Usaliti unamtia Dr. Bashiru kwenye lindi la msongo wa mawazo?

Usaliti unamtia Dr. Bashiru kwenye lindi la msongo wa mawazo?

Nyie wenye akili endeleeni kujadili watu labda mtawapunguzia posho zao
Anajadiliwa kwa sababu hiyo posho anayolipwa ni matokeo ya makato yatokanayo na jasho letu tunapolipa kodi kutoka kwenye vyanzo vyetu halali vya mapato....

Nimuajiri fundi anijengee nyumba yangu, akivurunda nisimseme? Kweli inawezekana hiyo? 😳
 
Ok. Basi sawa nyie endeleeni kujadili watu
 
It's more than just important, it's necessary ukizingatia wakivurunda nchi inakuwa ndivyo sivyo and everyone gets affected. Maisha yao, matendo yao, maneno yao na maamuzi yao vinaathiri jamii nzima ya Watanzania(Watanganyika).
Wacha weee! Watoeni basi
 
Nchi hii imejaa vilaza kweli kweli, sasa unakuta katika mazingira hayo kuna watu wanapiga makofi, unajiuliza, wanapiga makofi kwa lipi?
 
Tuliosomeshwa na huyu nguli pamoja na mwenzake aliyewahi kusema alitolewa jalalani-pale UDSM miaka ile ya 90 tunamasikitiko makubwa sana! Walichokuwa wanatufundisha na kukisimamia wakati ule na sasa.. mhhh! Basi tu🥹😢
Usiweke matumaini makubwa kwa binadamu
 
Back
Top Bottom