperm......

so far angeeleza vizuri tujue mengi

Ila mahusiano ya pande hii Kuna watu wana wivu utafkr ni mboo na papuchi.....

Ukiwa una kutana na watu ndo unafahamu kumbe dunia haiko ninavyojua....
Kwahiyo hata huyo babe wake mwingine ni ke tena?? 😥
Nikajua ana ndoa na mwanaume ila anachepuka na jinsia yake.!! Duh hii kali aloo 🤣😹😹😹
 
Yaani 3some ya FMF kwa mwanaume aliyewahi kuexperience atanielewa iko addictive sana, ngoja mzabzab naye aje kutoa ushuhuda.

Ukiwa na wanawake 2 kitandani unawashughulikia kuna vitu na ladha unapata hauchoki.

Kwanza ile kuwaangalia tu wakiwa wanafanyiana romance inakupa mzuka hata kama de libolo ilala lazima iamke utakojoa hadi upepo
Sasa nimeelewa why unajiita mzee wa kupambania 😹😹

Mnapambania mpk visivyopambaniwa dadeq 🤣😹
 
Inaendelea No 6,
Mtu akiwa nyoka hawezi kubadilika nimeamini,
Haya twendeni mkajue aliipataje namba ya mpenzi wangu,
Nina cousin wangu ana duka la vipodozi, enzi za mahaba ndindindi nilishawahi kwenda nae pale kama mara 3 hivi, lakini cuzo alikua hajui kama ni mchepuko wangu,
Siku moja Lily alienda dukani kwa cuzo akapokelewa vizuri akafanya manunuzi ya bidhaa mbili tatu, akajifanya ananipigia simu akamwambia cuzo eti nilimwambia yupo kwenye kikao ni muda mrefu sasa, kuna mzigo tulimuagiza mimi na bae, sasa hanipati na anatakiwa ageuke, akamuuliza cuzo kama anaweza kumpatia namba ya bae yeye aliiacha kwenye simu nyingine, cuzo na yeye bila kuwaza mara mbili akampatia, hapo ndio Lily alipopata namba ya babe kiulaiiiini kabisa na kumtumia voice alizozichagua, akamtumia hadi ile aliyoomba tufanye a goodbye sex nikamkatalia na kusema tuliyoyafanya yanatosha, nyieeeee yaani aliniacha uchiiiiii😭😭🚮

Nikiwa sina hili wala lile weekend flani tulivu nipo home na watch movie zikaingia voice meseji kibao kutoka kwa babe, kufungua najisikia sauti yangu na ya Lily, usipime huo mshtuko wakeee,
Kuna voice alikua anasema " i miss every sex we did hasa ile ya kwenye beach usiku under the moon, we were wild and true what happened to us?" na mimi nikamjibu "those were the good memories let's cherish them in our hearts, yes i miss US sometimes" imagine your bae anakusikia unaongea hayo maneno kwa mtu mwengine, nyie nyie isikieni hivyo hivyo, nilitetemeka, jasho lilinitoka nikazima data, nikatulia, babe akaanza kupiga kwa normal call sikua na ujasiri wa kupokea nikazima simu nikalala kabisa, niliamka usiku mkubwa nikajikuta nina homa kali sana, kichwa kiliniuma nikahisi kufa, nikapambana hadi kukakucha na kesho yake ilikua niende job nikaenda hivyo hivyo sikutaka kubaki home ila simu niliiacha ikiwa imezimwa,
Babe alinitafuta ikabidi awacheki baadhi ya watu wa karibu akiwemo cuzo wangu, cuzo alienda home hakunikuta akajua tu nimeenda job, jioni akarudi tena akanikuta, akaniuliza kulikoni nikampa mkanda mzima ndio akaniambia jinsi Lily alivyomtrick akampa namba, akanishauri niwashe simu nizungumze na mwenzangu tusolve hio ishu bila hivyo itakua worse, nikawasha simu nikamcall bae,
Huwezi amini my baby alikua ana wasi wasi na mimi, akataka kujua naendeleaje nikamwambia naumwa akasema niende hospital pia hataki kuongelea hilo suala hadi atakaporudi, hapo alizidi kunipa mawazo ila cuzo akanitia moyo kua nilirelax niact kama kila kitu kiko sawa na akija nimwambie ukweli haina haja ya kuficha kitu, niliufata ushauri wake, nikatulia,

Lily ni kama alikua anasikilizia simu yangu yeye aliamini nitaachwa na nitarudi kwake, hivi nayaachaje mahusiano na mtu mliyeishi miaka mingi, mkajenga future yenu pamoja kwa ajili ya mwanafunzi wa chuo, seriously!!?
Basi akarudia tena tabia yake, akawa ananitumia meseji za matusi na vitisho kila siku nikahifadhi na mkumbuke nina RB yake,
Mimi na babe tulikua normal tu kama hakuna kitu kilichotokea,
Tulikua tunafanya project ya ujenzi na mambo ya kutafuta sperm donor kwa hiyo maisha yetu yalikua busy, Lily hakuwahi kuongelewa tena huku mimi nikiendelea kuteseka na vitimbi vyake,

Miezi ikapita hatimae babe akarudi likizo, hofu yangu ikarudi upyaaa lakini mwenyewe alikua happy kuniona, wiki nzima baada ya kurudi ndio hiyo siku akanikalisha chini na kunitaka nimwambie kila kitu, nilitamani ardhi ipasuke niingie.....

