Usaliti unamtia Dr. Bashiru kwenye lindi la msongo wa mawazo?

Usaliti unamtia Dr. Bashiru kwenye lindi la msongo wa mawazo?

Attachments

  • IMG_20220315_171055.jpg
    IMG_20220315_171055.jpg
    88.6 KB · Views: 10
If you are technical ukimsikiliza unabaki na maswali kuliko majibu: huyu vipi mwalimu wa siasa or whatever the nonsense he was teaching.

Hana uwezo, ukiniweka nae kwenye meza tujadili siasa yaani kutwanga ni dakika moja tu. Hana anolojua kuhusu siasa zaidi ya kuongea ujinga tu.
 
Tuliosomeshwa na huyu nguli pamoja na mwenzake aliyewahi kusema alitolewa jalalani-pale UDSM miaka ile ya 90 tunamasikitiko makubwa sana! Walichokuwa wanatufundisha na kukisimamia wakati ule na sasa.. mhhh! Basi tu🥹😢
... walishakufundisha sasa wewe ndio UVIISHI na uwaache wazee wa watu WAPUMZIKE!
NB: Unafiki ni pamoja na kujipuuza pasipo na tija!
 
Mungu wetu huwa hadhihakiwi. Ukifanya tu kusaliti, ni lazima Mungu akuanike juani. Na bado. MABEDULI yote yatakuja kuaibishwa hadharani mbele ya umati wa watu na mchana kweupe peee.
 
Back
Top Bottom