Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Wewe ni KE
 
Nyie kina Lamomy @ephen_na wengine, ambao kupitia id zenu tunawatambua kwa jinsi ke ( maybe otherwise ).... Mpo eagerly kujua Nini kinaendelea kwenye hii story na wakati huyu mhusika Dr. Mariposa ni upinde na amekiri kabisa kwenye comments huko juu..

Nisiongee mengii, ila kupitia huu Uzi nimejifunza nyie wanawake wa humu jf hasa ww ephen_ na wenzio mpo eagerly sana kujua Mambo ambayo yapo kinyume na jamii yetu, shida Nini??.....mnataka kujaribu au Nini??.....nilitegemea mada kama hizi mkemee na kukosoa ili kulinda jamii yetu ila ndio kama unaikoleza iendelee.....Nina mashaka na nyie inawezekana mnajuana nyingi na lengo lenu ni Moja....Mimi nakemea na ikiwezekana huu Uzi ufutwe ni kinyume na maadili yetu sisi watanzania Active Cookie
Una kitu utafika mbali..!
 
Weeh mbaba taratibu nilikosifia wapi?
Kwahiyo mimi ni mlinzi wa viharage vya watu??!! 🤣😹😹

Uzi ufutwe wako? Si utafute nyuzi zingine ukasome? 😹🤣
 
Kuna mambo ambayo utajitahidi sana kwenda kinyume na uasilia. Ila kuna mengine nature itakurudisha kwenye mstari unaopaswa kuusimamia.

Hata wasagaji wawe very smart, wawe very wealthy and healthy, there is no way they can reproduce on their own.

Lazima wahitaji mbegu kisha ifungamane na yai la mmoja wao na kutengeneza kijusi kisha baadae mtoto.

Na hata iweje, biologically mtoto hawezi kuwa wa kwao wawili kiasili. Bali wa mmoja na aliyejitolea mbegu.

Nature can never be defeated!.
Kweli kabisa, hawa mimi bado nawashangaa ni utamu gani haswaa wanaoupata kuzidi ule wa mwanaume?? 😹😹
 
Attachments

  • IMG_3918.jpeg
    IMG_3918.jpeg
    32.8 KB · Views: 4
😁😁😁😁 Aah rafiki angu mambo ya mitandaoni we yaache tu hapa hapa usiwe serious nayo

watu hukuoutside na keyboard ni watofauti sana more than you think. cool down mkuu
Madam, it is true that we often differ from what we present online compared to our real lives. However, I believe that about 80% of what we display can still reflect our true selves.

The issue at hand is more emotional and spiritual. Matters that no one can truly hide. What you’ve written comes from your own pure desires, and I’m certain that this is what you are yearning for.

There are things we can pretend, but not something as fundamental as this.

Duuh!.
 
Back
Top Bottom