Itaendelea

Leejay49 , Dejane , realMamy , Joannah , ephen_ , de Gunner , Lamomy
Na wengine woooooooote
Dr. Hii ni kweli, kuwa usailiti wa Dr. Mariposa umemuumiza Sana babe wake simply kwasababu amefanya usailiti na Lily (ke), kwamba nafuu nafuu ya maumiv ya usailiti ni kama angefanya usailiti na Adam(Me)?

Nina rafiki (ke) wa Jamii yako, aliwahi niambia concept ya namna hiyo.
 
Kwahiyo hata huyo babe wake mwingine ni ke tena?? 😥
Nikajua ana ndoa na mwanaume ila anachepuka na jinsia yake.!! Duh hii kali aloo 🤣😹😹😹
Mpaka hapo sidhani km ni me kwann atafute sperm donor?

Kwamba huyo jamaa Hana uzao ?

Na kama ni me mbona sioni reaction alivyo ambiwa mkewe ni lesb ?

Wapo watu kwenye industry ya LGBTQ wana kuwa na future za maana regarding wanachofanya
 
Dah.!! 😥
Sperm donor tena kwani shem alikuwa na tatizo??
Ila huyo Lily hapana anayaweza kweli, yani ana tabia zote za michepuko.!! King’ang’a Zuchu anasubiri 😹
Kuna mambo ambayo utajitahidi sana kwenda kinyume na uasilia. Ila kuna mengine nature itakurudisha kwenye mstari unaopaswa kuusimamia.

Hata wasagaji wawe very smart, wawe very wealthy and healthy, there is no way they can reproduce on their own.

Lazima wahitaji mbegu kisha ifungamane na yai la mmoja wao na kutengeneza kijusi kisha baadae mtoto.

Na hata iweje, biologically mtoto hawezi kuwa wa kwao wawili kiasili. Bali wa mmoja na aliyejitolea mbegu.

Nature can never be defeated!.
 
Nyie kina Lamomy @ephen_na wengine, ambao kupitia id zenu tunawatambua kwa jinsi ke ( maybe otherwise ).... Mpo eagerly kujua Nini kinaendelea kwenye hii story na wakati huyu mhusika Dr. Mariposa ni upinde na amekiri kabisa kwenye comments huko juu..

Nisiongee mengii, ila kupitia huu Uzi nimejifunza nyie wanawake wa humu jf hasa ww ephen_ na wenzio mpo eagerly sana kujua Mambo ambayo yapo kinyume na jamii yetu, shida Nini??.....mnataka kujaribu au Nini??.....nilitegemea mada kama hizi mkemee na kukosoa ili kulinda jamii yetu ila ndio kama unaikoleza iendelee.....Nina mashaka na nyie inawezekana mnajuana nyingi na lengo lenu ni Moja....Mimi nakemea na ikiwezekana huu Uzi ufutwe ni kinyume na maadili yetu sisi watanzania Active Cookie
 
Kuna mambo ambayo utajitahidi sana kwenda kinyume na uasilia. Ila kuna mengine nature itakurudisha kwenye mstari unaopaswa kuusimamia.

Hata wasagaji wawe very smart, wawe very wealthy and healthy, there is no way they can reproduce on their own.

Lazima wahitaji mbegu kisha ifungamane na yai la mmoja wao na kutengeneza kijusi kisha baadae mtoto.

Na hata iweje, biologically mtoto hawezi kuwa wa kwao wawili kiasili. Bali wa mmoja na aliyejitolea mbegu.

Nature can never be defeated!.
Mpaka hapa ni lesb relationship under the moon in the beach...

Huwezi niambia unataka sperm donor! Na una mwanaume

Tusubiri visa
 
Dr. Hii ni kweli, kuwa usailiti wa Dr. Mariposa umemuumiza Sana babe wake simply kwasababu amefanya usailiti na Lily (ke), kwamba nafuu nafuu ya maumiv ya usailiti ni kama angefanya usailiti na Adam(Me)?

Nina rafiki (ke) wa Jamii yako, aliwahi niambia concept ya namna hiyo.
Wee usiniambie kumbe Bado sijasikia mengi hapa Dunian
 
Back
Top Bottom