Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Ni hatare hasa ngoja tuone visaKwakweli duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatare hasa ngoja tuone visaKwakweli duh
Shem mwenyewe ni mwanamke sasaSperm donor tena kwani shem alikuwa na tatizo??
Wewe muongo wewe ni KE unatuandikia story ya kuwa na mke unataka tueleweje?Nawaahidi story itaisha chap, kwa kua sio ya kutunga basi tulieni wapenzi wangu sio tu muenjoy bali mjifunze pia
Huwa ana mwandiko umepakwa rangi kucha.Siku zote najuaga wewe ni mwanamke🤔
Una kitu utafika mbali..!Nyie kina Lamomy @ephen_na wengine, ambao kupitia id zenu tunawatambua kwa jinsi ke ( maybe otherwise ).... Mpo eagerly kujua Nini kinaendelea kwenye hii story na wakati huyu mhusika Dr. Mariposa ni upinde na amekiri kabisa kwenye comments huko juu..
Nisiongee mengii, ila kupitia huu Uzi nimejifunza nyie wanawake wa humu jf hasa ww ephen_ na wenzio mpo eagerly sana kujua Mambo ambayo yapo kinyume na jamii yetu, shida Nini??.....mnataka kujaribu au Nini??.....nilitegemea mada kama hizi mkemee na kukosoa ili kulinda jamii yetu ila ndio kama unaikoleza iendelee.....Nina mashaka na nyie inawezekana mnajuana nyingi na lengo lenu ni Moja....Mimi nakemea na ikiwezekana huu Uzi ufutwe ni kinyume na maadili yetu sisi watanzania Active Cookie
Nipo ndugu yangu😒 kama sipoOhooo na wewe mzee wa vilinge upo kwenye uzi huu.
Weeh mbaba taratibu nilikosifia wapi?Nyie kina Lamomy @ephen_na wengine, ambao kupitia id zenu tunawatambua kwa jinsi ke ( maybe otherwise ).... Mpo eagerly kujua Nini kinaendelea kwenye hii story na wakati huyu mhusika Dr. Mariposa ni upinde na amekiri kabisa kwenye comments huko juu..
Nisiongee mengii, ila kupitia huu Uzi nimejifunza nyie wanawake wa humu jf hasa ww ephen_ na wenzio mpo eagerly sana kujua Mambo ambayo yapo kinyume na jamii yetu, shida Nini??.....mnataka kujaribu au Nini??.....nilitegemea mada kama hizi mkemee na kukosoa ili kulinda jamii yetu ila ndio kama unaikoleza iendelee.....Nina mashaka na nyie inawezekana mnajuana nyingi na lengo lenu ni Moja....Mimi nakemea na ikiwezekana huu Uzi ufutwe ni kinyume na maadili yetu sisi watanzania Active Cookie
Dah.!! Hatari wajameni 😺Shem mwenyewe ni mwanamke sasa
Ke na Ke watapataje mtoto?
Kweli kabisa, hawa mimi bado nawashangaa ni utamu gani haswaa wanaoupata kuzidi ule wa mwanaume?? 😹😹Kuna mambo ambayo utajitahidi sana kwenda kinyume na uasilia. Ila kuna mengine nature itakurudisha kwenye mstari unaopaswa kuusimamia.
Hata wasagaji wawe very smart, wawe very wealthy and healthy, there is no way they can reproduce on their own.
Lazima wahitaji mbegu kisha ifungamane na yai la mmoja wao na kutengeneza kijusi kisha baadae mtoto.
Na hata iweje, biologically mtoto hawezi kuwa wa kwao wawili kiasili. Bali wa mmoja na aliyejitolea mbegu.
Nature can never be defeated!.
Hiv ni embu au ebu ?Embu mkuu kuwa na heshima kidogo
Kumbe ni upinde??!Kwani we ni mgeni jamani?ndio ni Ke,ila alishaweka wazi hisia zake ni kwa Ke.
Madam, it is true that we often differ from what we present online compared to our real lives. However, I believe that about 80% of what we display can still reflect our true selves.😁😁😁😁 Aah rafiki angu mambo ya mitandaoni we yaache tu hapa hapa usiwe serious nayo
watu hukuoutside na keyboard ni watofauti sana more than you think. cool down mkuu